Hakuna jipya ktk hawa wote. Huyu Amos
Makalla ashawahi kupewa nafasi mara kadhaa ktk chama lkn akashindwa kudeliver. Sioni hiyo akili mpya atakapoitoa ya kufanya vema kwenye uenezi.

Hapi naye akajigeuza kifutu baada ya kupewa uRC. Afanye kazi vema na akina mzee Kinana. Vinginevyo Zuhura Yunus atafanya yake very soon.

Lakini sasa chama kimerudi mikononi mwa watoto wa mjini. Wale washamba wa kanda pendwa watabakia kupiga makofi tu.
 
Ni lazima lingeanza na "A"

Screenshot_2024-04-03-17-58-19-328_com.quoord.jamiiforums.activity-edit.jpg
 
Back
Top Bottom