jamani yashakuwa hayo, watu wasiseme interest zao, wakisema wanashabikia chama fulani kweli tanzania uhuru wa maoni bado sana. Yaani hatuwezi kusimama kwenye ukweli, ni kuongea ulipo na maslahi yako, hala jamni.
Binafsi nimekuwa nikifuatilia sana matamko mbalimbali yanayotolewa na TAMWA kupitia kwa ANANILEA NKYA.
Matamko haya ndo yamenifanya nitake kujua huyu ANANILEA NKYA ni nani na ana uhusiano gani na CHADEMA/VIONGOZI WA CHADEMA? Maana zamani nilikuwa namsikia tu RTD.
Kama mmemsikia vema, majuzi alitoa tamko kupinga kauli ya Mnadhimu mkuu wa jeshi ABDULRAHMAN SHIMBO na siku mbili zilizopita alipinga ripoti za REDET na SYNOVATE kuhusu uchaguzi mkuu mwaka huu. Nionavyo mimi, TAMWA kama chombo cha wasomi hakipaswi kupinga ripoti hizo kwa kufuata mkumbo eti kwa kuwa watu wengi wamenazipinga (sijui hao watu wengi amewahesabu vipi), bali nao wangefanya utafiti wao ambao ungeweza kuja na majibu tofauti hata kama wangeyapika matokeo hayo.
Ndo maana tunaambiwa NO RESEARCH, NO RIGHT TO SPEAK.
Napata mashaka na ninaelekea kuamini kuwa labda kwa kuwa nae ametoka mkoa wetu ulee ambao unahusishwa na chama (kampuni) yetu ya CHADEMA? Maana TAMWA ni INTEREST GROUP, hivyo ni wazi kuwa ana INTEREST huko.
Umeuliza halafu umetoa jibu.Binafsi nimekuwa nikifuatilia sana matamko mbalimbali yanayotolewa na TAMWA kupitia kwa ANANILEA NKYA.

Napata mashaka na ninaelekea kuamini kuwa labda kwa kuwa nae ametoka mkoa wetu ulee ambao unahusishwa na chama (kampuni) yetu ya CHADEMA? Maana TAMWA ni INTEREST GROUP, hivyo ni wazi kuwa ana INTEREST huko.[/QUO
Nakuunga mkono mia kwa mia,siku ile naona macho yamemtoka anafoka hovyo hovyo kwa kitu ambacho kiko wazi kabisa,nilimshangaa kweli kweli,nimemtoa maanani kabisa.
Basi kama hivyo ndiyo ilivyo Wanachi wengi kati yetu hatuwezi kufikiri wala kuchambua mambo. sasa taifa letu litakuwaje? Mimi nafikiri tatizo siyi chama cha CCM bali tatizo ni baadhi ya Watu ambao wanaulewa wa kufikiri na Kuchambua mambo ila kwa makusudi wanahujumu taifa. Mbona baba wa taifa alikuwa chama hikihiki?Nilikuwa nadhani wewe una hekima kweli. Niseme kweli na si ushabiki mwananchi wa kawaida kuishabikia CCM ni lazima uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo ni mdogo sana.