Ananionesha kila kitu SKYPE!!

usikute ndo tabia yake kwa yeyote anampa raha za skype, hebu mpe mshikaji wako acount/username yake ajarbu kumuaproach aone je atapewa raha unazopewa au atachomolewa...!
 
..kiukweli nasikitika kukwambia hivi achana na tabia hiyo na ujitahidi sana kutotumbukiza hizo Video Pics zako kwa mtandao kwani nina ndugu yangu mmoja ana tabia ya kukusanya Pics za watu na kuzi-frame saafi kisha huzipost kwenye mitandao ya mashoga sa angalia asije pata na zako manake jamaa ndo kazi inayomfanya aishi..afu ukaharibu kila kitu, urudi tena hapa kuomba ushauri..
 
Back
Top Bottom