Anakula kuku na mayai yk

Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?

andika kwa kiswahili fasaha....
 
Huku si kula bali ni kuharibu na uharibifu ni kwa mtoto akifanyiwa na mama yake na baba yake.
 
Kwakweli naboreka na uandishi wa aina hii, hizo shorts zinatumika zaidi kwa sms kwa sababu ya limit ya text. Huku kwenye computer nako tunayakuta pia.... aaaagrrhhh!!

Jamani hii kali ndg zng,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia cm shoga yk na kumlala mikia kilio chk kua mumewe anamlawiti mtoto wk ambae kazaa na mume mwingine,ni mr nyng anamlalamikia shoga yk,shoga akatoa tarifa polic mume kakamatwa na mke amtoa mume kwa madai kua hakum2ma ampeleke polic kwn mumewe wametoka mbl na pia alimtolea figo akiwa mjamzito khy hwz kumshtk na ilo2kio mara nyng anamfanyia mtt anamiaka mi3 wa kike,je mtt angekua wk ungejickiaje na mwanamke 2mueke ktk kundi gn?
 
DotCom hii! Anyway, ni uandishi unafikirisha.
Mkuu hii ni zaidi ya Dotcom! Hii ni lugha kutoka mkoa fulani sijui ni mkoa wa majeshi au polisi, au mkoa wa shule za kata sielewi! Nimerudia mara mbili sikuambulia kitu, ikabidi nipitie posts za wachangiaji ili niungeunge angalau nipate maana!
Huyo mume na mkewe ni laana tupu. Sipati picha wanaangalianaje huko ndani kwao huku wakiujua ukatili na uchafu huo.
 
Poleni kwa waloboreka,but wale ma bingwa wa charting hawakutoa malalamiko ni kwakua wamezoea iyo hali.na nyie slow learner tutaenda mdogo mdogo km tunanyata.
 
Lakini hajasema kama huyo mtoto ni chini ya miaka 18, au ni mtoto wa kiume....ili kushitaki na ushahidi wa daktari uhitajike kumweka huyo jamaa hatiani inabidi iwe mtoto anayeongelewa ni chini ya miaka 18 (kosa kisheria) au ni mtoto wa kiume (mapenzi ya jinsia moja ni kosa kisheria Tanzania)....

Mtoto wa kike ana miaka mitatu mpendwa.
 
Kwakweli naboreka na uandishi wa aina hii, hizo shorts zinatumika zaidi kwa sms kwa sababu ya limit ya text. Huku kwenye computer nako tunayakuta pia.... aaaagrrhhh!!

Wewe ukitumia computer unahis kila mtu anatumia computer,wengine tunatumia sim na zina limit katika maneno,pole ndugu
 
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara nyingi anamlalamikia shoga yake,shoga yake akatoa tarifa polisi mume kakamatwa na mke amtoa mumewe kwa madai kua hakumtuma shoga yake ampeleke mumewe polisi kwani yeye na mumewe wametoka mbali na pia mume alimtolea figo mke akiwa mjamzito kwahiyo hawezi kumshtaki na ilotukio mara nyingi anamfanyia mtoto huyo,mtoto anamiaka mitatu wa kike,je mtoto angekua wako ungejisikiaje? na mwanamke tumueke katika kundi gani wana jamii?

Eeeeh wait! Unataka kutuambia kuwa:
  • Huyo msamaria kaenda polisi na kusema tatizo ni nini.
  • Polisi wakamkamata jamaa
  • Mama wa mtoto akaja kukanusha na kumtoa **** wake
  • Polisi hawa wanaokula sehemu ya mshahara wangu wakakubali kabisa habari ikaishia hapo?
Sitaki kuamini kuwa jamii sasa inashindwa kuwalinda malaika hawa kutoka kwa ushetani huu. Ni PM tafadhali.

Otherwise rudia kusikikiliza maelezo kwa huyo shosti.
 
wametoka mbali, utajiri wao unategemea mtoto kufanyiwa unyama huo. kamata wote, peleka polisi kwa kosa la ukatili wa kijinsia. sheria ya mtoto ya 2009, inawashitaki na kuwatia hatiani wote wawili. Cha kufanya, nenda polisi, ulizia dawati la jinsia na watoto, hapo utapewa mpiganaji mwenye kufuatilia ukatili wa watoto kwa karibu, atawafikisha kunakohusika
 
Eeeeh wait! Unataka kutuambia kuwa:
  • Huyo msamaria kaenda polisi na kusema tatizo ni nini.
  • Polisi wakamkamata jamaa
  • Mama wa mtoto akaja kukanusha na kumtoa **** wake
  • Polisi hawa wanaokula sehemu ya mshahara wangu wakakubali kabisa habari ikaishia hapo?
Sitaki kuamini kuwa jamii sasa inashindwa kuwalinda malaika hawa kutoka kwa ushetani huu. Ni PM tafadhali.

Otherwise rudia kusikikiliza maelezo kwa huyo shosti.

Nikweli mpenzi imetokea,alisafiri mke wakiwa wako south aliporudi akakuta nguo za mtoto zina damu,akamchkua mpaka kwa doctor vipimo vikasadiki amebakwa doctor akataka kumuona mume,mume akakiri kweli alifanya doctor akasema nakushtaki mume mke akamtorosha mume kwa kupita boda mpaka Tanzania,akawa mume anaendelea kum baka ila mama anamuadithia shoga yk na kumpanga kua iwe siri ila ya juzi ni funga mwaka kwani mume alimjeruhi mtoto vibaya mke kampigia cm shoga huku akilia kama kawa alitaka iwe siri,shoga alimuliza mume na pia akakiri na kuahidi hatorudia tena,shoga hakuridhika akapanga dili na polic mume akakamatwa,kumbuka mtoto miaka mi3 .
 
Mada nzuri,ila mara nyingine jitaidi kuandika vizuri,epuka kufupisha maneno maana sio wote wenye uwezo wa kuelewa ulikuwa unamaana gani.

Tukirudi katika mada,Mtoto unaeishi nae ni mwanao,hata kama hana uhusiano nae biologically.

Ndio taabu ya kuandika kutumia phillips savvy neno refu halitoshi kwenye display linapotelea kushoto kufupisha ndio solution.
 
Jamani hii kali ndugu zanguni,ndani ya wiki hii mfanya biashara wa kike kampigia simu shoga yake na kumlalamikia kilio chake kua mumewe anamlawiti mtoto wake ambae kazaa na mume mwingine,ni mara nyingi anamlalamikia shoga yake,shoga yake akatoa tarifa polisi mume kakamatwa na mke amtoa mumewe kwa madai kua hakumtuma shoga yake ampeleke mumewe polisi kwani yeye na mumewe wametoka mbali na pia mume alimtolea figo mke akiwa mjamzito kwahiyo hawezi kumshtaki na ilotukio mara nyingi anamfanyia mtoto huyo,mtoto anamiaka mitatu wa kike,je mtoto angekua wako ungejisikiaje? na mwanamke tumueke katika kundi gani wana jamii?

OMG!! wote wameuza roho zao kwa ibilisi!! washtakiwe, kufungwa na kunyang'waya mtoto.... imagine unasikia mwanao uliozaa na mtu mwingine anafanyiwa hivyo
 
Back
Top Bottom