VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Mkwara wa John Billy Tendwa umejikita kwenye kifungu nambari 19 cha Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na kifungu cha 12 cha Sheria Nambari 7 ya mwaka 2009. Kifungu hiki cha Sheria tajwa,kinampa Mamlaka Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kukifuta chama chochote cha siasa kilichosajiliwa kama chama husika kitavunja mashari ya Sheria ya Vyama vya Siasa au kitakosa sifa ya kuwa chama cha siasa. Vifungu husika viko hivi:
(Sheria ya Vyama vya Siasa,2002)
(Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa,2009).
Kimsingi, Tendwa anayo mamlaka.Lakini,pombe yake ya kisiasa amelewa mapema. Kufuta chama kuna taratibu zake kama zilivyoainishwa chini ya kifungu 19 kilichotajwa. Mikwara haipo kwenye taratibu hizo. Yawezekana haelewi. Akirudia tena kuropokaropoka kama alivyofanya,hatua kali zaidi zitachukuliwa dhidi yake. Awe makini na 'ulanzi' wa CCM...
19-(1) Subject to subsection (2) the Registrar may cancel the registration of anypolitical party which has contravened any of the provisions of this Act or whichhas otherwise ceases to qualify for registration under this Act.(2) The Registrar shall not cancel the registration of any party unlessa) he has, in writing, informed the party concerned of the contravention or theloss of qualification and of the intention to cancel the registration;b) he has received or failed to receive, within the period.
Prescribed by him, any representations from the party concerned;(c) he has submitted to the Minister the intention to cancel the registration of the partytogether with any representations made by the party and the Minister has agreed
to such cancellation.(Sheria ya Vyama vya Siasa,2002)
12. Section 19 of the principal Act is amended-(a) in paragraph (c) of subsection (2) by-(i) inserting a full stop immediately after the word"party" appearing in the third line;(ii) deleting the phrase "and the Minister has agreed tosuch cancellation" appearing immediately after theword "party";(b) by adding the following provision immediately aftersubsection (2):"(3) Notwithstanding powers of the Registrar tocancel the registration of a political party, the Registrarshall not cancel registration of a political party if theperiod during which the General Elections would be held
does not exceed twelve months."(Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa,2009).
Kimsingi, Tendwa anayo mamlaka.Lakini,pombe yake ya kisiasa amelewa mapema. Kufuta chama kuna taratibu zake kama zilivyoainishwa chini ya kifungu 19 kilichotajwa. Mikwara haipo kwenye taratibu hizo. Yawezekana haelewi. Akirudia tena kuropokaropoka kama alivyofanya,hatua kali zaidi zitachukuliwa dhidi yake. Awe makini na 'ulanzi' wa CCM...