Amri ya TATU itakuwa ipi?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
Amri ya kwanza, Watu: Tunaamuru ndugu zetu walioshikiriwa katika vituo mbalimbali vya police kwa kosa la kutoshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi tunataka waachiliwe mara moja na tena bila masharti yeyote?

Government: Igweeeeeeeeeeeeeeeeee

Amri ya pili, watu: Tunataka Shekh Fareed ambaye haonekani awe anaonekana ndani ya masaa 26 na asipoonekana mtatutambua

Government: Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Amri ya tatu, watu: Tunaamuru..............................

Government: Ig.............

Tutafika?
 
Back
Top Bottom