Anaefahamu lolote kuhusu IAA

a.rams

Member
Aug 20, 2012
10
3
Jamani nilikua naomba kama kuna mtu anafahamu au amepata Join instruction ya hiki chuo na cost zingine anisaidie. coz ukichek kwenye website yao hakuna vitu hivyo. asanteni
 
nimefungua hakuna vitu hivo nlichokiona nicku ya kufungua chuo
 
Dogo umepata chuo cha ukweli, kasome, tanzania hakuna chuo chenye mazingira mazuri kama hicho! gharama zao kwa sasa sizijui ila kwenye web yao zpo
 
Kijana unaenda kusoma nini ili 2juane coz mi mwenyewe naenda huko.ADA ni mil 1,500,000.kuna gharama nyingine kama accepted form nayo ni shl 250000.ila kama una ndugu walioko arusha wa pm waende waka itake on alafu waku2mie.
 
me nimepangiwa BPLM, kumbe wao huwa hawa weki kwenye website yao. ok asanteni
 
Back
Top Bottom