Ana ana do

ukihamisha utaskia 'BUT MUM ITS NOT FAIR"
mxiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu SIKAPENDI HAKA KASENTENSI HAKA!ehehehe nimetoka kumlabua mmoja kerbu la maana siku si nying kati hapa!
Na vitoto vingine utavisikia...''ITS MY TURN NOW DADY''....
 
Kuna mkaka tulicheza nae one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia hata simmalizi!
hhhahahhahhahhaa walahi nina konfesheni hapa!
mimi mkaka yeyote tulieangua nae mapera sijui nikabutua nae komborela
walahi namuona kama mdada yani i dont even notice kuwa ni mwanaume!
uuuwih bora JF walibuni hiz ID's
kuna watu wangeniundia tume humu
 
Kuna mkaka tulicheza nae one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia hata simmalizi!

Hahaaaaa,aliona nini wakati vifua vyenu vikiwa wazi?Vilima viwili vya Kibo na Mawenzi vikiota?Muoneee huruma jamani King'asti!Haaaaa,hata mimi tukikutana ukubwani ningeomba tucheze tena mchezo wetu wa kujificha,tunaenda zetu Bagamoyo au Kibaha kujificha King'asti si ulisema uko single,umepatikana leo!!Hahahaaa,,ana ana do!
 
Last edited by a moderator:
Shua dina shua dina x2
Nampenda shua dina,shua dina
Shuaa dinaa
Mama yako namjuaa,namjuaaaanamjuaa
Anapika vitumbuaa vitumbuaa ---- moja kaungua kaunguaaa


Nan kajamba nani kajamba mama jofle kwa nin kajamba kwanin kajamba limemponyokaa
 
Nimecheka jamani utoto wenu mli enjoy,,,
Mie sikucheza jamani na sijawahi kucheza kabisa nilikua kapole sana.
 
1) Tolaa Tolaaa....njaa ipo Muda mrefu tolaaaa..Watoto wanalala bila kula tolaaa


2) Makida makida makidansee ...makida makida makidansee

3.)We mama fanya twendee chupi la kukata bila kupindaa...mama lebi selele
 
Moja wazi nkinya
Mbili wazi nkinya
Tartu wazi nkinya
NNE wazi nkinya
Tano wazi nkinya
Sita...............
Malizia wewe
 
Kuna mkaka tulicheza nae
one touch sana! Tena kifua wazi manake tshirt ikichafuka na ule mpia wa
makaratasi ni msala. Saa hizi ana vijisenti ananitongoza namuangalia
hata simmalizi!

huyo ndo mwenye mapenz ya kweli alaf anajiamin coz anajua unajua his historical background we ulitaka utongozwe na nani? au ulitaka utongozwe na watu wa mmu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom