Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Ukweli kuwa serikali ya kijani imevurugwa na imevurugika,ukijaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii utagundua kuwa wengi wa watumiaji wa mitandao wanaipinga serikali hii kwa misimamo yake mbalimbali ikiwemo hili la kuzuia siasa na kufanya Rafu kwa vyama vingine.

ukweli usio na shaka Rais huyu wa sasa anauchukia sana upinzani licha ya kauli zake kwenye mikutano yake kuonyesha kuwa yeye hana ubaguzi,
nadhani wapinzani pekee anao wapenda ni aina kama ya Mrema na Shibuda wenye kumsifia tu.

kwa sababu ameona anapingwa kila kona hasa zaidi kwenye mitandao ya kijamii nina shaka kuna amri itatoka kuzima mitandao yote usiku wa kuamkia Sept 1.

naona kikwete na udhaifu wake aliipeleka nchi hatua 5 mbele kwa miezi 9 ya mtukufu tumerudi hatua 9 nyuma halafu wafuasi wa kijani na vibwebwe na madera yao wanajisifia.
 
Simu zenyewe zoez halikufanikiwa kwa % zote sembuse mitandao ya kijamii kwa namna gan hasa watawez kuzma
 
Ukweli kuwa serikali ya kijani imevurugwa na imevurugika,ukijaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii utagundua kuwa wengi wa watumiaji wa mitandao wanaipinga serikali hii kwa misimamo yake mbalimbali ikiwemo hili la kuzuia siasa na kufanya Rafu kwa vyama vingine,
ukweli usio na shaka Rais huyu wa sasa anauchukia sana upinzani licha ya kauli zake kwenye mikutano yake kuonyesha kuwa yeye hana ubaguzi,
nadhani wapinzani pekee anao wapenda ni aina kama ya Mrema na Shibuda wenye kumsifia tu,
kwa sababu ameona anapingwa kila kona hasa zaidi kwenye mitandao ya kijamii nina shaka kuna amri itatoka kuzima mitandao yote usiku wa kuamkia Sept 1 ,
naona kikwete na udhaifu wake aliipeleka nchi hatua 5 mbele kwa miezi 9 ya mtukufu tumerudi hatua 9 nyuma halafu wafuasi wa kijani na vibwebwe na madera yao wanajisifia
HAHAHAHA YAANI NASIKIA RAHA SANA HUU MTITI
 
Kama sehemu ya kubwa Viongozi wa Africa wasivyopenda kushauriwa kwa hofu ya kupoteza madaraka, Mh Rais (Magufuli) anaingia katika kundi la akina Kagame na Nkurunzinza wasiopenda kusikia tofauti na anayoamini yeye, hii si tabia nzuri.

Msimamo hasi ya viongozi wa Kiafrika haijaleta tija katika bara letu zaidi ya kuzalisha Makundi ya waasi yasiyoisha katika bara letu.
 
AJIRA HAKUNA

DEMOKRASIA HAKUNA

MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA HAIJAWAHI TOKEA

NCHI KUKOSWA PESA

ELIMU KUKOSWA MWELEKEO

WANAFUNZI VYUO VIKUU WANATESEKA KUKOSWA PESA

WATUMISHI WA UMMA KULALAMIKIA STAHIKI ZAO ZA MSINGI

WAKULIMA KUNYANYASWA KWA KUKOSWA BEI STAHIKI YA MAZAO YAO

SERIKALI KUKOSWA KAULI IMARA NA ZENYE UKWELI WOWOTE MFANO .JAFO ALIAHIDI KUAJIRI WALIMU MPAKA SASA HIVI HANA MAJIBU SAHIHI
 
Pole sana. Tumia ubongo kufikiri na sio kuweka hisia zako. Na kingine, jitahd kufanya kazi, km huna kazi punguza muda wako kuingia mitandaoni kupost namna gani huelewi mambo na uelekeze ubongo wako katika kutumia fursa zilizo mikononi mwako na akilini mwako.
 
ccm utawajua tu maana huwa unreasonable
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom