AN OPEN LETTER to BAE Systems: Do not return radar money to Tz Government

yes!
good nimejibiwa na ANDREW
(SIJALI KAMA NI auto respond or not)
Bado nitatuma kwa email tofauti 13
 
  • Thanks
Reactions: EMT
user-online.png
Mzee Mwanakijiji

6th November 2007 11:45 AM
#1
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
im_msn.gif
im_skype.gif



Join Date : 9th March 2006
Location : Kijijini
Posts : 23,238
Thanks 17,369 Thanked 15,065 Times in 3,689 Posts

Rep Power : 72



[h=2]
icon1.png
Kesi ya Saileth Vithlani wa kashfa ya Rada[/h]
Serikali yetu na mazingaombwe yake... kumbe mwenzenu kafunguliwa mashtaka ya kusema uongo...​
 
Wakuu mpaka sasa kuna post zaidi ya 60 kutoka kwa members zaidi ya 30. Wangapi wenye kupinga uhayawani wa watawala wa Tanzania mmeshatuma email ili ku-support harakati.

Walahi nawaambia pesa hii wakipewa serikali ya CCM mjue wamepata hela ya kampeni 2015.
CCM ni kama faru aliyejeruhiwa, watanzania waliijeruhi CCM 2010 hivyo wanahasira. Dude lenye hasira uwezo wake wa kufikiri huwa duni hivyo tusiwape muda wa kupumua.
 
BAE wenyewe ndio wezi wakubwa sasa nyie mnataka muwaandikie hao wezi kuwaomba wasiipe hela serikali? Mara kumi naiamini serikali yangu kuliko hao matapeli. Ungesema tuandike barua kwa Spika wa bunge la Uingereza ningekuelew kidogo.
 
Nyie mnataka waingize hizo pesa kwenye NGO zao ambazo unakuta Director analipwa Pauni 20,000 hahaha FUNNY!!!!
 
Thank you from Sky News
From: "Sky.Today" <skytoday@bskyb.com>

This is an automatically-generated email

Thank you for contacting Sky News.

We welcome feedback from our viewers and all comments are seen by our newsdesk and production staff but the volume of correspondence means we cannot reply to all emails received.

*You can catch up with news any time on our website and add your comments to the stories we are covering

*We can deliver breaking news to your desktop or mobile

*You can upload pictures to Your Photos and videos to Your Videos

*Full details of our work experience scheme are on the Work for Sky site

*Requests for library footage should be sent to newslibsales@bskyb.com

*The terms and conditions for submitting video and pictures are set out on our website





 
Halafu hao hao tena kwa maringo walituambia serikali ina mkono mrefu, sasa sijui urefu huo ni selective???
Jamaa wanachotaka pesa irudishwe serikalini waichakachue tena kama kawaida yao. Huu ujinga umevuka mipaka. Kama walikuwa serious mbona hawakuidai hiyo pesa ? Mbaya zaidi, hata hao waliohusika kuiba wapo, wengine ni wabunge wa hoiyo hiyo CCM...hiyo pesa bora ikajenge shule na zahanati. Ikirudishwa serikalini, inachakachuliwa. Tuache siasa tuone mbele.
 
BAE wenyewe ndio wezi wakubwa sasa nyie mnataka muwaandikie hao wezi kuwaomba wasiipe hela serikali? Mara kumi naiamini serikali yangu kuliko hao matapeli. Ungesema tuandike barua kwa Spika wa bunge la Uingereza ningekuelew kidogo.

Send to (any or all of them):

Vice Chair of the Advisory Board
Phillipa Foster Back OBE
info@ibe.org.uk

Member of the Advisory Board
lawrence.prior@baesystems.com

Secretary of State for International Development
Hon. Andrew Mitchel
andrew.mitchell.mp@parliament.uk

Hon. Norman Lamb
norman@normanlamb.org.uk
 
Jamani wahusika wote wa radda upande wa TAnzania hakuna hata mmoja aliyeshtakiwa kwa serious crimes; kama kweli serikali inaaamini iliingizwa mjini wameshindwa nini kumsaka kwa udi na uvumba Vithlani? Hivi kweli wanataka tuamini hawajui alipo?
Mwanakijiji, siyo kwamba hawajuai alipo Vithlani, ila wakimkamata itakuwa imekamatwa serikali yote! Sasa nani atakubali? Kumkamata Vithlani ni sawa na kumkamata Mwenye Kagoda.
 
Kwa kule Uingereza pia kuna Channel 4, ambawo reputation yao ni kubwa sana katika unbiased reporting

Page yao ya kuwasiliana hii hapa: rated/slated - April - Channel 4 - 4viewers

Page ya maoni ya BBC hii hapa: NewsWatch | Contact us | BBC News general feedback

fromChannel 4 Viewer Enquiries ViewerEnquiries@channel4.co.uk
to kachachabuseta@jamiiforums.com

dateFri
, Jun 24, 2011 at 2:46 PM
subjectYour Channel 4 enquiry - case 1091699 (KMM3605198I19660L0KM)
hide details 2:46 PM (0 minutes ago)
Thank you for your enquiry.
A member of our Viewer Enquiries team will review your e-mail and will reply to you within the next 7 days.
If we need to forward your correspondence through to another Channel 4 department for an answer, we cannot guarantee a response time, but will get back to you as soon as we can.
For information about Channel 4 have a look at our FAQ section at www.channel4.com/4viewers/faq
 
wewe unaona ni sawa nchi yetu kupangiwa matumizi ya hela na serikali ya nje?????
Huna habari kwamba NGO zimekuwa vichaka vya kuiba hela zinazotolewa na wafadhili?

wewe unaona ni sawa nchi yetu na utajiri wake wa mali-asili na madini kuomba hela ya bajeti ya kuendesha nchi kutoka serikali za nje? tafakari.....
 
  • Thanks
Reactions: LAT
nimetuma email....na pia nikapiga simu ili kusisitiza.....nimeambiwa email yangu imefika na jamaa anasema wanashangaa kuona watanzania wamepata mwamko juu ya hili ....kikubwa amesema wanafanyia kazi maombi ombi letu hili.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom