Anataka chake

mtengwa

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
1,600
847
Naombeni ushauri wadau, Nina mpenzi mpya ambae 2meanza ku date toka mwezi wa pili mwishoni. Kiukweli tunapendana bt tatizo limekuja baada ya x boy wake kumpgia simu akaongea nae afu akakata akamwambia yuko bize anachat na mme wake (mimi). Toka hapo jamaa anampgia simu anamtukana na kutaka arudishiwe simu yake. Demu kaamua kuzima simu na kaazimia kumrudishia simu yake. Wadau hapa mnashaurije? Nimfanyeje jamaa maana ts 2 much
 
Maliza ugomvi usio na lazima, Mwambie arudishe simu yake!
Ushauri kwa wadada: Pia wajitahidi kuwa makini na vijana wenye tabia kama hizi ambao wanafuatilia vitu vidogo vidogo kama simu, na pia wajitahidi kujinunulia vyakwao na kuepuka kuwa tegemezi kwa boyfriend kuepuka udhalilishaji wa namna hii. Unaweza kurely kwa mume na siyo vi-boyfriend!!!
 
kweli mkali. Thanx kwa ushauri
 
hahaha...ilishakula kwake hiyo.
kwani alikuwa hajui kuwa ukisha muhonga demu basi sio chako tena....msimrudishie bana. akome.
 
Kama tatizo kwa huyo x wake ni simu na irudishwe tu, ili mbaki na amani

Sasa wewe unataka kumfanya nini huyo bwana???????

Suala hapo sio kufukuza nzi , unawajibika kuondoa mzoga unaoleta hao nzi kwako
 
Mwambie arudishe cm, lakini na ww uwe makini, kabla ya kuingia katika uhusino wa ndani na huyo binti hebu dodosa sababu za yy kutengana na huyo bf wk.
Unaweza kudhani binti anakupenda kumbe anakutumia kumwonyesha bf wake wa zamani kuwa c kitu kashapata mwingine, na wakati mwinine upepo unaweza kugeuka ukaachwa kwenye mataa.
 
Ndi tatizo la kudeal na vivulana,wanaume huwa hata wakihonga nyumba wakitemwa huwa hawana mda wa kudai dai!!

Cha kufanya mwambie huyo mpnz wako amrudishie hiko kimeo chake na siku anamrudishia awe na jisimu la ukweli na ajitahidi mpaka hiko kivulana kione itakua ni mwarobain tosha na atajiona wewe uliyemuopoa huyo mdada umemfunika mbaya!

Wewe hiyo ishu haikuhusu wala usiingilie kwa kupambana na hiko kivulana mwachie mdada amalizane naye mwenywe!!!
 
wanaume sometimes ni washamba,yani mpaka simu unadai kwani uliombwa ununue si unanunua kwa mapenzi yako?sasa unadai ya nini?huyo jamaa hata akienda mahakamani bado sheria itambana maana ukishamnunulia mwanamke kitu tiari ni mali yake

sasa kumkomesha simu msirudishe na akipiga simu msipokee mwishowe atachoka
 
Unacheza na penzi la masikini mtafanya nin tena mrudishieni simu yake mnunue ya kwenu.Jamaa anaumia kwa kuwa mipango yenu ya KUUNGANISHA VIKOJOLEO inapangwa kupitia simu yake isitoshe mchizi alizichanga ili amnunulie demu wake we umeingilia kati alafu unauliza umfanyeje?
 
Duh! kumbe Wanaumme kama hawa bado wapo? umeshahonga demu sasa unamdai ya nn? amrudishie matapishi yake tena ikizi wala asionane nae ampe mtu akampeleke huyu jamaa hana lolote katemwa ndio anaona uchungu...
 
Yani wewe issue ya kurudisha simu ndo inakupa shida? mwambie arudishe haraka! Si alimnunulia ili awasiliane na yeye na wewe mtafutie hata Kama mchina! Si Kila kitu mnaleta jf eti mnaomba ushauri mnachosha!
 
Naombeni ushauri wadau, Nina mpenzi mpya ambae 2meanza ku date toka mwezi wa pili mwishoni. Kiukweli tunapendana bt tatizo limekuja baada ya x boy wake kumpgia simu akaongea nae afu akakata akamwambia yuko bize anachat na mme wake (mimi). Toka hapo jamaa anampgia simu anamtukana na kutaka arudishiwe simu yake. Demu kaamua kuzima simu na kaazimia kumrudishia simu yake. Wadau hapa mnashaurije? Nimfanyeje jamaa maana ts 2 much

Wewe hihitaji ushauri ila huyo girlfriend wako anahitaji umsaidie kwa kumpa moyo afanye hicho alichodhamiria.

Halafu huu mtindo wa kubadilisha wapenzi kila siku ndio maana kuna wengi wanalalamika kukosa kuijuwa bikira!
 
nyi ni vitoto? Unaona raha kutumia kifaa cha mwanaume mwenzio kubong'a na mwanamke wako? Ka unampenda mnunulie bb kaka.
 
Asanteni kwa msaada wenu, binti alimrudishia jamaa simu yake. Jamaa akajifanya kama anatania demu akampa chake akasepa
 
Now kazi ninayo mimi, nina simu mbili. Moja naitumia kwa mambo ya internet via zantel. Ya pili ya kichina nimeweka double line ndo zinazojulikana na ndugu, friends n.k. Ye haonyeshi kutaka nimnunulie ila napata wakat mgumu na kujishtukia afu nimef ulia
 
pole sana mtapata tu sio lazima bb hata Nokia toch kwa kuanzia poa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom