Ananilazimisha tukapime Magomeni tuu na sii hospitali nyingine

naisha nasri

Member
Apr 25, 2016
67
64
Nimekutana na dada mrembo, anaclaim kama na yeye amenipenda sana.Shida imejitokeza nilipoomba mzigo nikaambiwa lazime tukapime kwanza.

Nimekubali kwenda kupima afya zenu na tukakubaliana kwenda Jmosi ya leo,usiku wa kuamkia leo ananiambia tutaenda Magomeni, nimeuliza kwa nini anasema lazima twende huko, nimejaribu kumconvince kwamba hospital zipo nyingi kwa nini twende Magomeni?.

Nimemwambia Magomeni siendi lakini niko tayari kwenda hospital yoyote isipokua huko Magomeni.
Najiuliza Magomeni kuna nn?
 
Unapigwa changa la mapenzi wewe na hutaamini utakapojua una ukimwi au gonjwa la ngono.
Huko magomeni kuna mtu kaongea nae atengeneze cheti feki ili uamini kuwa ni mzima.
Kama vipi we nenda kapime hapo magomeni halafu mwambie na wewe unataka mkapime hospitali uipendayo ili muende sawa vininevyo kaburi linakuita kwa hamu
 
Well said.over.
 
Nimekutana na dada mrembo, anaclaim kama na yeye amenipenda sana.Shida imejitokeza nilipoomba mzigo nikaambiwa lazime tukapime kwanza. Nimekubali kwenda kupima afya zenu na tukakubaliana kwenda jmosi ya leo,usiku wa kuamkia leo ananiambia tutaenda magomeni, nimeuliza kwa nn anasema lazima twende huko,nimejaribu kumconvince kwamba hospital zipo nyingi kwa nn twende magomeni?.Nimemwambia magomeni siendi lakini niko tayari kwenda hospital yoyote isipokua huko magomeni.najiuliza Magomeni kuna nn?
Na kwann wewe hutaki kwenda magomeni?? Sasa angekuwa anataka labda kukuambukiza ulivoomba mzigo c angekupa tu?? Kwann akwambie mkapime?? Hoja yako haina mashiko
 
Kuondoa mzizi wa fitina mwambie mtapima points mbili. Ya kwako iwe siri kwa sasa na ya kwake ya Magomeni. Mkimaliza kwake mnaunga kwako. Kuwa makini mno. Mimi walahi ni lazima nikupime hospital kubwa na ELISA. Wewe pia una Uhuru wa kunipima unakotaka wwe ili mradi antigen test nimekufanyia. Sikia HIV kwa mwrnzako tu.
 
Na kwann wewe hutaki kwenda magomeni?? Sasa angekuwa anataka labda kukuambukiza ulivoomba mzigo c angekupa tu?? Kwann akwambie mkapime?? Hoja yako haina mashiko

Lengo la huyo dada ni wakipima aonekane hana,then siku za mbele wakija kuonekana wameathirika ionekane mwanaume ndo kaleta...au isijulikane aliyeleta maambukizi
 
Na kwann wewe hutaki kwenda magomeni?? Sasa angekuwa anataka labda kukuambukiza ulivoomba mzigo c angekupa tu?? Kwann akwambie mkapime?? Hoja yako haina mashiko
Aliomba wakapime ili baadaye aseme wewe ndio uliye muambikiza wake up and smell the coffee bro
 
Na kwann wewe hutaki kwenda magomeni?? Sasa angekuwa anataka labda kukuambukiza ulivoomba mzigo c angekupa tu?? Kwann akwambie mkapime?? Hoja yako haina mashiko
Hapa kinachowasumbua huenda wote wawili yeye na mtarajiwa wake ni hofu na ubinafsi.
Ninasemaivyo ninamaanisha. Hivi kuelewa afya yako ya msingi hadi usubiri kupata mwenza?
Kwanini asitangulie yeye kwanza hospitalini hapo akacheki kivyake,afu aje waende pa1. Wakitoka kupima hapo wakakonfemu sehemu nyingine tena.
Wakishakonfemu wabebe na rula za kupimia na vitendanishi vyake wakarudie kujipima wao wenyewe nyumbani?
Uzuri, ngoma huwa haidanganyi kipimo,asikwambie mtu. Lazima itachora mara mbili, hata upime ×100,jibu litatoka vilevile.
Mwanamke mzuri umkose kwa kushindwa kutumia technic kidogo namna hiyo? Mwenzetu una nini!
Hamuwezi kuogopana hivyo wakati njia ya kuujua ukweli ni nyepesi!
Yawezekana wewe labda ndiye unayegwaya kuuelewa ukweli juu ya afya ya damu yako.
Tena kama mimi ningeanzana nae kwa "rubber", kuondoa mtero, af' mambo mengine yangefuata baadae polepole kiulaiiini! Wee vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom