Ananiongopea kwamba ni bikra pamoja na mimi kutouona ubikra wake

Kama unatafuta bikira kachumbie mtoto wa darasa la kwanza B, kuanzia la pili hawana
 
Huyo kashakupima anakuona ndezi. nawewe ni ndezi kweli kama unahitaji ushauri kwa jambo kama hilo
 
MKUYENGE,

Wewe mpaka sasa umeamje ....unampenda?au unuzuga zuga naye ? ila kwa mtu ambaye anaridhika na huduma anampotezea ila huduma huduma inakidhi vigezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom