RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Aliyekuwa Waziri wa Nishati January Makamba kwa kweli sisi wafanyabiashara wadogo ameacha wizara ameivuruga hii ni kwasababu umeme umekuwa changamoto kubwa tanzania nzima navyoona huenda hata raisi alivyoona kelele akamua kumtoa hapo zigo la kero la umeme amemwangushia Dkt. DOTHO BITEKO
Kwa kweli huyu waziri sijajuwa ameacha nini hapo nishati zaidi ya kero kubwa inayoitesa nchi kila siku giza nene. Sisi mafundi wa kuchomelea binafsi tunajuwa yeye ndiye ametuharibia kila kitu kwani zama zile za yule bwana umeme tulifaidi sana!
Wakati mwingine huwa najiuliza maswali mengi kalemani alitolewa pale kwa sababu zipi au ni yale maneno huyu siyo wa kwangu kama alimtoa kwa maneno hayo basi hii nchi inamaajabu sana.