Anayefahamu Tiba hii, Anisaidie.

pole sana kwa hilo tatizo. Unahitaji ujijue vizuri na uzingatia kuwa maisha yako ni muhimu kuliko kutambulishana kwa wazazi. Kama jamaa yako siyo mwaminifu na ndiyo maana mnatumia kondom, je mkioana mtatumia condom milele! Plz think big Lady!

Ksngr we acha tu!
Yani anatamka waziwazi,"ukiniacha mawili,ufe wewe au tufe wote" yani naishi nae huku roho mkononi.
Polisi tumepelekana,na msimamo wake huohuo kuwa haniachi,na nikijaribu kutotumia mpira basi nafanya tu kishingo upande,huko kupelekana hsptal tu ilikuwa ugomv mkubwa,
Imefikia mahali kila ifikapo asubuh nakimbilia magazeti ili kuangalia skendo zake,
Ataniua jamani.
Acha tu Kisungura,niko njia panda.
 
hee,jamani kwani lazima ndoa?mtu sio muaminifu hivyo,ndoa ina long commitment.kabla ya ndoa matatizo hayo.jee baada ya ndoa,mkikaa wote miaka 5 au 6,utakuja kujuta.
 
Kwa kweli kufanya Ngono bila kutumia Condom kumeumbwa kiasili hasa na raha yake sio mchezo hasa ukimpata anayejua Shughuli yenyewe! Tatizo ni haya masuala ya uaminifu na Magonjwa ya siku hizi! Kufanya Ngono na Condom kunapoteza ladha na raha halisi ya tendo lenyewe na ni bora uache kabisa jambo hilo. Wapo Wanaume Waaminifu sana tuu na changamoto uliyonayo ni kuwa hujakutana nao bado. Hebu jipe likizo ya kutofanya Ngono kwa Miezi mitatu na kipindi hicho uwe una nawia maji ya baharini ambayo utayapasha moto kidogo yawe ya vuguvugu na tatizo hilo litaisha.
 
Kwa dunia ya leo,kumpata mwanaume ambaye ni wa kwako peke yako kwa uaminifu cjui atoke wapi!
Cha umuhimu ni kupata tiba tu.

Acha papara wanaume waaminifu wapo wengi sana na waliotulia,tatizo lenu huwa mnarukia wanaume wa aina fulani ili msifiwe na matokeo yake mwishoni mnaona kila mwanaume anakasoro.usikate tamaa huyo uliye naye inaonyesha tayari kashakutenda and i can see that you are living in frastrastions kwani unafikiria ukimuacha vilivyokufanya umpende unaona utavikosa,sasa tafakari uone mwenyewe,ni bora uendelee kuishi na hayo mateso ya kuishi na mtu usiemuamini huku ukiteseka au umtafute atakaye kufaa na uishi naye utulivu,Pole kwa matatizo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom