"Anayevaa nguo ya mama yako ndio baba yako" - AG. WEREMA

Tafadhali jazia nyama kidogo alikuwa anazungumzia nini au alimaanisha nini?
 
Ndio maneno ya mwanasheria mkuu wa serikali huyo akiwa bungeni.. Acha wakenya watudharau!!

Hapo utaambiwa kuwa spika hakusikia...

Yale yale ya Serukamba...!!

JOY.JPG
 
Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.
 
Inaumiza lakini ni sawa tu Watanzania tumekuwa wapumbavu mno ,uwezo wetu wa kufikiri na kuchukua maamuzi kwa viongozi wabovu mdogo mno, ndiyo maana leo hii kiongozi anaweza kuongea vitu vya ovyo tu kama hivi alafu anaendelea kuchekewa
 
-------- peke yako wengine sio,kama huwezi kujenga hoja bila kuwa quot hao wakenya usituite wapumbavu jiite wewe --------,mangapi yao ya utumbo wanafanya huko kwao..??
 
Inaumiza lakini ni sawa tu Watanzania tumekuwa wapumbavu mno ,uwezo wetu wa kufikiri na kuchukua maamuzi kwa viongozi wabovu mdogo mno, ndiyo maana leo hii kiongozi anaweza kuongea vitu vya ovyo tu kama hivi alafu anaendelea kuchekewa

Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.
 
Asante sana mkuu kwa somo hilo la kujitambua,nafikiri ndipo llilipo tatizo letu WATANZANIA.
 
Wenye akili ndio watatudharau! Ila mm namdharau sana huyo anaeona wakenya ni miungu wake, yaani naona aibu kutomdharau mossad.
 
Last edited by a moderator:

Inashangaza sana wanapowatukuza watu wanaowadharau na kuwakejeli.. Halafu bora bas angekua way forward ana kitu.. Kipofu tu kama wewe.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wenzangu mnanishangazaga mnapo waangalia wakenya kama icons flan hivi kila kitu utaskia wakenya wakenya simtetei werema ila hili la wakenya mwisho wa siku hatutajenga kizazi cha watanzania independent from mind and slavery. Kwann mtu usiseme dunia itatudharau ila mpka useme wakenya watatudharau..?? Hiyo kauli wanaiskia wakenya tu..?? Kenyas wanapenda sana watu wenye utumwa wa akili na wanafurahi sana wanapopewa promo promo tho in reality they'r jus not such formidable. Ni sisi wenyewe ndio tunazototesha kizazi chetu kwa kuwaangalia watu km miungu.
Potelea mbali watudharau,mtu kama werema analeta mipasho bungeni mara ooh talking too much mara sijui nini alimradi anajifanya yeye ndio mwenye akili kuliko wote,masisiem nao kwa ushabiki wanamsifia huyu kilaza kwa taarabu zake sasa utakwepa vp wakenya kutudharau?kama mbwayi mbwayi tu bhana tumefika hapa kwa sababu ya udhaifu wa kikwete,ugoigoi wa wabunge wa masisiem na ushabiki wa kijinga sana....
 
Jnuswe hakuna jamii duniani inakosa tabaka la watu wapumbavu from the mighty giant USA to the list weak State in the world hakukosekani hawa watu.. Nitakupa mfano.
1. Tanzania tunalalamika ufisadi unafahamu kua Shirika kubwa la Nishati La Umma nchini Marekani Enron lilikufa kwa Ufisadi..??
2. Unafamu kua juzi juzi Obama aliomba radhi kwa kutamka maneno ya udhalilishaji kijinsia dhidi ya Mwanamama mwanasheria wa jimbo la Illnoi.
3. Rais Jackob Zuma alitoa kauli tata juu ya kufanya mapenz na wanawake bikira kua hakusababishi maambukizi ya ukimwi.. Can u imagine?
4. Rais Boris Yeltsin wa Russia alilewa kwenye ndege on his trip to UN General Assembly mpka akashindwa kushuka kwenye ndege ikabidi mapokez yaairishwe. Na alishawahi kumtekenya secretary wake mbele ya vyombo vya habar kabla ya Cabinet meeting.
5. Meya wa jiji la Toronto Canada Rob Ford amekiri kua ametumia madawa ya kulevya hata baada ya kushika kiti hicho na pia ana tabia ya ulevi kupindukia.. Kwa sasa ana kabiliwa na kesi ya kutishia kuua.
Yapo mengi kiongozi siwez kuyasema yote na kuyajua yote ila nachotaka ujue ni kua upuuzi wa watu wawili watatu usikufanye ukatuita watanzania wote kua wapumba.vu utakua unakosea sana unabidi uelewe kuwa hakuna Taifa Duniani linakosa watu wapumbavu huko Kenya ndo wamejaa usiseme. Lets wake up jaman hamkuzaliwa Tanzania muwe vibaraka wa akili katika taifa lenu wenyewe kuweni werevu msijiweke kundi moja na wapumbavu waacheni wapumbavu wajifunze toka kwenu na hapo mtaibadilisha nchi.

  1. kwanini huyu mjaa hajui rais Kibaki wahuko kwa anao wahusudu alikuwa analambwa makofi na Lucy mbona haya haya weki hapa kama qout kutoka Kenya
  2. au Kenyatta baba alipotoa kauli tata mbele ya vyombo vya habari kuhusu mambo ya chumbani na mama Ngina
 
Back
Top Bottom