...anashindwa aanzie wapi....ushauri pliiiz

mymy

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
296
110
hello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio nzuri. anaomba ushauri aanze vipi? nimelileta hapa hili coz najua penye wengi hapaharibiki neno, ukizingatia wakaka wapo humu ambao wanaweza kumwaya mwaya siri za jinsi wanavoweza kusamehe kirahisi.....
 
Aanze kwa kumtumia text message au barua pepe akionyesha contrition na akikiri kuwa alimkosea.

Halafu asubiri response au tone ya response ya huyo jamaa yake. Baada ya hapo atapima hali ya hewa ikoje na atajua cha kufanya.

Au kama anaweza amtafute tu huyo jamaa yake wayamalize ana kwa ana.
 
kama alimtukana mwenie na text aanze na text kuomba msamaha apime upepo aombe apontment sehemu nzur na tulivu kwa gharama a huyu mdada sehmeu tulivu eg mliman city n.k na ashuke chin akir kusa lako eye to contact itafaa sana kwenye haya maungumo,ol the best!
 
Cha kufanya ni kumfata kwenye makazi yake!

Lakini hasisahau kusema baby ni mekosa naomba uni samehe!

Mwambie ajifanye analia kabisa.

Kwa mimi l
 
Huu ushauri mzuri sana,kama atashindwa amtume rafiki yake na huyo BF wake ili awakutanishe waongee.Mimi huwa napenda sana watu wa kutambua kosa na kuomba samahani, huyo dada naona ana akili.Baada ya hapo jamaa apige gemu ili kukamilisha mjadala.
 
Cha kufanya ni kumfata kwenye makazi yake!

Lakini hasisahau kusema baby ni mekosa naomba uni samehe!

Mwambie ajifanye analia kabisa.

Kwa mimi l

Hiyo mbinu hapo kwenye red nimecheka sana.Ila vitani ni kujaribu mbinu zote
 
Hebu funguka zaidi basi ndugu mtoa mada tuchangie!Ilikuwaje mpaka akamtumia hizo sms chafu?na je hizo sms zinasemaje?Tupo vidume wengi tu huku tunaweza kumsaidia kwa ushauri.
 
Mpe hongera huyo dada kwa kutambua amefanya kosa. Aombe wakutane ana kwa ana amwombe nmsamaha naamini huyo bf atamsamehe kama hana roho ya kisasi
 
Hebu funguka zaidi basi ndugu mtoa mada tuchangie!Ilikuwaje mpaka akamtumia hizo sms chafu?na je hizo sms zinasemaje?Tupo vidume wengi tu huku tunaweza kumsaidia kwa ushauri.

atleast tujue japo hata tusi moja,labda alimuambia unifikishi kileleni,au kwenu maskini wewe,au mwanaume gani hata game haujui nk.kama ni mimi no return.
 
Face to face ndo njia nzuri na lazma atakusamee. Tena kama anakupenda ndo fasta tu ukiwa karibu nae lazma kieleweke
 
hello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio nzuri. anaomba ushauri aanze vipi? nimelileta hapa hili coz najua penye wengi hapaharibiki neno, ukizingatia wakaka wapo humu ambao wanaweza kumwaya mwaya siri za jinsi wanavoweza kusamehe kirahisi.....
Kuna kitu kinaitwa kukiri makosa, hii huwa ni tatizo kubwa sana kwa binadamu kwasababu hakuna binadamu anayekubali kuwa amekosea kirahisi. So anachotakiwa kufanya ni kumwambia huyo bf wake kwamba ni kweli alikosea na ana apologize from moyoni. I believe in time huyo bf wake kama bado ana nia na yeye na anampenda atamsamehe tu though itachukua muda lakini asikate tamaa
 
Hebu funguka zaidi basi ndugu mtoa mada tuchangie!Ilikuwaje mpaka akamtumia hizo sms chafu?na je hizo sms zinasemaje?Tupo vidume wengi tu huku tunaweza kumsaidia kwa ushauri.

hazikua sms chafu kivile, ni kwamba hao wapenzi wawili wanaishi mikoa tofauti na huyo kaka kule aliko anatoka na msichana mwingine. sasa huyu rafiki yangu (A) kujua hilo akapata hasira na kumueleza huyo kaka (B) kuwa 'endelea na huyo ulonae huko....umenipotezea muda....blah blah...! ila hakumtusi ya nguoni'. Kaka B anatoka na huyo alonae huko (wanafanya kazi pamoja) lakini anasema hataki kumpoteza dada A.....kuna ukweli hapo?
 
Reaction ya huyu mwanaume B ilikuwaje baada ya kuambiwa maneno hayo na dada A? Kama mwanaume anasema hataki kumkosa A basi mbona kazi ni nyepesi sana kuwapatanisha watu hao,maana kwa maelezo yako hata dada A bado anampenda kaka B. Hapo easy sana aanze kumchokoza kwa kumfanyia vitu anavyovipenda huyu kaka A,labda sms za kumjulia hali nk!!
 
....kaka B hakumjibu zile sms alikaa kimya. dada A naye baada ya kutuma zile sms alikaa kimya for about 2days bila kuwasiliana na kaka B. siku ya 3 akamtext kaka B kumueleza kuwa ilikua hasira tu kaka B hakujibu. akamcall kaka B kumuuliza kama aliipata sms, kaka akapokea akajibu kaipata na kuwa kusameheana ni lazima. wakaendelea kuchat kwa sms wakiongea mambbo mengine tu na si kuhusu uhusiano wao. sasa dada A anataka aanzishe maongezi kuhusu relation yao ndo anashindwa coz anahisi kaka B atakua bado anakinyongo rohoni
 
Mmh!Kwa hali hiyo naungana na wenzangu kwakweli ni bora huyu dada A atafute namna ya kukutana na huyu kaka B face to face.
 
....kaka B hakumjibu zile sms alikaa kimya. dada A naye baada ya kutuma zile sms alikaa kimya for about 2days bila kuwasiliana na kaka B. siku ya 3 akamtext kaka B kumueleza kuwa ilikua hasira tu kaka B hakujibu. akamcall kaka B kumuuliza kama aliipata sms, kaka akapokea akajibu kaipata na kuwa kusameheana ni lazima. wakaendelea kuchat kwa sms wakiongea mambbo mengine tu na si kuhusu uhusiano wao. sasa dada A anataka aanzishe maongezi kuhusu relation yao ndo anashindwa coz anahisi kaka B atakua bado anakinyongo rohoni

yaani mimi naona chenga tu!!! Sasa kumbe mtu kakakusoea yeye halafu unamwomba msamaha??? yaani nimegundua sisi kinadada ndo maana wanaume wanatudharau sana, inawezakana saa ingine tunayataka wenyewe. Au labda sijaelewa vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom