Ananipenda mimi na mdogo wangu nisaidieni.

Guyz nadhani wengine hamjanielewa, mimi nimewaomba mnisaidie cha kufanya. Kwanza kabisa nia yetu c kumchuna na pia hua hatumuombi atu recharge anatuma kila wakati, na c kwamba hatujatulia ndo maana nimeuliza tumchenjie au tufanye nini' kwa ukweli kati yetu hakuna anaempenda. .

Hapa ndo mnanipa wakati mgumu, kwanini mnapokea hizo buku kumi kama kweli hamumpendi?

.[/QUOTE]Kuchanganyikiwa na mimi c kumaanisha mi ni mzurii hapana na wala cjifagilí kwani m2 anaweza changanywa na tamaa zake 2, kwa hiyo mnanishauri nifanyeje kwa mwanaume mwenye tabia chafu kama huyo? .[/QUOTE]

Unaamini vipi kama mwanaume mwenye tabia chafu wakati wewe na mdogo wako wote ni wachafu?

[/QUOTE]Tumtokeze au aki2ma vocha zake twe 2nazi rudisha, kwani kila mtu kwa wakati wake alimwambia hataki jamani lakini kaka huyu ni king'ang'a msaada plz.[/QUOTE]

Rudisheni jumla ya vocha zote alizowapa,kama ni jumla ya laki 2 rudisheni jumla ya laki mbili,kama aliwapa vitu vingine nazo rudisheni kwake aelewe tu kwamba ninyi nyote hamumpendi! Siyo hapa uhuulizi ushauri,hapa wewe unajishauri nizirudishe au niendelee nae ili atupe pesa,HUJIAMINI!
 
Labda kama fundisho tuangalie dimension nyingine ya kitendo hiki wanachokifanya hawa watu ili waone ubaya wake na huenda itawashtua wajirekebishe:
Sijui wanaelewa kuwa huyu mwanaume siyo mjinga kivile.... anawachora tu na kuna siku atawazukia na facts and figures naye adai anachokitaka kwa wote, huku akijua na wao wakijua kuwa anajua wote ni ndugu.Hiyo siku ikifika watalia...maana hawajui ana mbinu gani za kishenzi kama na wao walivyo wabaya kumgidia *****!
 
Tena Baradhuri! Fisadi Kiwembe! anataka kuwalamba wote! Mwkeeni tego Mtembezeni 'utupu' akome! Wasiliana na waaandishi wa magazeti ya udaku! Watakusaidia tena nao watauza magazeti yao!

Anaweza akawa KIWEMBE au asiwe lkn hatumjui kiundani zaidi kwa huyo mkaka,ila kwa kuwafuata madada ndugu tumbo mmoja hata maandiko inasema ni laana mbele za Mungu,kwa kweli hapo tunamkemea kwa nguvu zote!
 
Jtena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo,.
Mnajua mnachokifanya, hizo airtime anatuma kwa njia ya simu au anawapa mkononi halafu mnapokea! Kama ni kwa njia ya kuhamisha kutoka kwenye simu yake kuja ya kwako ina maana mlishaongea kwa muda mrefu na kupeana namba za simu.Kwa hapo sina zaidi ila mtajuana wenyewe labla kama kuna tofauti na maelezo haya.
 
Huna hata haya kuomba ushauri hapa. kwani nyie hamna majibu? pesa mwazipenda kweli, na huyo mwanaume kawaona nyie vicheche ndo mana anafanya hivyo mara huku mara huku hana mapenzi ya dhati.
 
huyo Fataki achaneni nae hana mpango ,kha huyo mhuni aliyepitiliza ,lakini na nyie kwa nn one day yes akimpa appointment mmoja mnaenda wote mnamtolea uvivu


Dada,hivyo ni vi-EPA vya watu

Anyway,huyo jamaa hajatulia coz kuna uwezekano angekua amekubaliwa na dada mtu still angemuona shemeji ake na amtamani vile vile.
 
kitendo cha kupokea vitu vyake kinampa signal za SITAKI NATAKA!lkn mkimpa signal za we mean no when we say no angeshasepa zake,pia mie sioni kama huyu kaka ni bazazi sbb huyu dada kasema kuwa kaka hajui kuwa wao ni ndugu.hata hivyo sielewi kinachowashinda kumweleza tu kuwa sisi ni ndugu n we cant be with u,sasa unapouliza eti"sijui tumchenjie"sikuelewi maana mtu kukutongoza sio kosa nyie ndo mnaokosea kupokea vitu vyake wkt mnajua wazi hamumpendi,kwa nini upokee vitu kutoka kwa mwanaume unayejua hutakua naye?hata kama anatuma vocha kwa njia ya simu,kama mngekuwa hamzifurahii mgempasulia jipu kuwa unanitongoza mie na fulani ambaye ni mdogo wangu uone kama asingekata kamba.au mtakuwa mnapokea vitu vingapi kutoka kwa wanaume maana ukiwa mwanamke kila siku unatongozwa na kushawishiwa kwa kupewa vitu,si itakuwa kazi basi kila siku tukitongozwa tunakuja hapa kuomba ushauri jinsi ya kukataa,jifunze kusema hapana kwa kumaanisha, na mchezo wa kula vitu vya wanaume ambao unajua wazi huwapendi utakutokea puani maana kuna wengine ni machizi,unajua usione wanaume wakijifanya wajiiinga wanapotufukuzia,wako kama kobe usiwaone wanakujia wameinama,wanatunga sheria shosti,shauri yako!
 
Hakuna ubaya wowote kutongoza mtu na dada yake. Niliwahi kumtongoza dada mtu lakini nilikuwa simpendi sana. Nikatongoza mdogo basi mambo yakajipa na nikaachana na mkubwa.

Cardinal rule of relationship, usiwe na tamaa ya kutaka kuwa na mahusiano na sisters or friends. Utavunja urafiki na udugu wao.

Mbona wasichana wapo wengi tu wazuri na wametulia. Wanaume wa kutongoza marafiki, sisters are men of no scruples, na kawaida history repeats itself.
 
halafu hizi thread za kujifagilia humu ndani tumeshachoka.
eti alipokuona wewe ndo akachanganyikiwa kabisa,really?
hebu weka picha yako tuone utachanganya wangapi humu?
isije kuwa jamaa kaambiwa nyinyi hamjui sema no??????

Imebidi nicheke. Jamani ikiwa hamna mtu wa kumsifia uzuri wake inabidi ajisifie yeye mwenyewe au?

Kumbuka kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.....
 
huyo kwa jina la kitaalamu anaitwa 'bazazi'
PRETA nimekukosea nini hadi kuninasibisha na hii kadhia ya kiundawasimu inayoendekezwa na WANAWAKE wengi sana (zaidi ya 68% ambayo ni normal distribution). Wanawake hao kwao cha muhimu sio mapenzi ni mshiko tu. I tell you hawa wote huyo jamaa lazima awapitie, na kwa vile ana machungu lazima azibue mitaro ya maji machafu. Na kwa ujinga wa wanawake yakifika huko wahawasema na hivyo kuendelea kulambwa kiulaini, tena kiulaini zaidi. Preta tafadhali niombe radhi na uyaondoe maneno yako kwamba huyo ni BAZAZI. Plz harry to do so!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tena Baradhuri! Fisadi Kiwembe! anataka kuwalamba wote! Mwkeeni tego Mtembezeni 'utupu' akome! Wasiliana na waaandishi wa magazeti ya udaku! Watakusaidia tena nao watauza magazeti yao!

He kiongozi maneno ya kitaarabu umejifunzia wapi tena? Huwa una mahudhurio kidogo maeneo hayo?
 
Mamushka mmoja kati yenu ampe tu kaka wa watu jamani mtapata thawabu!!
 
Nadhani mnafanana sana na ni wazuri haswa, sasa hajui ni yupi ana deal nae...
Cha maana hapa ni nyinyi kwasababu mtaji mnao, mjitahidi awamege wote, atatoa zaidi na zaidi.
Hamuhitaji ushauri manake mnapenda kinachoendelea...
 
WoS, hao wanataka hizo vocha za buku kumi (si kidogo hiyo na hapo hajatuambia offer nyingine isije ikawa na kodi ya nyumba analipa)

hapa huyu Mamushka anatafuta tumhalalishie anachofanya....actually she know that she has to STOP that game kama yuko bado sober, lakini kama ndo mambo ya siku hizi....hapo aendelee tu lakini awe tayari kwa threesome at some point.

jamani mwenzenu anaomba ushauuuriii hajui atakataaje maofaz ya mukaka anayegawa vocha kama hana mawazo.
ila na nyie kaka zetu muachage kutongoza kwa kutanguliza material thingz.mi shemeji yenu nilimpenda na nilimkubali nikiwa sijui kama anamiliki hata baiskeli na wala hakunitega kwa mavocha wala pesa wala kujionesha sijui ana nini.

.....jamani wapi kaizer....
 
rayb usinivunje mbavu mwana wa mwenzio jamani hahaaa

Si ndo hapo wampe tu kwani inaonyesha anachotaka ni mapenzi na sio mapendo kutoka kwako. Na wao wanaonyesha wako tayari ila wanajibaraguza tu hapa! Kidogo tu mara moja sio mbaya, saidia wenye shida!
 
Jamani wadau nisaidieni, kuna mtu alikutana na mdogo wangu akampenda sana, akamfwatilia bila mafanikio, then akakutana na mimi akachanganyikiwa zaidi na mimi nikasema no sasa karudi kwa mdogowangu tena yani hizi air time za bukukumikumi nianatuma kama hana mawazo, akitolewa nduki anarudi kwangu tena anaanza upya na hajui kama mi na mdogo wangu tunajua anchofanya je huyu mtu tumfanyeje? tuendelee kutumia vijisenti hivyo au tu mtoe nishai? nisaidieni.
RayB mie naenda kulala ila nakuachia kifungu hicho umpatie great thinker mwenzio ushauri alioomba kufuatana na hekima zako!
 
Yawezekana ndiyo mambo ya mujini ya kutafuta maisha! Inakuwaje mwajua jamaa anawafukuzia nyote wawili kama ndugu halafu mwajifanya hamjui huku vocha mwatumia? Mwenye njaa ama kiu hachoki kuhangaika kukidhi haja yake, na pale anapohangaikia daima huamini patamkidhi haja yake, msiendelee kumsumbua bora mmoja wenu amtimizie la sivyo mwambieni ukweli kama kweli mna nia ya dhati!
 
Msichukue vijisenti vyake,
Ninyi kutaneni wewe na Mdogo wako na yeye Mwenyewe huyo Mwanaume, Alafu mumueleze kuwa ninyi ni ndugu ni Mwiko kuchanganya mtu na dada yake.
Kuanzia leo basi.
Ukiendelea tutakushitaki.
 
PRETA nimekukosea nini hadi kuninasibisha na hii kadhia ya kiundawasimu inayoendekezwa na WANAWAKE wengi sana (zaidi ya 68% ambayo ni normal distribution). Wanawake hao kwao cha muhimu sio mapenzi ni mshiko tu. I tell you hawa wote huyo jamaa lazima awapitie, na kwa vile ana machungu lazima azibue mitaro ya maji machafu. Na kwa ujinga wa wanawake yakifika huko wahawasema na hivyo kuendelea kulambwa kiulaini, tena kiulaini zaidi. Preta tafadhali niombe radhi na uyaondoe maneno yako kwamba huyo ni BAZAZI. Plz harry to do so!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu, huyu alisafiri juzi kaenda zake kijijini kwao Mtakuja Ujamaa Village!...Kwa niaba yake yeye binafsi, nakuomba msamaha mkuu, aliandika akiwa hajui uwepo wako hapa ndani!

Lakini nawe Mkuu umepotea mno..huh!..Mi kimoyomoyo namshukuru, maana kwa bandiko lake nyoka ametoka mwenyewe pangoni!..
Karibu Mkuu!
 
Back
Top Bottom