Anakula kuku na mayai yk

Mtaftaji

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
207
43
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara nyingi anamlalamikia shoga yake,shoga yake akatoa tarifa polisi mume kakamatwa na mke amtoa mumewe kwa madai kua hakumtuma shoga yake ampeleke mumewe polisi kwani yeye na mumewe wametoka mbali na pia mume alimtolea figo mke akiwa mjamzito kwahiyo hawezi kumshtaki na ilotukio mara nyingi anamfanyia mtoto huyo,mtoto anamiaka mitatu wa kike,je mtoto angekua wako ungejisikiaje? na mwanamke tumueke katika kundi gani wana jamii?
 
Hapo mbona mke na mume! wana kesi ya kujibu, either kama mke atakuwa tayari kutoa ushahidi na ripoti ya daktari ikionekana ni kweli mtoto amefanyiwa mchezo huo.
 
CORAL;kwahiyo wewe ukikolea utakubali mwanao ulomzaa na maskini njia zake za uzazi hazijapevuka miaka mitatu ebu fkiri kukolea gani?anaambiwa mtoto anapata shida anasema hata yeye mama yake alifariki akiwa mdogo alipata shida pia,mume ana kisomo cha master mke mfanya biashara maarufu,kwa muendelezo ckiliza leo tena ya clouz kila sa4 asubuhi
 
du japo ni kali ila uchungu wa mwana ni zaidi ya figo acha shetani hilo likaozee gerezani maana halitaishia hapo litaangamizaa wengi-likibaki ulaiyani
 
Purple;Mume yupo mahabusu right now!nilisikia kwenye leo tena jana!

Nikwelia ameekwa ndani mara ya pili baada ya kutolewa,bahati nzuri mkuu wa kituo cha osterbay alikua anackiliza redio ndo akatoa amri akamatwe tena na maaskari walohucika kumtoa wachkuliwe hatua za kinidham, upo makini purple eeeh
 
Jamani wake kwa waume,muichukie talaka kwani watoto wanaenda kulelewa na mababa wacokua na uchungu nao,wewe mke ulale nae mtoto pia sasa kuna umuhim wakua na mke kama unamtaka mtoto?
 
Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?

Mada nzuri,ila mara nyingine jitaidi kuandika vizuri,epuka kufupisha maneno maana sio wote wenye uwezo wa kuelewa ulikuwa unamaana gani.

Tukirudi katika mada,Mtoto unaeishi nae ni mwanao,hata kama hana uhusiano nae biologically.
 
Hapo mbona mke na mume! wana kesi ya kujibu, either kama mke atakuwa tayari kutoa ushahidi na ripoti ya daktari ikionekana ni kweli mtoto amefanyiwa mchezo huo.

Lakini hajasema kama huyo mtoto ni chini ya miaka 18, au ni mtoto wa kiume....ili kushitaki na ushahidi wa daktari uhitajike kumweka huyo jamaa hatiani inabidi iwe mtoto anayeongelewa ni chini ya miaka 18 (kosa kisheria) au ni mtoto wa kiume (mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria Tanzania)....
 
Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?

DotCom hii! Anyway, ni uandishi unafikirisha.
 
JAMANIIIIIIII.....mtt wa miaka mi 3?! huyu baba kakosa migumegume ya mjin jaman..........
 
Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?

Mtaftaji hiki ni kiama cha jamii yetu.......usipomwonea huruma mtoto nakuanguliza masilahi yako kiama chako kitakuja kuwa maradufu. hyuo mume atamwacha huyo mama na atajilaumu kwanini hakuchukua hatua madhubuti kunusuru masiha ya mtoto...................hivi mwanaumme kweli ana kazi ya kufanya.....ninahisi hana.......hata hiyo figo itakufa hivi karibuni kutokana na laana ya kujitakia.................mshahara wa dhuluma ni mauti............
 
Last edited by a moderator:
mwanaume anamlawiti mtoto wa miaka 3?? huyo mwanaume ni wa kufungwa jela maisha au achunguzwe akili...
 
Back
Top Bottom