Anaitwa Cameron sio Cameroon.

basi haujatimiza masharti,na hata kama ungetimiza tatizo lako lingepoa kwa muda likarudi tena.Ninayo tiba mbadala,
Dokta kasema hakuna tiba mbadala zaidi ya kulamba chumvi, ata ile chumvi ya jukwaa la maria roza pia kasema inasaidia.
 
Kacholi za mwali inaonekana anaweka spice za mchina. Hata sweetlady naona makalio yake yameongezeka ghafla kama breaking news

hahahahahaha! Na mishavu imeumuka balaa. Ila viungo anaweka original bwana. Labda hao watu wanakula sana
 
hahahahahaha! Na mishavu imeumuka balaa. Ila viungo anaweka original bwana. Labda hao watu wanakula sana

Acha ashibe bana, yule mzembe Nitonye bila kilo kadhaa za ziada siku ya halusi tunaweza tukaishia msiba, tukampoteza sweetlady. Yaani binadamu amefanana na tairi ya trekta, astahafilullah
 
Back
Top Bottom