Ananitesa jamani

golden girl

Member
Jun 19, 2013
66
2
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana

pole sana mkuu kwa matatizo!

labda kabla sijaenda mbali naomba nikuulize..

-uhusiano wako na huyu mpenzi wako una muda gani mpaka sasa?

-Je, mpaka sasa mlishawahi kuwa na ugomvi wowote?

-katika mahusiano yenu haya mpaka sasa, malengo ni kuoana ama bado hamjaamua lolote?

>I kwa ushauri wangu, naomba ujaribu kuongea na watu wake wa karibu ikiwemo
>I marafiki zake, ndugu, jamaa na marafiki, na hata ikiwezekana basi kimbilia kwa
>I wazazi wake ili uweze kufahamu tatizo hasa ni nini!
 
Pole......chunguza ujue nini tatizo.Ila kwa upande wangu hizo ni dalili yakukuchoka,amekutumia ametosheka sasa akil kumkichwa!!!!
 
Pole mumy... embu jaribu kupiga kimya nawewe uone atachukua hatua ipi, ukiona kimya na yeye ujue haupo moyoni mwake.
 
Pole mumy... embu jaribu kupiga kimya nawewe uone atachukua hatua ipi, ukiona kimya na yeye ujue haupo moyoni mwake.
Hili la msingi,mradi ulishamtafuta sana akadai yuko busy fanya mambo yako naye mpe nafasi kama akirudi kheir mtayaongea na ku move on,asiporudi pia kheir maana Likuepukalo una kheri nalo.
 
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana

Hii ni dalili ya baadhi ya w/ume ambaye hajiamini kukuambia ukweli kwamba sikutaki. Bi dada hapo huna chako jamaa ameshakutumia kama Kondom so,hakutaki tena.
 
Mchunie tu kwa muda uone usimpgie wala kumtext akikaa kmya bila kukutafta ujue mapenzi yamekauka ! Akikutafta shukuru!
 
Ndo ambavyo huwa wana anza, utateseka moyo wako wewe. Cha kufanya wekeza muda wako ktk kufanya mambo yako, kuwa karibu zaidi na ndugu zako na marafiki zako. Ikiwezekana mfute kabisa, fikiria anavokutesa,anavyopoteza muda wako, na inawezekana anakudharau anaona huna kwa kwenda yaan anajiona anakucjanganya hujiwezi kwake ukitafakari haya kidogo kidogo utaacha kumpa umuhimu.
 
Pole sana kamanda ukiona hivyo jua kuna walakini tayari ,hata housegal anapata muda wa kuwasiliana na boyfriend wake acha kupenda kwa moyo tumia akili tu kamanda utateseka sana 'another chance 4 you to choose a young beautiful gal"
 
ndugu wana jf nina mpenzi wangu nampenda sana, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu kuwa mwaminifu kwake lakini tangu amegundua kuwa nampenda ananitesa sana, muda mwingi hapokei sim zangu, text sometimes hajibu, anadai yuko bize sana na majukum ya kujenga taifa,sina la kufanya jaman mnishauri ndugu zangu mana nampenda sana

Mvumilie hiyo hali huwa ni kawaida kwa baadhi ya wakaka, anapatwa na msongo wa mawazo wa kimapenz labda kutokana na kuwa mbali na mpenz wake kwa kipindi kirefu bila kuonana, anapokutana na hali hiyo kisingizio huwa ni ubusy na kazi but sometime unakuta hata kazi hawezi kufanya. Uzoefu unaonesha hivyo
 
pole sana dia, huyo ameshapata mwingine na anaona aibu kukuambia ukweli kwamba hakutaki tena coz ameona dat u lav him. Giv uaself space.
 
pole sana ndugu yangu. i can imagine maumivu uliyonayo kwa sasa. jaribu kujikeep bize, kufanya mazoezi na kama ikiwezekana kutoka out na marafiki. usimsumbue kwa sms wala kumpigia kama akirudi basi ni wako otherwise endelea na maisha yako utapata mwingine.
 
umeshaambiwa anajenga taifa! sasa we hutaki kuona taifa linasonga mbele? come to ur topic, hapn hakuna mapenz. me huwa nikiachaga huwa nafanya kama huyo mchz wako. we mkubalie tu yule jamaa mwngne anayektokea daily na unamtosa
 
Hili la msingi,mradi ulishamtafuta sana akadai yuko busy fanya mambo yako naye mpe nafasi kama akirudi kheir mtayaongea na ku move on,asiporudi pia kheir maana Likuepukalo una kheri nalo.

Wise mamy!!!!
 
Back
Top Bottom