Ananilazimisha tukapime Magomeni tuu na sii hospitali nyingine

Halafu mtoa mada avatar yake ameandika yeye ni female, sasa sijui which is which
 
Lkn yeye ndo kakuambia mkapime

Naihsi ndo anawasi wasi na ww cha kufanya play fair nenda magomeni then muende na sehemu nyingine
 
Kuondoa mzizi wa fitina mwambie mtapima points mbili. Ya kwako iwe siri kwa sasa na ya kwake ya Magomeni. Mkimaliza kwake mnaunga kwako. Kuwa makini mno. Mimi walahi ni lazima nikupime hospital kubwa na ELISA. Wewe pia una Uhuru wa kunipima unakotaka wwe ili mradi antigen test nimekufanyia. Sikia HIV kwa mwrnzako tu.
Anaweza kuongea na mtu wake wakampandikizia ili baada ya miezi mitatu wakienda kupima upya wawe sare sare.
 
We kataa tu kama vp muende sehem yeyote na kwann akomalie mkapime?kwan ulitaka kula kavu nn
 
Nimekutana na dada mrembo, anaclaim kama na yeye amenipenda sana.Shida imejitokeza nilipoomba mzigo nikaambiwa lazime tukapime kwanza.

Nimekubali kwenda kupima afya zenu na tukakubaliana kwenda Jmosi ya leo,usiku wa kuamkia leo ananiambia tutaenda Magomeni, nimeuliza kwa nini anasema lazima twende huko, nimejaribu kumconvince kwamba hospital zipo nyingi kwa nini twende Magomeni?.

Nimemwambia Magomeni siendi lakini niko tayari kwenda hospital yoyote isipokua huko Magomeni.
Najiuliza Magomeni kuna nn?
Acha woga mwanaume jiamini! Ndo tatizo la wanaume wa dar wamejawa na woga,hofu na mashaka wakati wote.
 
mwambie mkapime sehemu mbili tofauti, na mpimwe na kifaa cha mwendo kasi kinachotoa majibu on spot mbele yenu, bila mtu yoyote kunyanyuka kwenda kokote
 
Nimekutana na dada mrembo, anaclaim kama na yeye amenipenda sana.Shida imejitokeza nilipoomba mzigo nikaambiwa lazime tukapime kwanza.

Nimekubali kwenda kupima afya zenu na tukakubaliana kwenda Jmosi ya leo,usiku wa kuamkia leo ananiambia tutaenda Magomeni, nimeuliza kwa nini anasema lazima twende huko, nimejaribu kumconvince kwamba hospital zipo nyingi kwa nini twende Magomeni?.

Nimemwambia Magomeni siendi lakini niko tayari kwenda hospital yoyote isipokua huko Magomeni.
Najiuliza Magomeni kuna nn?

Ukiona hivyo huyo kajishitukia, ana ngoma anataka mkapime kwa mshikaji wake ili wakupe majibu feki. Piga punyeto tu mkuu, huyo demu sumu.
 
Ha ha ha ha wala hakuna shida mpeleke magomen then usishrk nae tendo if necessary tumia kinga then next day mpleke hospital unayohtaj wewe
 
Na kwann wewe hutaki kwenda magomeni?? Sasa angekuwa anataka labda kukuambukiza ulivoomba mzigo c angekupa tu?? Kwann akwambie mkapime?? Hoja yako haina mashiko
Ingekuwa mimi ningekubali kupima magomeni thereafter tungeenda sehemu nyingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom