IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Ndugu zangu watanzania wenzangu, hamjambo
Watu hawahamii vyama ili wawe viongozi, na utagombea uongozi endapo tu utakidhi masharti ya nafasi uitakayo na si kila mwanaccm anaruhusiwa kugombea uenyekiti.Wakati anahamia CDM hamkujua hata?
Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu mgombea wa uwenyekiti?
Bandiko murua,muda muafakaWanaCCM wanaoshabikia Sumaye kuukosa uongozi wa huu CHADEMA wamefadhaika lengo lao kukwama. Sumaye angetaka kuonesha uaminifu wake CHADEMA angetumia muda mrefu kuwa mshauri wa chama hicho ili ajijengee uaminifu usio na shaka.
Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alikula viapo Serikalini kuhusu kuhifadhi siri za Serikali na viapo hivyo ni vya kudumu mpaka mwisho wa uhai wake hivyo mchango wake kwa CHADEMA itakuwa wa kawaida na wenye mashaka kumpa nafasi ya juu kabisa ya chama.
Lazima tujue kuwa Sumaye muda wote yuko chini ya uangalizi maalum wa huko alikotoka kuhusu viapo vyake, (like strangers but do not trust them)
CCM walikosea sana kutumia juhudi nyingi sana kuhakikisha Sumaye anashika chama ili waweze kujipenyeza na kukiua chama, juhudi hizo ndizo zilizowaamsha wanachadema na kuwa na shaka isiyo na shaka.
Mwisho ningetegemea baada ya kuukosa uongozi wa juu kabisa yeye asingejitoa ili aweze kujijengea uaminifu wa ziada na kuonesha uhalali wa kuchgua na kuchaguliwa, angewauliza wale wanaoshabikia kuwa lazima ashinde nafasi ya juu ya CHADEMA walitaka nani asishinde na kama ni hivyo kwanini walifanya uchaguzi badala ya kuteuliana.
CCM mnapokuwa na projekti nyeti msijioneshe wazi mkaleta mashaka.
Another Rubbish.Msipotoshe ukweli, huyu Mzee FS na EL kwa wanaofahamu walipatanishwa na maaskofu wao na kusameheana kwa lengo la kuunganisha nguvu ili Zamu yao ya kutawala Tanzania itimie, rejeeni kikao cha ndani Tabora,(HII NI ZAMU YETU) hivyo wakaungana pamoja na ukaskazini na udini pia, kitendo cha Mzee EL kurudi ccm angali anatumainiwa CDM ghafla kukaonyesha Mbowe na genge lake wasiuone umuhimu wa FS ndani ya CDM hivyo yaliyotokea asisingiziwe mtu ila FS hauziki mzee wa watu, na hataweza figisu za huko ni Heri amefanya Jambo jema kupumzika, usione Maaskofu wao kila mara na waraka wa kulaumu serikali hali hii hawakuitegemea kabisa.
CCM isilaumiwe kwa lolote hapo, na ni muda mzuri kuonyesha CDM ni kampuni ya watu kwa kivuli cha demokrasia,wenye akili wataelewa.
Tuwe na akiba ya maneno muda utaongea.
POVU RUKSA.
Ndio hapo sasa, utawajua tu CCM kama majuha vile.WanaCCM wanaoshabikia Sumaye kuukosa uongozi wa huu CHADEMA wamefadhaika lengo lao kukwama. Sumaye angetaka kuonesha uaminifu wake CHADEMA angetumia muda mrefu kuwa mshauri wa chama hicho ili ajijengee uaminifu usio na shaka.
Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alikula viapo Serikalini kuhusu kuhifadhi siri za Serikali na viapo hivyo ni vya kudumu mpaka mwisho wa uhai wake hivyo mchango wake kwa CHADEMA itakuwa wa kawaida na wenye mashaka kumpa nafasi ya juu kabisa ya chama.
Lazima tujue kuwa Sumaye muda wote yuko chini ya uangalizi maalum wa huko alikotoka kuhusu viapo vyake, (like strangers but do not trust them)
CCM walikosea sana kutumia juhudi nyingi sana kuhakikisha Sumaye anashika chama ili waweze kujipenyeza na kukiua chama, juhudi hizo ndizo zilizowaamsha wanachadema na kuwa na shaka isiyo na shaka.
Mwisho ningetegemea baada ya kuukosa uongozi wa juu kabisa yeye asingejitoa ili aweze kujijengea uaminifu wa ziada na kuonesha uhalali wa kuchgua na kuchaguliwa, angewauliza wale wanaoshabikia kuwa lazima ashinde nafasi ya juu ya CHADEMA walitaka nani asishinde na kama ni hivyo kwanini walifanya uchaguzi badala ya kuteuliana.
CCM mnapokuwa na projekti nyeti msijioneshe wazi mkaleta mashaka.
Ni vizuri kabla ya kuandika jambo ujipange ili ueleweke, umetumia muda mwingi kuandika kwa maneno ya kuokoteza kwani haukujipanga.Msipotoshe ukweli, huyu Mzee FS na EL kwa wanaofahamu walipatanishwa na maaskofu wao na kusameheana kwa lengo la kuunganisha nguvu ili Zamu yao ya kutawala Tanzania itimie, rejeeni kikao cha ndani Tabora,(HII NI ZAMU YETU) hivyo wakaungana pamoja na ukaskazini na udini pia, kitendo cha Mzee EL kurudi ccm angali anatumainiwa CDM ghafla kukaonyesha Mbowe na genge lake wasiuone umuhimu wa FS ndani ya CDM hivyo yaliyotokea asisingiziwe mtu ila FS hauziki mzee wa watu, na hataweza figisu za huko ni Heri amefanya Jambo jema kupumzika, usione Maaskofu wao kila mara na waraka wa kulaumu serikali hali hii hawakuitegemea kabisa.
CCM isilaumiwe kwa lolote hapo, na ni muda mzuri kuonyesha CDM ni kampuni ya watu kwa kivuli cha demokrasia,wenye akili wataelewa.
Tuwe na akiba ya maneno muda utaongea.
POVU RUKSA.
Lipi neno la kuokoteza Ndugu, usitangulize ushabiki, shughulisha halmashauri ya kichwa chako utaelewa tu.Ni vizuri kabla ya kuandika jambo ujipange ili ueleweke, umetumia muda mwingi kuandika kwa maneno ya kuokoteza kwani haukujipanga.
Cdm sio ya kufa leo bruh! Trust meKwa hili CHADEMA ndo wanapaswa kulaumiwa sana Haswa Mbowe. Sumaye na Mzee Lowassa hawakupaswa kukubaliwa CDM na kupewa nafasi za juu kiasi hicho. Wale naamini walikuja kuvuruga au kutafta POWER. baada ya Lowassa kuona kapigwa chini na kujua kwamba nothing has left akarudi hom. Sumaye anazuga kusema et hajihusishi na siasa tena ila atakua mshauri. Waondoke warudi hom ila pia CDM nayo cdhani kama watafika mbali.
Kwa mbaaali naiona ACT inakuja kwa nguvu na ndo inaeza ikawa chama itakayochuana na CCM.
Nimewaza tu kwa sauti lakini
Post yangu iko wazi nimejikita kwenye kanuni za kiutawala hasa viapo na ufuatiliaji wake kwa kutumia usemi wa they will never walk alone, they are always shadowed. Wewe umekwenda mpaka Tabora na mambo mengine ambavyo sidhani unayo ushahidi wake zaidi ya kudhani.Lipi neno la kuokoteza Ndugu, usitangulize ushabiki, shughulisha halmashauri ya kichwa chako utaelewa tu.
Using'ang'anie Kanuni za kiutawala tu, kila kitu kinaeleweka, kuna Historia pia lazima uifahamu FS alifikajefikaje hapo CDM ,pia si kila utakachoandika kikubaliwe na wote, na ukifahamu Historia vizuri utajishughulisha kuufahamu ukweli badala ya kunishambulia, sijaandika mambo ya kudhania wala kuokota, kwa kukusaidia anzia safari ya mabadiliko ilivyoanza na yanayoendelea leo !Post yangu iko wazi nimejikita kwenye kanuni za kiutawala hasa viapo na ufuatiliaji wake kwa kutumia usemi wa they will never walk alone, they are always shadowed. Wewe umekwenda mpaka Tabora na mambo mengine ambavyo sidhani unayo ushahidi wake zaidi ya kudhani.
Viongozi makini hawawezi wakamuachia uongozi wa huu kabisa aliyetoka kwa upinzani wake na viapo vya daima.
Kama watabadilika sawa haitakua ya kufa leo. Ila kwa mwendo huu haidumu. Trust meCdm sio ya kufa leo bruh! Trust me
Kanuni za kiutawala ambavyo ni viapo alivyoapa akiwa kwenye nafasi ya juu serikalini haimpi nafasi ya kushiriki siasa ya uongozi kwenye chama cha upinzani, lazima alinde mambo nyeti ya mtawala aliyoapa kuwa atayalinda daima, nafasi za chini zinamtosha.Using'ang'anie Kanuni za kiutawala tu, kila kitu kinaeleweka, kuna Historia pia lazima uifahamu FS alifikajefikaje hapo CDM ,pia si kila utakachoandika kikubaliwe na wote, na ukifahamu Historia vizuri utajishughulisha kuufahamu ukweli badala ya kunishambulia, sijaandika mambo ya kudhania wala kuokota, kwa kukusaidia anzia safari ya mabadiliko ilivyoanza na yanayoendelea leo !
Ndugu zangu watanzania wenzangu, hamjambo
Mwakana hakuna Mbunge wa Chadema atapenya na ndio utakuwa mwisho wa CDMWanaCCM wanaoshabikia Sumaye kuukosa uongozi wa juu CHADEMA wamefadhaika lengo lao kukwama. Sumaye angetaka kuonesha uaminifu wake CHADEMA angetumia muda mrefu kuwa mshauri wa chama hicho ili ajijengee uaminifu usio na shaka.
Sumaye alipokuwa Waziri Mkuu alikula viapo Serikalini kuhusu kuhifadhi siri za Serikali na viapo hivyo ni vya kudumu mpaka mwisho wa uhai wake hivyo mchango wake kwa CHADEMA itakuwa wa kawaida na wenye mashaka kumpa nafasi ya juu kabisa ya chama.
Lazima tujue kuwa Sumaye muda wote yuko chini ya uangalizi maalum wa huko alikotoka kuhusu viapo vyake, (like strangers but do not trust them)
CCM walikosea sana kutumia juhudi nyingi sana kuhakikisha Sumaye anashika chama ili waweze kujipenyeza na kukiua chama, juhudi hizo ndizo zilizowaamsha wanachadema na kuwa na shaka isiyo na shaka.
Mwisho ningetegemea baada ya kuukosa uongozi wa juu kabisa yeye asingejitoa ili aweze kujijengea uaminifu wa ziada na kuonesha uhalali wa kuchgua na kuchaguliwa, angewauliza wale wanaoshabikia kuwa lazima ashinde nafasi ya juu ya CHADEMA walitaka nani asishinde na kama ni hivyo kwanini walifanya uchaguzi badala ya kuteuliana.
CCM mnapokuwa na projekti nyeti msijioneshe wazi mkaleta mashaka.
Kura yangu na yako sizo zinazotupa wabunge na Rais sasa chaajabu ni nini, kwani hao wabunge wa CCM waliopo wanachokifanya cha ajabu ni kipi! Jenga akili yako acha ushabiki wa kijinga.Mwakana hakuna Mbunge wa Chadema atapenya na ndio utakuwa mwisho wa CDM
Kanuni za kiutawala ambavyo ni viapo alivyoapa akiwa kwenye nafasi ya juu serikalini haimpi nafasi ya kushiriki siasa ya uongozi kwenye chama cha upinzani, lazima alinde mambo nyeti ya mtawala aliyoapa kuwa atayalinda daima, nafasi za chini zinamtosha.