Ananionesha kila kitu SKYPE!!

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!
 
hahah haya bwana wewe jienjoy kijana wala usipate tabu.
sasa hapo mwisho wajidanganya...wewe wala kwa macho wapo wanao tomasa na kuonja utamu halisia na sio via skype!
 
Angalia usiishie kuona tu, kula wale wengine... Shaurilo!!!

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums
 
Hahahaha!!! Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, kaka unaambiwa unakula kwa macho unasema " potelea mbali"???? Haha

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Tena kaniambia atakuja mwezi August, sipati picha,...
 
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!

Wasukuma wa busanda hawaijui hata iyo skype,jamani tz haijaendelea kiivyo,kama unamudu ujue mpo wachache in tz.
 
Ukimaliza kula kwa macho unatumia sabuni gani kupiga bao
 
Hivyo eeh?

Basi na mimi sent from my nokia tochi yusing meseji of kawaida.

Angalia usiishie kuona tu, kula wale wengine... Shaurilo!!!

Sent from my BlackBerry Porsche using JamiiForums

Hahahaha!!! Ama kweli penzi ni kitovu cha uzembe, kaka unaambiwa unakula kwa macho unasema " potelea mbali"???? Haha

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Kama unaridhika pouwa vumilia inaonekana mnaridhishana na wewe unajisaidia kuja pia.
Ila duh mwanamke huyo ana moyo, labda pale mjini Amsterdam red district ndio home kwake.
Pia unaweza ukaja ukapenda mambo mkikutana, kama unamzungusha yeye anategemea mtaenda mbali na wewe unaandika kujiringia eti long dist huwezi basi mwambie unavyotaka.
 
Ni miezi mitatu sasa naenjoy maraha tele ya binti wa kitanzania aliye masomoni Netherland.
usiku tunajinafas vya kutosha kwa kuoneshana kila kitu.
Kwangu hoja ya distance relationship doesnt work ni kama hoja isiyo na mashiko.
Naenjoooooooooy!
Mkuu naona kama unajidanganya tu, wakati wewe unaonyeshwa tu wenzako huko aliko wanakula live. Hata wa kuonyeshwa pia unaweza ukawa si peke yako, fahamu kwamba na wengine waonyeshwa pia.
 
Back
Top Bottom