Anakosa kibali kwa walio wengi

CRISTA

Member
Aug 5, 2012
78
24
Wana jf;
natumai ni wazima wa afya njema;nina mchumba (elimu ya chuo)ambaye tuna miaka takribani miwili sasa.ila toka nianze kuwa nae mara nyingi watu wangu wa karibu wa kike na wakiume huwa hawamkubali cna na hata nikimleta kwa watu kwa mara ya kwanza watu huwa hawamkubali labda wakae nae kwa mda mrefu cna.ingawa udhaifu wake mkubwa ni kuchukia hovyo na nakiri kuwa sura yake sio nzuri cna ila hili sasa limezidi.nilimpeleka kwa wazazi baba akampenda ila mama na wadogo zangu walisema nimeleta kimeo,nilijaribu kuwauliza wazee walionizidi umri wengi walisema anafaa kuwa mke ila kwa upande wa vijana wenzangu wengi walinipa 0%.sasa cjajua kama ni vitabia vyake vya ndani au cjui nimpeleke maombi ingawa ni mmbishi kwa ushauri.nishaurini wana jf nifanyaje;ingawa tulishawahi kuachana kwa sababu ambazo ckuzipenda.kitabia ni mtulivu cna na ana roho ya utoaji na hata kuwapa wazazi wangu pesa si tatizo.
Nawakilisha;
 
Nahisi huyo atakuwa ni mchumba wa kike japo huja mention.....Sifa ya kwanza ya mchumba ambae anafaa ni wewe kumkubali wengine watakufuata tu.
 
Kwan ww utakuja kuishi na hao marafiki zao na dada zako?
Kweli kukosa akili n kilema
 
Wana jf;
natumai ni wazima wa afya njema;nina mchumba (elimu ya chuo)ambaye tuna miaka takribani miwili sasa.ila toka nianze kuwa nae mara nyingi watu wangu wa karibu wa kike na wakiume huwa hawamkubali cna na hata nikimleta kwa watu kwa mara ya kwanza watu huwa hawamkubali labda wakae nae kwa mda mrefu cna.ingawa udhaifu wake mkubwa ni kuchukia hovyo na nakiri kuwa sura yake sio nzuri cna ila hili sasa limezidi.nilimpeleka kwa wazazi baba akampenda ila mama na wadogo zangu walisema nimeleta kimeo,nilijaribu kuwauliza wazee walionizidi umri wengi walisema anafaa kuwa mke ila kwa upande wa vijana wenzangu wengi walinipa 0%.sasa cjajua kama ni vitabia vyake vya ndani au cjui nimpeleke maombi ingawa ni mmbishi kwa ushauri.nishaurini wana jf nifanyaje;ingawa tulishawahi kuachana kwa sababu ambazo ckuzipenda.kitabia ni mtulivu cna na ana roho ya utoaji na hata kuwapa wazazi wangu pesa si tatizo.
Nawakilisha;

Hahahahahahahaah Huyo atakuwa devotha maana hizo sifa ndiyo anazo ,,,duh mkuu nawew unataka kumuwa huyo duh hatariiiii
 
Siku nyingine usiache kuweka picha ili tukushauri vizuri.

Ushauri: usiishi na mtu ambae wewe mwenyewe ukienda deepdown ua heart unaona kweli huyu kimeo.

Kama unampenda kweli endelea tu watamkubali
 
Mnaotaka kumuoa mpo wangapi, manake kama wewe ndio muoaji kwa nini uruhusu wengine wamfunue nguo!
 
Back
Top Bottom