AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

Wakuu naomba msaada hapa wa kuelewa: Hizi fedha zilizorudi ni pamoja na zile kutoka account ya Chenge kule UK? or i am missing a point?

ni pesa za radar tu mzee, kile cha juu mafisadi walichokiweka ni TSH 95 BILLION
 
Mzarau kwao ni mtumwa Tupinge watu kuturudisha Kwenye utumwa kwa kujitia wana uchungu na nchi Yao, BAE warudishe hela serikalini na utaratibu wa ujenzi Wa Hayo waliyo andika yapewe msisitizo. Tunaanza kuhisi wengine ni mamluki Wa BAE hapa maana kama unawasiliana nao basi wewe ni mwenzao. Watanzania wenzangu kwa nguvu zote Tupinge mkakati Wa kuruhusu fadha yetu igawiwe na wazungu. 70% itabaki kwao Kama management fee na upuuzi mwingine...Tuache Siasa tupende nchi
Si bora 70% ibaki kwao angalau wananchi tuambulie hiyo 30% ya uhakika kuliko kutoipata kabisa.

Nimetumia email zangu zote tano tofauti kuwatumia hao jamaa.
 
Jamani wahusika wote wa radda upande wa TAnzania hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa kwa serious crimes; kama kweli serikali inaaamini iliingizwa mjini wameshindwa nini kumsaka kwa udi na uvumba Vithlani? Hivi kweli wanataka tuamini hawajui alipo?

Hii (hapo kwenye red) ndiyo the mother of all puzzles.
 
Our Leaders are always proactive. Hela za EPA zilivyorudi eti zikapelekwa kwenye kilimo - 'kilimo kwanza', hebu tusubiri hizi tuone. May be wataanzisha 'umeme kwanza' who knows. Hizo zote ni styles za kula hela tu.
 
Nimetuma na nimepata majibu HAYA kuwa IMEFIKA
RT HON ANDREW MITCHELL MP
SUTTON COLDFIELD
[cid:205024709@22072010-1B14]
HOUSE OF COMMONS
LONDON SW1A 0AA

Your email has been received and will be dealt with as soon as possible.

If you are a Sutton Coldfield constituent, please ensure that you have included your full name and address. No emails will be answered unless a full address is provided. A telephone number would be appreciated but is not absolutely necessary.

Please note that there is a strict Parliamentary convention that MPs can only deal with matters raised by people from their own constituency.

I receive a large number of emails, letters and phone calls each day and I will try to reply as soon as possible. However, please note that all
communications, including emails, are dealt with in the order they are received.

Please be aware that any personal information sent to me over email may be forwarded on to third parties if I make representations on your behalf.
If you DO NOT want specific information forwarded please let me know immediately.

Thank you for taking the time to contact me.

Kind regards,
Andrew Mitchell

________________________________
UK Parliament Disclaimer:
This e-mail is confidential to the intended recipient. If you have received it in error, please notify the sender and delete it from your system. Any unauthorised use, disclosure, or copying is not permitted. This e-mail has been checked for viruses, but no liability is accepted for any damage caused by any virus transmitted by this e-mail.
 
Na mimi nimejibiwa the same.
 
Na mimi nimejibiwa the same.

Hizo zote ni automated emails. Kwa sababu jamaa wanapokea email nyingi sana hawana time ya kuanza kumjibu kila mtu manually. Kwa hiyo wamepreset system kurespond kwa kila email inayoingia.
 
Mimi binafsi nimefurahishwa sana na kitendo cha Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania kupeleka timu ya Wabunge kudai chenji yetu iliyoibwa na BAE System katika uninuzi wa Radar. Taarifa nilizozisikia London ni kwamba BAE wamekubali kupitisha pesa hizo serikalini baada ya kubanwa na Deputy Spika Job Ndugai. Nasikia Kamati ya Bunge ya Masabu ya Serikali ya Uingereza inatarajiwa kuihoji BAE kuhusu suala hili.

Kilichonifurahisha zaidi ni kitendo cha wabunge Wote kuiunga serikali baada ya Waziri Membe kutoa hoja Bungeni. Hata walioandika Barua BAE wajue kwamba hoja zao ni dhaifu na zimeshindwa.

Na wewe ndo kilaza mkubwa kbs. Nadhan una akili kama za Waziri wako Membe. Yaani hivi sasa ndo tunaona kuwa nchi yetu iliibiwa. Hivi alikuwa wapi muda wote kutoa sauti hiyo hadi leo hii. Ama kweli viongozi wetu wanatumia viungo vingine katika kufikiria zaidi ya ubongo. BAE hawakuiba peke yao, waliwezeshwa na viongozi wetu ambao wengine mpaka leo bado wapo bungeni. Sasa ni ajabu kuwa Serikali ya Uingereza inatuonea huruma watanzania kuliko sisi wenyewe.

Kuona hiyo haitoshi Serikali imetuma jopo la wabunge na wengine hadi huko Uingereza. Yaani bado wanaendelea kutumia tu hela za wananchi maskini kwa ajili ya kujinufaisha wenyewe. Hayo yote wanayoyasema walikuwa wapi siku zote?

Binafsi nimeshatuma kwenye email za wote hao. Ninawaomba watanzania tutume email zetu ili kupinga fedha hizo kurudishwa kupitia Serikali hii ya Wezi wakubwa. Hatuwezi kudanganywa kwa maneno ya Mawaziri wasiokuwa na akili
 
  • Thanks
Reactions: Zed
Mimi na support BAE wasiipe Serikali ya Tanzania pesa hii.

1) Serikali ilionywa kuhusu bei ya rada lakini ilipuuza
2) Rada yenyewe haifanyi kazi kana kwamba haiukuwa na guarantee
3) Waliopokea mlungula wanajulikana mmojawapo ni partner wake Saileshi yaani Tanil Somaia yule bwana Shavacom anazidi kutusanifu na alifadhili uchaguzi mkuu wa UVCCM pamoja na kuipa CCM Helicopter katika campaign 2010
4) Saileshi wanajua alipo lakini hawana nia ya kumleta wanaogopa kuumbuka
5) Tunajuaje kwamba hizi pesa hazitaliwa tena?
6) Kama wanyama wetu wanaweza kutoroshwa na waarabu bila serikali kujua tunawezaje kusema sisi ni taifa huru na makini kama anavyosema Membe?
 
Hizo zote ni automated emails. Kwa sababu jamaa wanapokea email nyingi sana hawana time ya kuanza kumjibu kila mtu manually. Kwa hiyo wamepreset system kurespond kwa kila email inayoingia.
Si bora mara mia ujibiwe na barua yao kwa automated machine kuliko kutojibiwa kabisa wewe mtumie Makinda uone kama ameset hata hiyo automated mashine sana sana utajibiwa na email hosting the recipient is not existing.
 
Kama niliyosema kwenye thread nyingine (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...dar-wasipewe-tena-serikali-6.html#post2142648) kuna upotoshaji mkubwa juu ya hili suala. Wananchi wanapotoshwa kwamba fedha zinarudishwa. Hilo sio kweli. The money has not been recovered, and as it stands, the money will never be recovered because the Government have igonored and/or refused to prosecute those involved. What is being paid here is merely reparations to the people of Tanzania. Kama fedha zilikuwa zinarudishwa then zingelipwa kwa serikali. Hapo kungekuwa hakuna tatizo. Tena zingerudishwa fedha nyingi zaidi ya hizo kwa sababu tungepewa na interets pia.

Lakini hapa kinacholipwa ni reparations tuu to the people of Tanzania, nothing more. Nasizitiza tofautisha kati ya kurudishiwa fedha kamili na kupewa reparations. Ni vitu viwili tofauti. Tena kupewa reperations tumedharahauliwa ile mbaya. Ingekuwa bora Mh Membe angedai full repayment plus interests for the money we paid for the radar badala ya kung'ang'ania reparations. But he cannot do that because of the well known reason. The naked truth is that the money we paid for that radar has never been recovered. We are only being paid reparations. Na kwa kawaida wanaolipwa reparations ni waadhirika. kwenye suala la radar waadhirika ni Watanazani na sio serikali.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...dar-wasipewe-tena-serikali-6.html#post2142648
 
Nyinyi endeleeni kupiga domo hapa JF mimi nafanya kwa vitendo, nimeshatuma email yangu na majibu haya hapa, sina muda wa malumbano:

Your email has been received

From:
"MITCHELL, Andrew" <andrew.mitchell.mp@parliament.uk>

To:

att40baf.gif (2KB) View Image

RT HON ANDREW MITCHELL MP
SUTTON COLDFIELD
[cid:205024709@22072010-1B14]
HOUSE OF COMMONS
LONDON SW1A 0AA

Your email has been received and will be dealt with as soon as possible.

If you are a Sutton Coldfield constituent, please ensure that you have included your full name and address. No emails will be answered unless a full address is provided. A telephone number would be appreciated but is not absolutely necessary.

Please note that there is a strict Parliamentary convention that MPs can only deal with matters raised by people from their own constituency.

I receive a large number of emails, letters and phone calls each day and I will try to reply as soon as possible. However, please note that all
communications, including emails, are dealt with in the order they are received.

Please be aware that any personal information sent to me over email may be forwarded on to third parties if I make representations on your behalf.
If you DO NOT want specific information forwarded please let me know immediately.

Thank you for taking the time to contact me.

Kind regards,
Andrew Mitchell

________________________________
UK Parliament Disclaimer:
This e-mail is confidential to the intended recipient. If you have received it in error, please notify the sender and delete it from your system. Any unauthorised use, disclosure, or copying is not permitted. This e-mail has been checked for viruses, but no liability is accepted for any damage caused by any virus transmitted by this e-mail.

1 Image | View Image | Download Selected

att40baf.gif
(2KB)
 
Mzarau kwao ni mtumwa Tupinge watu kuturudisha Kwenye utumwa kwa kujitia wana uchungu na nchi Yao, BAE warudishe hela serikalini na utaratibu wa ujenzi Wa Hayo waliyo andika yapewe msisitizo. Tunaanza kuhisi wengine ni mamluki Wa BAE hapa maana kama unawasiliana nao basi wewe ni "mwenzao". Watanzania wenzangu kwa nguvu zote Tupinge mkakati Wa kuruhusu fadha yetu igawiwe na wazungu. 70% itabaki kwao Kama management fee na upuuzi mwingine...Tuache Siasa tupende nchi

Huu u-"MWENZETU" au "SIO MWENZETU" ndio uliotufikisha hapa. Do away from it pleaseeeee!
 
Kama niliyosema kwenye thread nyingine (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...dar-wasipewe-tena-serikali-6.html#post2142648) kuna upotoshaji mkubwa juu ya hili suala. Wananchi wanapotoshwa kwamba fedha zinarudishwa. Hilo sio kweli. The money has not been recovered, and as it stands, the money will never be recovered because the Government have igonored and/or refused to prosecute those involved. What is being paid here is merely reparations to the people of Tanzania. Kama fedha zilikuwa zinarudishwa then zingelipwa kwa serikali. Hapo kungekuwa hakuna tatizo. Tena zingerudishwa fedha nyingi zaidi ya hizo kwa sababu tungepewa na interets pia.

Lakini hapa kinacholipwa ni reparations tuu to the people of Tanzania, nothing more. Nasizitiza tofautisha kati ya kurudishiwa fedha kamili na kupewa reparations. Ni vitu viwili tofauti. Tena kupewa reperations tumedharahauliwa ile mbaya. Ingekuwa bora Mh Membe angedai full repayment plus interests for the money we paid for the radar badala ya kung'ang'ania reparations. But he cannot do that because of the well known reason. The naked truth is that the money we paid for that radar has never been recovered. We are only being paid reparations. Na kwa kawaida wanaolipwa reparations ni waadhirika. kwenye suala la radar waadhirika ni Watanazani na sio serikali.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...dar-wasipewe-tena-serikali-6.html#post2142648
Hata mimi najiuliza hizi gharama zote hadi kupeleka ujumbe wa wabunge uingereza na kuwahudumia kwa zaidi ya wiki nzima majamaa yakigeza nia ya kulipa hatuoni tutakuwa tunaongeza hasara zaidi.
 
Si ndio hapa mkuu. Wananchi wanapotoshwa ile mbaya kwenye hili suala. Inawezekana hata wabunge wetu wakapotoshwa pindi watakapolijadili hili suala bungeni. If Hon. was tough enough, angedai full repayment plus interests. Sio reparations ambayo imelengwa kwa waadhirika ambao ni sisi Watanzania. Yaani kitendo cha Mh Membe kung'ang'ania hii reparations ni kujustify jinsi tulivyodharauliwa.
 
Jamani wahusika wote wa radda upande wa TAnzania hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa kwa serious crimes; kama kweli serikali inaaamini iliingizwa mjini wameshindwa nini kumsaka kwa udi na uvumba Vithlani? Hivi kweli wanataka tuamini hawajui alipo?

mtu wa ze utamu alitafutwa kwa udi na uvumba, na walipomtia korokoroni tulitangaziwa kwa mbwembwe kwenye magazeti.
 
Back
Top Bottom