Kwanza nawasalimu,
Ndugu zangu mke wangu anachofanya ni hatari sana na inaumiza , wakati namchumbia hadi ndoa hakuwahi kujamba hata siku moja, sasa baada ya mwaka mmoja kwenye ndoa hii tabia ikaanza , Nikitoka kazini yeye akiniona tuu tukifika
chumbani anajamba, akaona haifai ikawa tukilala anajifanya tujifunike shuka pote hapo tena anajamba, anaweza akajamba hadi Mara tano kwa siku nikimuuliza anacheka eti anapumua, sasa nawaza sana juu ya hili sielewi hata nifanyeje ushauri wenu.