Anaehitaji Nissan Xtail

Kila la heri. Ukipata mnunuzi naomba ulete feedback hapa jukwaani!
Hizi gari kikubwa watu walichokua wanadanganywa ni spea zake kwamba ni adimu kitu ambacho sio ishu tena kwa bongo...na kwakweli wasiozijua bado wanaziogopa,ila nakuhakikishia kwa gari ya juu mkuu hizi ni bomba sana mradi usipate yenye turbo ndio itakugharimu...kama umechunguza sasa hivi hizi gari ndio watu wameanza kuzinunua kwa wingi kuliko hata harrier na rav 4 kwa sababu wamegundua sio kama walivyokua wanaziogopa
 
Why? Nyie ndo mnakurupuka hamjui hata magari..... xtrail ndo habari ya mjini sahivi...affordable, iko luxury na haili mafuta...sasa wewe unajua nini?

Aisee,KWELI? Kwa Nissan Xtail (ya kwako) sawa, ila kwa Nissan Xtrail,duh!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Weka wazi unachojua kuhusu hizi gari kama kweli unazijua...ndio walewale nyie wakuskia stori za vijiweni halafu mnazisambaza....sema sasa what do u know about nissan xtrail uwasaidie na wanaotaka kununua kama kweli kunakitu unajua...say it
 
Unaleta hadith za vijiweni, we ni pungu1 kabisa. Umewahi miliki gari wewe? mmezoea toyota, hivi mmerogwa? gari unaweza kaa nayo hata miaka 20 tatizo nini? acha uzuzu wewe, ka huna cash kaa kimya na I.S.T-like cars

Umevuka mstari, unaweza kaa na x-trail miaka 20?
 
Weka wazi unachojua kuhusu hizi gari kama kweli unazijua...ndio walewale nyie wakuskia stori za vijiweni halafu mnazisambaza....sema sasa what do u know about nissan xtrail uwasaidie na wanaotaka kununua kama kweli kunakitu unajua...say it

Mwenyewe hujui ebu soma hapa uone matatizo ya gari yako haafu unajisifu eti wewe ndo habari ya mujini na ka xtrail kako Common Nissan X-Trail problems - What Car? . Harafu unasema inatumia mafuta vizuri na hili ni tatizo la hasa gari za 2004 ndizo zinakula mafuta sana soma hapa

Nissan X-Trail fuel leak (2001-2007)
Some cars built between June 2000 and November 2004 has fuel leak issues. The fuel tank filler tube is susceptible to rust around the mounting bracket. This has been known to create a small hole and cause fuel to leak during the refueling process.

Nimekujibu kwa sababu umeacha biashara ukaanza vijembe
 
Kwanini uskae nayo mkuu....kwani xtrail unazionaje...hizi ni nissan mkuu na nissan hawababaishagi....unajua hizi gari zimeanza kutengenezwa mwaka 2000 na ndio maana huwez ona xtrail iliyochakaa, isitoshe material ya bodi yake sio ya kuchakaa kama gari zingine zinazoanza kuchoka bodi....gari yoyote ni matunzo tu...labda kama sijakuelewa ulikua unamaanisha nini
 
Mkuu oil yake tu kuipata ni issue na ukiipata ni bei mbaya
 
Mkuu unachekesha kweli,sasa xtrail zimeanza kutengenezwa lini kama sio hiyo mwaka 2000? sasa umegoogle ndio unaona umepata unachokijua kuhusu hizi gari...kama ni kuanzia mwaka 2000 hadi 2004 na ndio gari zote zilizopo bongo sasa hivi kwanini sie wenye nazo tusilijue hilo tatizo? Mimi naweka mafuta ya elfu 10 na natumia siku tatu kwa misele ya ofisini na nyumbani...kw taarifa yako huwezi kosa kitu google mkuu..hebu fanya kautafiti uliza mtu yeyote au hata fundi akueleze kama alishawahi sikia hayo matatizo uliyogoogle....unadhani xtrail utafananisha na rav4 au gx 100 au 110 kwenye mafuta? Labda iwe na turbo
 
Kwanini uskae nayo mkuu....kwani xtrail unazionaje...hizi ni nissan mkuu na nissan hawababaishagi....unajua hizi gari zimeanza kutengenezwa mwaka 2000 na ndio maana huwez ona xtrail iliyochakaa, isitoshe material ya bodi yake sio ya kuchakaa kama gari zingine zinazoanza kuchoka bodi....gari yoyote ni matunzo tu...labda kama sijakuelewa ulikua unamaanisha nini

Xtrail zilianza kutengenezwa 2001
 
Mkuu unachekesha kweli,sasa xtrail zimeanza kutengenezwa lini kama sio hiyo mwaka 2000? sasa umegoogle ndio unaona umepata unachokijua kuhusu hizi gari...kama ni kuanzia mwaka 2000 hadi 2004 na ndio gari zote zilizopo bongo sasa hivi kwanini sie wenye nazo tusilijue hilo tatizo? Mimi naweka mafuta ya elfu 10 na natumia siku tatu kwa misele ya ofisini na nyumbani...kw taarifa yako huwezi kosa kitu google mkuu..hebu fanya kautafiti uliza mtu yeyote au hata fundi akueleze kama alishawahi sikia hayo matatizo uliyogoogle....unadhani xtrail utafananisha na rav4 au gx 100 au 110 kwenye mafuta? Labda iwe na turbo

sifanyi utafiti mimi binafsi imenisumbua sana fuel consumption iko juu, na ikianza kuchoka aisee utalia, spare ziko juu sana niliibia taa aisee acha mchezo kaka.
 
Mi nachekesha lakini ukitaka kujua kitu si wote tunakimbilia google?? au huwaamini google? ssaas hapo nani anachekesha?
 
Labda yako ilikua xtrail GT ambazo zina turbo, hizo ndo zinakula sana mafuta..kuhusu spea kuwa juu sio kwa sasa mkuu sahivi zipo hadi za kukata na unapata spea yoyote unayoitaka...kama unabisha mkuu sema nikupe namba ya washkaji wa dar wanaouza spea za kukata yoyote unayoitaka....bei za kawaida kabisa,mwanzoni spea zilikua adimu ni kweli
 
ndoa kwelikweli bora hiyo RAV4 utauza
Mkuu angalia gari zinazonunulika sana sasa hivi,xtrail ndio zimeshika kasi sasahivi kuliko harrier na rav 4 kwa sasa, sijui kwa huko uliko labda watu bado wanaziogopa
 
nilishakuwa na xtrail ya 2002 ikanidisapoint labda hiyo ya 2004 wamerekebisha matatizo ya 2002 mkuu
 
Mi nachekesha lakini ukitaka kujua kitu si wote tunakimbilia google?? au huwaamini google? ssaas hapo nani anachekesha?
Mi nachekesha lakini ukitaka kujua kitu si wote tunakimbilia google?? au huwaamini google? ssaas hapo nani anachekesha?
Hahaaa...haya bhana maana google hata wewe ukiamua unaweza kuandika kitu na tukakigoogle tukakipata....sema ukweli unabaki kwa mlaji, binafsi sijasumbuliwa chochote na hizi gari na sijaona tatizo lolote, mwanzoni nilikua nayo xtrail sport ya 2002 ya muingereza ilikua manual na sikupata tatizo lolote nayo...ndio maana najaribu kuwatoa watu wasiwasi juu ya ninachojua na nilitegemea watu watazungumzia matatizo waliyowahi kuyapata hasa kwa wanaosema xtrail sio gari nzuri.... binafsi nazipenda bado na nikikaa level tena ntaagiza same car, harrier lexus nimetumia na sintorudia tena hakyanani...rav4 old model pia nimetumia sana nazo hazina tatizo na naweza kumshauri mtu kununua pia japo sio as comfortable na hazina nafasi ndani kama xtrail
 
nilishakuwa na xtrail ya 2002 ikanidisapoint labda hiyo ya 2004 wamerekebisha matatizo ya 2002 mkuu
Ilikua na tatizo gani mkuu,mi pia nlikua nayo ya 2002 before ilikua sport manual ya muingereza na sikuona tatizo lolote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom