Anayemsifu MWAKYEMBE Atakuwa hamnazo!

Status
Not open for further replies.
Kule kucheza tu na kamera na kutangaza matokeo hadharani ni udume tosha hili ni jeshi la mtu mmoja.kwa akili yako lini uliwahi kusikia mtu yeyote amefunguka kiasi hiki.na ndio maana akasema haogopi kufa sababu anaelewa uzito wa ishu anayokabiliana nayo.
 
kweli kabisaa.. yaani unakamata washika pembe na unaacha walikubuhu. hakika mwakyembe bora unge kaa kimya tu tukuelewe kwani una haibisha andiko lako la "Ph.D" .

Mwakyembe anashughulikia tatizo katika wizara yake tu..

Huko kwengine inabidi nchimbi aamke
 
Ukimkamata mtu au kumdhtaki inabidi Uwe na vidhibitisho? Wewe unafikiri hao vigogo wanakaa na huo unga?? Hao mapunda ni rahisi kuwa kamata kwani wanao vidhibitisho tiari hatiayake mapunda wata pungua na hao vigogo watakosa mahali Pa kuzipeleka mzigo wao. Chamuhimu tuwe na ushirikiano kwa vita kama hivi
 
Viongozi wasipo fanya kitu mnalalamika, wakijitokeza na kufanya Jambo kama hili mnalalamika, kweli waafrika Tuna laana.
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana
Ameanza kazi lazima aanze na hao walinzi na uchunguzi unaendelea hajasema amemaliza kazi Nadhani kazi Ndio imeanza tunamwombea apate ushirikiano toka wizara zote zenye walinzi wao pale Airport yaani Utawala bora Ulinzi na mambo ya ndani kwani kwani endapo atakosa ushirikiano hususani wizara ya mambo ya ndani ambayo wana jukumu kubwa wakiwa na polis na uhamiaji itakuwa changamoto number one Mwakyembe natumai amejipanga kuzikabili changamoto zote
 
Watu mnalaumu tu..Onesheni basi japo kukubalika kwa hatua aliyofanya Dr. Mwakyembe.
Hata kama alichofanya ni kidogo, wako wapi hao waliofanya makubwa katika vita hii ya Unga!?
Dr. Mwakyembe hawezi kufikia juu bila kuanzia chini..Kamera zimeonesha kilichokua kinafanyika na aliyekua anakifanya..Sasa hao watu watahojiwa na wataonesha njia na mwelekeo wa nini na nani atafutwe.
Unayedhani kuwa Dr. Mwakyembe hastahili sifa utakua na roho mbaya tu.ni yupi basi mwenyekustahili sifa hebu tutajie!!?
 
Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mwendelezo wa hotuba ya dr h Mwakyembe! yes kausomea udoctor! lkn nimeshindwa kumwelewa kabisa Kasimama mbele ya vyombo vya habari kututajia walinzi! Binafsi siamini kama wale wanahatia kwani hata kama ile kazi wasinge iruhusu kupenya basi huenda maisha yao yangekuwa matatani. Nilichotegemea kutoka kwa mtu mkubwa kama waziri mwakyembe ni kutuambia baada ya kuona muvi nzima kupitia makamera hayo ya JNIA amefanya uchunguzi gani na kubaini wanaosafirisha hiyo mizigo. kwa mtu na akili zake kumvimbisha kichwa MWAKYEMBE kuwa ni Mchapa kazi ni kuwadanganya watanzania ili wamuonapo mkuu wa kaya akigawa uwaziri kumfikiria huyu mtu. Sikubali utaratibu alooutumia MWAKYEMBE kwani hakutueleza ni jinsi gani amepambana na mizizi ya tatizo na siyo ujinga wa kuwapumbaza watanzania. kumfukuza mlinzi na wauza madawa ya kulevya wapi na wapi? hao ni dagaa tu mapapa yapo yanafikiria ni jinsi gani yawatumie hao vijana kupanu miradi yao. Miradi ya wakubwa tunajua ukilima bangi unatafutwa kwa udi ila wenye vidonge vya unga hadi wakamatwe out. nilichojifunza kwa taarifa ya Dr ni kuwa kitendo cha wauza unga kukamatwa sauz Africa kimetia doa TANZANIA hivyo waziri kaona kujiosha ni kuwatimulia mbali walinzi. huenda hata hawajahojiwa ili wasimwage siri za mtandao wa unga. Inauma sana

Nianze na neno la mwisho inauma sana, jee kilichokuuma ni nini? Kwamba vidagaa wamekamatwa na mapapa bado siyo au kitu gani kunakuuma?

Mimi nilitegemea kwamba pamoja na kuanza na vidagaa hiyo ndio safari ya kuelekea kwenye bahari kuu kuwapata mapapa.

Dr. Harisson kaonyesha ujasiri wa hali ya juu na hatuna budi kumshukuru japo kwa kuanza na vidagaa. Hao vidagaa sasa ndio watatoboa siri wametokea bahari kuu ya wapi ili mapapa wakavuliwe kwa nyavu za chuma. Hii kazi ni nzito msikurupuke tu kulaumu laumu ovyo. Huyu kiongozi kajitosa uhai wake ww unasema eti vidagaa, sawa lakini hata papa huanza kma kidagaa.

Hivi ww ukiwa umesimama kwa mbali ukaona mti wa mbuyu utaanza kuona mizizi au matawi na majani yake? na kabla hujauchimba mbuyu nadhani kwanza utakata kata matawi na kisha kuanza kuung'oa mizizi.

Hata mwembe uliokatikati ya mijengo unapotaka kuukata lazima uanze na matawi ili yasije angukia nyumba na kuibomoa, kisha utaendelea na kufukua mizizi yake wakati matawi hatarishi umeyakata.

Kuanza na vidagaa ni sawa tu maana hao mapapa wakikosa vidagaa wa kuwatuma wao wenyewe hawawezi ingia mtaani watabaki na unga wao mpaka uoze.

Tena mie napenda hao vidagaa watiwe adabu mpaka washike adabu yao na iwe fundisho kwa wengine wenye mawazo km hayo.

Ngd yangu, safari yoyote huanza kwa hatua ya kwanza na kesha zinafuata nyingine hadi kufika mwisho wa safari.
Km una hisi kuna ndg yako ameguswa na mafekeo ya Dr basi katoe ushirikiano kwa Dr. ili kusaidia safari hii iendelee na sio kulaumu.
Nawasilisha
 
Mleta mada ana akili kama za KUNGUNI,usipomkubali mwakyembe basi wewe ni rafiki mkubwa wa shetani na hufai popote
 
nafurahi sana kuwa na ww ni miongoni mwa watu ambao wameniunga mkono kwa hili,huyu jamaa anatafta umaarufu kwa kuwapumbaza watanzania kwa kudili vidagaa vidigo wakati mapapa tutayaona yakiendelea kuelea kwenye hii biashara haramu.
 
hapana siku zotw huu ni wajibu wa kila kiongozi aliyepewa madaraka kama japo wengi wanashindwa kutekeleza wajibu wao.
 
Utakuwa muuza unga wewe

Jamani tusiwe mbumbumbu kiasi hiki kwani hatujui kuwa waziri Mwakyembe ni waziri wa Uchukuzi kwa maana kuwa katika suala zima la kupambana na madawa ya kulevya yeye na wizara yake wanawajibika ktk kudhibiti kwenye mifumo na miundombinu ya uchukuzi/usafirishaji ikiwa ni pamoja na viwanja vya ndege, bandari,barabara n.k. Kuhusu kupambambana na tatizo hilo maeneo mengine kama mitaani, majumbani, masoko,ndani ya familia na mitandao mingine, hilo ni jukumu la taa nyingine na kwa kweli ni la kila mtu.
 
we hujui kuwa huyo ni mwanasiasa? vigogo wakubwa wa madwa wanawajua lakini wanawataja wanao beba tumboni .
 
Kaka hivi ujumbe ukiwa mbaya wakulaumiwa ni nani? Je waweza mlaumu mpeleka ujumbe na kumwacha mtuma huo ujumbe?. Dr Mwakyembe hapo analaumu wapeleka ujumbe wakati watunga ujumbe wanakunywa soda baridi tuu.

...Wewe Msabaha utakuwa ndo wale wale waliokunywa uji wa mgonjwa,bora utoe ulichokiandika utakuwa una ndugu yako kati ya waliotajwa,Mwakyembe ni jembe uwezi mlinganisha na akili mgando kama zako ningekuwa nakutana na wewe nakupiga risasi ufai katika jamii MSE.....wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom