Anamaanisha nini huyu Mwanamke

Mzee wa kuchepuka! Umeyakanyaga. Bro, umeishaaaa. Kaka,kwa heliiiiii. Huenda kazidaka mtaani kuwa umetoka na housegirl🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Sasa,na ujanjanwakowote vijiweni,leo hii mwanamke ameshakuweka roho juu juu.
Wanaposema #Kataa ndoa, wanamaanisha vunja na ulokwishaingia.🤪🤪🤪🤪
Ila pole,umemuaga mama? Hapo umeshaingizwa ICU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom