Ana act Kitoto sana

Huu ni mwez wa 3 weka mimba sasa hv akimaliza chuo inakuwa rahs unapewa mke fasta kama kusukuma mlev vile!
 
cyo fitna kaka! nimeshindwa kuchangia coz hainihusu .....nimewaachia wahusika wakina michelle

Mkuu hunitendei haki Kakaako,naomba radhi kwa hilo Mkuu,input yako ni muhimu sana kwangu
 
Usikose raha na utoto wake badae atakuja kukua tu.sasa huyo mama mtoto anamaliza chuo bado anamkoromea huko chuoni anakaa nae? wamama wengine wanajitafutia presha tu ndio badae wanawafanya watoto wao wanakosa waume. ten huyo mtoto kamuheshimu sana mpaka anamalizia chuo ndio anamtambulisha mtu kwao wengine hapa hata chichemi
 
mtomto kwa mzazi hakui, ulitaka mamake ashangilie tu hata kama muoaji mwenyewe hajajulikana? nampongeza huyo mama reaction nzuri kwa binti yake, maana wavulana wengine wanadiriki hata kutuma washenga na kujitambulisha lakini bado wanaingia mtaani. kama una ubavu msubiri amalize chuo then ufate process za kuoa
 
Huu ni mwez wa 3 weka mimba sasa hv akimaliza chuo inakuwa rahs unapewa mke fasta kama kusukuma mlev vile!

Mkuu hii itakuwa option ya Mwisho,ila ipo katika plan C

Nimekusoma Sigma, nina wazo "nisababishe" fasta ili Mama awe mpole,hili unalionaje

Kama wa kwako ni wako tuuu. Mimba sio solution kwa sasa. Anamiezi michache anamaliza chuo. Sema na mkweo kwa namna inayofaa kimaadili ya dini yako kabila lenu. Asipoeleweka by then opt for contingecy plan.
Mimba changa na stress ya shule sometime inaleta mushkeli kidogo na yaweza athiri performance yake chuoni. Japo baadhi wanakuwa na uneventful pregnancy. No guarantee.
Tuliza munkari. Subiri shule iishe.
 
kwa elim ya chuo ungekuwa mjanja ungekuwa umeshatuma mshenga we ngoja waje wasismamia baiskel utajuat
 
iKISHINDINDAKANA KABISA WE MMIMBE TU THEN
UTARUHUSIWA KUVUTA.

CHAGUA JEMA LAKINI MAANA WOTE NI USHAURI
 
Back
Top Bottom