Ana act Kitoto sana

Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
13,160
10,007
Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011.
Huyu mtoto mi mwenyewe ndo nimeonesha "DIRA",nimeanza nae tokea akiwa kidato cha sita, tumekubalia akimaliza tu Mwanaume navuta (Niko Siriaz katika hili,sina mpango wa kumchezea huyu bint), Tatizo kwao wana mtreat kama mtoto sanaaa yani kiasi kwamba hata yeye ana behaviour za kitoto,kwa kiasi fulani nim mtrain ku build confo baada ya kuwa nae na kuwa nampa Mikasi ya ki utu uzima, lakini akirudi kwao ndo vile yani, mtoto mtoto yani!!!
Juzi ka introduce issue yetu kwa Mamaake(Mama Kumbena flan hv), Mama ache aje juu yani,,,"Oooh sitaki kusikia hayo kwa kipindi hiki!!!"
Maskini Kimwana changu kimekosa Raha (Hata mie pia coz real nampenda), reaction ya Mamaake ilikuwa busted na the way alivyopresent issue yetu kwa Mamaake...
Jamani hebu nipeni Msasada wa Mawazo espe. Kina Michelle, nifanyeje,tumeplan amavae Tena Mamaake once again,nipeni ushauri ili niweze kumshauri namna ya Kumvaa Bi Mkubwa wake....
Andaeni Michango ya harusi
 
Huh????Amvae ya kazi gani!!Kama uko siriaz kama unavyodai tuma washenga uombe uchumba!!
 
Mama anaona mtoto yuko shule bado, hajastukia chuo ni utu uzima, vuta subra, si miezi michache tu shule chali... Akimzuia akiwa job iyoishu ingine!
 
Niko serious Lizzy,je ninaweza kutuma washenga hata kabla yeye hajaandaa Mazingira home?maana nijuavyo lazima mtoto atangulize kuwaambia wazazi wake ndo then shughuli ya washenga inafuata,nitoe gizani please Lizzy
 
Nimekusoma Sigma, nina wazo "nisababishe" fasta ili Mama awe mpole,hili unalionaje
 
Umesema una uhakika wa kumwoa, kinachotakiwa ni kuwa na subira ni muda mfupi umebaki binti amalize chuo. then fanya utaratibu unaotakiwa, kuendelea kumvaa huyo bi mkubwa unazidi kuharibu na kumletea pressure bure
 
Wewe kama uko serious tuma washenga kumtuma huyo msichana ni kumuweka matatizoni sana ukute huyo mama anaona binti yake kamkosea heshima (Wa Mama zetu wa wazamani) so miezi hiyo mpaka amalize chuo ngoma itakuwa tayari kuchezwa
 
Niko serious Lizzy,je ninaweza kutuma washenga hata kabla yeye hajaandaa Mazingira home?maana nijuavyo lazima mtoto atangulize kuwaambia wazazi wake ndo then shughuli ya washenga inafuata,nitoe gizani please Lizzy

Hao wazee utakaowatuma ndo watawaambia kila kitu!!Ili mradi wewe na binti mnajua!
 
Wewe unataka umvae mama mkwe to be,kwani ww ni dini gani au ni kabila gani?

Hilo la dini na ukabila linakujaje tena hapa Washa*2?
Sio mie nitakaye mvaa Bi Mkubwa ake,ni yeye mwenyewe, so nilikuwa najaribu kupata tactic hapa iliniweze kuzi pass kwa bint pindi atakapomvaa Bi Mkubwa ake
 
Ni Bint wa wa 23 Years old,anatarajia kumaliza chuo (UDSM) July 2011.
Huyu mtoto mi mwenyewe ndo nimeonesha "DIRA",nimeanza nae tokea akiwa kidato cha sita, tumekubalia akimaliza tu Mwanaume navuta (Niko Siriaz katika hili,sina mpango wa kumchezea huyu bint), Tatizo kwao wana mtreat kama mtoto sanaaa yani kiasi kwamba hata yeye ana behaviour za kitoto,kwa kiasi fulani nim mtrain ku build confo baada ya kuwa nae na kuwa nampa Mikasi ya ki utu uzima, lakini akirudi kwao ndo vile yani, mtoto mtoto yani!!!
Juzi ka introduce issue yetu kwa Mamaake(Mama Kumbena flan hv), Mama ache aje juu yani,,,"Oooh sitaki kusikia hayo kwa kipindi hiki!!!"
Maskini Kimwana changu kimekosa Raha (Hata mie pia coz real nampenda), reaction ya Mamaake ilikuwa busted na the way alivyopresent issue yetu kwa Mamaake...
Jamani hebu nipeni Msasada wa Mawazo espe. Kina Michelle, nifanyeje,tumeplan amavae Tena Mamaake once again,nipeni ushauri ili niweze kumshauri namna ya Kumvaa Bi Mkubwa wake....
Andaeni Michango ya harusi
Kumbe msaada tutani unataka utoke Beijing tu,poa acha nipite tu.
 
Nakubaliana na uncle JJ 101% mtoto w kike c wa kusomesha yaani akimaliza 2 chuo anaolewa!!
 
Hilo la dini na ukabila linakujaje tena hapa Washa*2?
Sio mie nitakaye mvaa Bi Mkubwa ake,ni yeye mwenyewe, so nilikuwa najaribu kupata tactic hapa iliniweze kuzi pass kwa bint pindi atakapomvaa Bi Mkubwa ake
lengo langu ni kutaka kujua kama kabila/dini yake kama wanakubali hayo unayotaka kufanya,kwe2 ukija kwa style unayotaka kufanya utakula mikwaju mpaka hatutaki wakwe wa style yako wa kujilipua wenyewe.Muulize huyo my wife wako to be kwao kukoje?usikurupuke ndugu yangu utaumia bure.
 
inaonesha jins gani ulivyo na pupa........kuna taratibu zake kijana...nani alikwambia kuwa unapitia kwa mama...yaani binti anajiposa kwa wazazi wake?...wawapi wewe.....tuma watu....na pupa zako na element za kutomheshim mama mkwe wako ni dhahiri kwamba hutamuoa binti huyu....unacheza tu......
 
Nafikiri kwa mara ya kwanza wazazi huwa wanatoa reaction hasa wanapokuwa wanamchukuria binti yao kama hajakua. Nafikiri binti inabidi awe serious kwa hili aende tena mara ya pili, tatu na zaidi hadi hapo atakapokuwa ameeleweka. Nafikiri mama anafanya digestion ya yale aliambiwa. kwa maana hiyo akienda tena anaweza kuona mtoto yupo serious. na hapo anaweza kugeuka.
 
Endelea kula mikasi kimyakimya au mpe mimba kabisa au muache mtoto amalize shule kwanza
 
Back
Top Bottom