Anayejua sababu za UKAWA kutoshinda uchaguzi wa 2015 aziweke hapa.

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa ni uchaguzi wa kihistoria toka mfumo wa vyama vingi uanze nchinj. Hii ni kutokana na wagombea wawili wenye ushawishi unao karibiana kuchuana vikali.

Ni wanaccm tu ndio wanaoweza kuwa na majibu kwa nini walishibda uchaguzi ule ulio kuwa na ushindani mkubwa.

Kwa upande wa ukawa wapenzi wao wengi hawajui mpaka leo kwa nini hawakushinda uchaguzi ule, pamoja na ukawa kuunda kamati ya kufanya tathmini ya uchaguzi wa 2015 inayoongozwa na prof. Safari ambayo tunategemea itakuja na majibu mujarabu kwa nini mgombea wao hajaenda ikulu.

Sisi kama mashuhuda wa uchaguzi mkuu ule tunaweza kuwa na majibu ya kuisaidia jamii ni wapi ukawa walikosea na wafanye marekebisho yepi katika uchaguzi ujao.
 
1. Campaign za kizungu kwa wapiga kura waafrika.

2. Ku Base ktk formal speech zenye uchambuzi mgumu unaotaka wasomi wakati wanaongea na watu wa Nyugwa (geita), Namombwe (mtwara) nk.

3. Kutofika baadhi ya maeneo hasa vijijini maana walikuwa hewani (chopa) wakati uncle Magu alikuwa anasalimia kijiji Kwa kijiji kabla ya kufanya mkutano wa pa1.

4. Wafuasi wengi wa ukawa walikuwa wapiga deal sio wapiga kura. (reference ni maboda boda) maana hawakuwa na vikatio japo mgao walipata na walimshangilia.

5. Aina ya mgombea aliyekuwa anachuana nae na uzalendo wa ukanda (zonal patriotism) na population yake

Na mengine mengi.
 
Hili sio kiivile maana mi ni kati ya mawakala wa ukawa nilikuwa kijijini sana elimu iliwafikia mpaka sasa sijui nini kilitokea
 
Wananchi walio wengi walikwepa mtego wa fisadi papa,dj, jamaa wa vunjo na washkaji wengine kama kina Duni!!
 
tume ilifanya madudu saa. kwanini wale ealiokuwa wanafanya tallying ya kura za ukawa walikamatwa?kwanini wale wa side A ccm hawakukamatwa? apa jibu ni dogo tu, ZEC na NEX wali cook data. kwenye ubunge kilichojiri jimbo la kafurira na kyerwa jwa mutungirehi ni jibu tosha kuwa uchaguzi ujijaa mizengwe
 
Tume ya uchaguzi kushindwa kumtangaza mshindi halali wa kiti cha uRais na wabunge wengi waliosimama kwa tiketi ya UKAWA pia walidhulumiwa ushindi halali eg Kafulila & mgombea wa Mwanza mjini jina limenitoka kiduchu.
 
MIMI NAMTAMBUA LOWASSA NDIYE RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

swissme
Yuko ikulu ipi? Mbona hana escort ktk misafara yake. Ulishapimwa akili?
Ushauri wa Mh Msigwa huo kwa wanaomuunga mkono Lowasa.
 
Na bahati mbaya ni kwamba sababu zilizowafanya washindwe 2015 ni zile zile za miaka yote na mwaka 2020 zitakuwa hizo hizo.
 
Na bahati mbaya ni kwamba sababu zilizowafanya washindwe 2015 ni zile zile za miaka yote na mwaka 2020 zitakuwa hizo hizo.
Kweli Mkuu....hili jambo nimewahi kulisema pia....UKAWA kuchukua hii nchi kwenye huu mfumo ni ndoto!
 
Back
Top Bottom