Anayemfahamu Ndege ulaya from Azania to UDSM(CoET)

kaka BATTERY LOW huyo jamaa n fundi mbaya.yaan m namkubali sana.alpokuwa 4M 5 alkuwa anatukatia mapnd sisi 4m 6.hebu imagin????.alpangwa special school ila akaamua kurud azania ili kurudsha heshma ya shule.
 
wakuu huyo Genius kamaliza mwaka wake wa kwanza hapo CoET civil eng. na anatufundisha kwa muda Adv Maths hapa azania(Yupo vizur mno kwny hili somo) , ila ana tabia ya kujisifia sifia mfano kaweka historia hapo UDSM kutokana na moja ya performance yake na mengine mingi, je ni kweli huyu jamaa ni genius kama tunavyoamini au anatudanganya tu!

pipo lyk u r da reason why we have the middle finger at hand....
 
kaka BATTERY LOW huyo jamaa n fundi mbaya.yaan m namkubali sana.alpokuwa 4M 5 alkuwa anatukatia mapnd sisi 4m 6.hebu imagin????.alpangwa special school ila akaamua kurud azania ili kurudsha heshma ya shule.
Poa poa nimeamini sasa kama huyu jamaa ni moto wa kuotea mbali!
 
kaka BATTERY LOW huyo jamaa n fundi mbaya.yaan m namkubali sana.alpokuwa 4M 5 alkuwa anatukatia mapnd sisi 4m 6.hebu imagin????.alpangwa special school ila akaamua kurud azania ili kurudsha heshma ya shule.
4m 5 anawakatia mapindi form 6! hahahaha dah huyu jamaa kiboko!
 
Hamna he is a genius enough! Nishathibitisha

Umeuliza swali,umepewa jibu na wanaomjua unabisha!kumbe ni mwenyewe umekuja kujipa promo!First year ameweka rekod ya nini COET?piga shule dogo usidhani chuo ni sekondar za kata.
Kweli Engineering imeingiliwa enz zetu za FOE hakukua na watu wa hivi yaani Msambichaka,Mayo,Bagile,Chambega,Mwandosya,Runyoro nk wangekula kichwa chako faster
 
Human being by nature is greedy and selfish so grolification is among of characteristic
 
زيصقعيزشلثفهلريسيايساتخححيبسndivyo alivyo
 
Mleta mada badala ya usome anachokufundusha wewe unafuatilia maisha BINAFSI YA MWALIMU! Mwakani tutakuon hapa unauliza:"je kwa point hizi....nitapokelewa" Santa Agast?"
 
Umeuliza swali,umepewa jibu na wanaomjua unabisha!kumbe ni mwenyewe umekuja kujipa promo!First year ameweka rekod ya nini COET?piga shule dogo usidhani chuo ni sekondar za kata.
Kweli Engineering imeingiliwa enz zetu za FOE hakukua na watu wa hivi yaani Msambichaka,Mayo,Bagile,Chambega,Mwandosya,Runyoro nk wangekula kichwa chako faster
Hamna mbn nishaongea na jamaa aliyemaliza nae PM. Lakin mkuu nimekuelewa ulichosema,Sor for interrupting your eng fields!
 
Mleta mada badala ya usome anachokufundusha wewe unafuatilia maisha BINAFSI YA MWALIMU! Mwakani tutakuon hapa unauliza:"je kwa point hizi....nitapokelewa" Santa Agast?"
UMEJUAJE MKUU? Yani you are absolutely correct!!! Yani wewe ndio genius sasa.
 
Mleta mada badala ya usome anachokufundusha wewe unafuatilia maisha BINAFSI YA MWALIMU! Mwakani tutakuon hapa unauliza:"je kwa point hizi....nitapokelewa" Santa Agast?"

Hahahahahhaahhaahah,...
 
wakuu huyo Genius kamaliza mwaka wake wa kwanza hapo CoET civil eng. na anatufundisha kwa muda Adv Maths hapa azania(Yupo vizur mno kwny hili somo) , ila ana tabia ya kujisifia sifia mfano kaweka historia hapo UDSM kutokana na moja ya performance yake na mengine mingi, je ni kweli huyu jamaa ni genius kama tunavyoamini au anatudanganya tu!

Wabongo bwana!!
 
kaka BATTERY LOW huyo jamaa n fundi mbaya.yaan m namkubali sana.alpokuwa 4M 5 alkuwa anatukatia mapnd sisi 4m 6.hebu imagin????.alpangwa special school ila akaamua kurud azania ili kurudsha heshma ya shule.

Inawezekana nanyinyi mlikuwa vilaza ndio maana mkafundishwa na mtu wa form 5 wakati nyie mko form 6
 
Umeuliza swali,umepewa jibu na wanaomjua unabisha!kumbe ni mwenyewe umekuja kujipa promo!First year ameweka rekod ya nini COET?piga shule dogo usidhani chuo ni sekondar za kata.
Kweli Engineering imeingiliwa enz zetu za FOE hakukua na watu wa hivi yaani Msambichaka,Mayo,Bagile,Chambega,Mwandosya,Runyoro nk wangekula kichwa chako faster

duh, umetaja jina la Runyoro, nakumbuka kuna jamaa mmoja alitwa joker runyoro, kwao karagwe. Huyu jamaa notice zake za frm 3 na 4 tulizitumia. Frm six aliondoka na div 2 ya pcm. Simjui ila nasikia alikuwa engineer huko mtwara. Kuna sijui ni ndugu yake miaka ya 90 alikuwa katoka ulaya akiwa engineer ila cha pombe aliitwa Shem. Unamzungumzia yupi?
 
Back
Top Bottom