Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 628
- 1,648
Habari, naleta uzi kwenu kupata mawazo ya wengi baada ya rafiki yangu kuniomba ushauri.
Iko hivi, huyu jamaa alitongoza dada flan kipindi cha nyuma yule dada akamjibu kuwa ana mpenzi na akamwambia jamaa akaangalie dp Whatsapp kamuweka jamaa yake huyo. Basi rafiki yangu huyu hakumfatilia tena yule dada akaendelea na mishe zake.
Kwa kuwa wamepanga nyumba moja wana ukaribu kama majiran na ilizoeleka yule dada mara nyingi anaomba pesa mara moja moja kwa jamaa akiwa amekwama. Na hata jamaa alipokataliwa aliendela tu kumsaidia kama hapo awali kila alipohitaj msaada. Imeenda ikafikia yule dada akaanza kuonesha kumtaka jamaa, jamaa nae hakuonesha kujali coz alishatemwa.
Mpaka siku moja yule dada akatengeneza mazingira jamaa akajikuta amemla ila kwa maelezo yake anasema ni mtego wa yule dada. Basi akaapa kutojihusisha nae tena lakini yule dada akaanza kumtext jamaa mseji za mahaba akimchukulia kama mpenzi wake.
Jamaa akaenda na flow ili asimuumize lakini akilini hakuwa anataka kuwa nae kutokana na zarau ya kipindi cha nyuma. Imefikia hatua sasa jamaa amegundua demu bado anawasiliana na jamaa wa mwanzo licha ya kusema waliachana na amemwambia demu waachane lakini demu hataki anasema ye hana mtu mwingine.
USHAURI WANGU.
Mie nimemwambia awe makin tu, aendelee nae lakini asiweke moyo kikubwa mzigo anakula kila akitaka basi ajifanye hajui chochote hasa ukizingatia mahusiano ya sasa ni ngumu kupata mwaminifu tena nikampa mfano kuna wanandoa kibao wanasalitiana na maisha yanaendela sembuse yeye na Girlfriend. Ukizingatia kamkuta amezaa tayari.
Nawasilisha kwenu huenda mkawa na mawazo mazuri zaidi.
Asanteni.