Anajifannya hataki kumbe anataka

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Yani mademu huwa wanauzi sana, unamwomba fresh mnakubaliana. Mnapanga appointment mnakwenda kwa lengo moja la kudo. Unachukua hoteli mnaingia ndani ana anza kusumbua eti hataki tena hajajiandaa!!! Anakuja kupa baaaaaaaaaaaaaaaaaadae!! Kwanini lakini? Tukifika si utoe tu?
 
eeh kaka samahan ..ivi awa mademu wamekukosea nin?
kila siku warusha post zenye kublame gals,...whats pbm ma dearest braza...???
 
Halafu wewe unaonyesha umetendwa sana na wanawake maana ulivyowaandama??

Pole sana Mkuu. Kutoa ni hiyari yangu si lazima.
 
ndivyo walivyo umbwa hao,lazima waweke kapozi kidogo halafu akija kukubali utapenda mwenyewe.:eyeroll1::eyeroll1:
 
eeh kaka samahan ..ivi awa mademu wamekukosea nin?
kila siku warusha post zenye kublame gals,...whats pbm ma dearest braza...???

Ni hizo tabie zenu ndo sizipendi mnapenda sana kutusumbua sisi wanaume.
 
Halafu wewe unaonyesha umetendwa sana na wanawake maana ulivyowaandama??

Pole sana Mkuu. Kutoa ni hiyari yangu si lazima.

Ni hiyari yako ndiyo kwanini unisumbue mpaka nilipie chumba banaa
 
Ni hizo tabie zenu ndo sizipendi mnapenda sana kutusumbua sisi wanaume.

jipange hawatakusumbua
mbona wenzako hawalii liii km wewe juu ya mademu?
iweje wewe tu?
jichek fresh..jitazame..unakosea some where....
 
Umemsahau huyu Rose,ndo yule wa wanawake 100+ waliotoa mimba,wakusumbue sana,natamani mngekuwa mnaandikwa usoni watu kama wewe? Unawaza ngono 24/7,huna zaidi ya tamaa zako na mademu hivi mara vile!!! :ban:
 
yes madam....ban him.
au umri ?anawezekana akawa 18-23 yrs old....ahh haaa ebu mie nikapalilie kijiubwabwa changu cha naz...
 
Yani mademu huwa wanauzi sana, unamwomba fresh mnakubaliana. Mnapanga appointment mnakwenda kwa lengo moja la kudo. Unachukua hoteli mnaingia ndani ana anza kusumbua eti hataki tena hajajiandaa!!! Anakuja kupa baaaaaaaaaaaaaaaaaadae!! Kwanini lakini? Tukifika si utoe tu?

Mkipewa aah demu mrahisi kama maharage ya mbea mara tikiti maji na kadhalika. Mkinyimwa hala lolote mara sitaki nataka.
Kweli kaka umewekeza kwenye K na ndiyo unachovuna.
 
Ni hiyari yako ndiyo kwanini unisumbue mpaka nilipie chumba banaa

Ulipie chumba huna nyumba? au bado unalelewa kwa wazazi. Halafu usikute game lenyewe hujui na kujishaua kwako, labda unanuka kama beberu ndiyo mana ukifika uwanjani unachenjiwa. Jikague
 
kuwa muwazi umshirikishe kama ni appointment yenu ya kwanza vinginevyo hata akikataa ni haki yake,chumbani si kwa ajili ya ngono tu hata mazungumzo tulivu pia ni sehemu yake.Zile enzi za mieleka ili mradi mpo wawili chumbani hazipo usijeshitakiwa kwa kubaka tutakusahu humu.
mkubaliane kwanza sio kumvuta mbuzi kamba kumpeleka machinjion wakati hujajua kama kuna vizuizi gani mbeleni
Badili style kiongozi
 
Back
Top Bottom