Anayejua sababu za UKAWA kutoshinda uchaguzi wa 2015 aziweke hapa.

Wakuu mbona mimi nimesimamia uchaguzi na kupiga kura lkn hicho chama sijakiona sasa lingeshinda vp wkt kwenye idadi ya vyama hakipo?Ndio maana nilipokikosa kwenye idadi ya vyama yaani fasta nikamcheki Swaiba Hashim Rungwe na chauma chake nikampa tiki yake.
 
Tume, wakenya wa odinga kule masaki na kempisky, JK, Lubuva, January, Mwigu Chemba na yule jamaa wa kitengo aliyetoka BoT plus NIDA hao ndio waliofanya yote myaonayo sasa ata Mungu anawaona, bila hao bila shaka tungekua na raisi aliyechaguliwa na wananchi wenyewe na sio mfumo wa kijani.
 
Helen anazijua computer zake ziluzokuwa na matokeo sahihi zote zilikamatwa na jeshi sijui kama karudishiwa!
 
Mpaka sasa hakuna chama cha siasa kilichosajiriwa kikiitwa UKAWA. Hivyo mada inakosa msingi wa kujadiliana.
 
Back
Top Bottom