Amkamata mkewe akichepuka, aponyokwa. Mtoto asiye wake afariki

Dr Restart

JF-Expert Member
Jul 15, 2021
3,290
17,118
Guten Abend.

Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam, alikuwa ni Msabato. Kwenye dili zilizokuwa zinaangukia Jumamosi zenye posho nene, hakuwahi kuthubutu kuacha siku yake ya ibada kwa ajili hiyo.

Kila iitwapo leo tumuombe Mwenyenzi Mungu atuepushie na mabalaa na kadhia za ulimwengu. Kijana huyu kwa sasa yupo rumande akisubiri kesi yake kunguruma mahakamani.

Kijana huyu miezi kadhaa iliyopita aliamua kuishi na mpenzi wake. Kwa bahati mbaya au nzuri, mpenzi wake huyo alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi kadhaa. Waliendelea kuishi bila shida. Binti alikuwa akionesha tabia za kutokuwa mwaminifu kwa mwenzake.

Wanasema za mwizi ni 40, lakini palipo na arobaini balaa ndipo huchanua. Bahati mbaya sana, balaa badala ya kumchanulia mwizi na mchepukaji, likachanua kwa kijana mpole na mkamata ugoni.

Akiwa kazini, jamaa anapewa taarifa kwamba mpenzi wake yupo mahali anangonoka na mwenzake. Kwa pupa, jamaa kafika eneo la tukio. Wawili hao wanamponyoka na kufanikiwa kukimbia. Binti alimuacha mtoto nyumbani akiwa kalala. Baada ya kukimbia, akarudi kwao kwenda kutafuta suluhu na msamaha.

Binti anarudi asubuhi kumfata mwanae, kwenda huko kwa wazazi wake. Asubuhi mapema, jamaa akaondoka kuwahi kwenye majukumu yake. Alimuacha mtoto akiwa amelala. Akiwaaga majirani kuwa mama yake atafika muda si mrefu.

Asalaleeh!. Mama anafika na kumkuta mwanae kafariki. Na anadai lazima atakuwa kauwawa na mpenzi wake usiku. Taarifa zafika polisi, jamaa kaenda kubebwa mzobe mzobe akiwa anahudumia wateja wake. Hajui hili wala lile, moja kwa moja polisi kwa tuhuma za mauaji.

Polisi bado wanaendelea na Uchunguzi. Sijapata kufahamu postmortem ilisemaje.

Lakini, hii imenitafakarisha sana. Sijapata kufahamu ukweli wa tuhuma husika. Ila kwa kadri ya ninavyomfahamu, sidhani kama ataweza kufanya huo upuuzi.

Kama kweli kafanya, basi adhabu na iwe juu yake. Vijana jitafakarini katika kuamua kuoa ama kuishi na mwanamke mwenye mtoto. Kama unadhani hutoweza kudhibiti hasira zako, basi achana na mwanamke wa watu. Lamba asali, tembea. Usijibebee mzinga wenye nyuki wakali. Na visasi viwe juu ya wahusika, si watoto. Hawana hatia hata kidogo.

Kama hajatenda, basi Mungu na amnusuru na tuhuma hizo. Vijana msikubali kukaa na watoto wa watu, pelekeni kwa bibi zao. Maana lolote likitokea, mtuhumiwa wa kwanza ni wewe. Kwa kudhani kwamba mtoto si wao, muuaji ni wewe. Mpaka haki ije ipatikane, basi umesota sana.
 
Huyo ni msabato mzinzi , anachuja mbu na kumeza ngamia , hukumu yake ni Kali zaidi , anaacha posho sku ya sabato anaenda kuzini , hopeless kabisa , kibaya zaidi anakomaa na single mother aisee too worst

Mpenzi= sio mke
 
Mtoto alikua anaumwa? Na kama alikua anaumwa sidhani kama mama ake angemuacha ndani na kwenda kungonoka na kumuacha usiku mzima amchukue kesho yake,

Kwanini mtoto afe baada ya Baba kumshika ugoni Mama yake na kumponyoka?

Hapo kuna kitu kizito na mshukiwa wa kwanza ni huyo huyo jamaa, mara nyingi hasira za kufumania hua ni kali sana hatujui alimfanya nini,

Imagine, umfumanie Mwanamke wako halafu kakuachia mtoto ambaye sio damu yako ukae nae usiku kucha.
 
alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam, alikuwa ni Msabato. Kwenye dili zilizokuwa zinaangukia Jumamosi zenye posho nene, hakuwahi kuthubutu kuacha siku yake ya ibada kwa ajili hiyo.

(You got derailed)

Mlaumu kwa lingine, lakini jua hisia zina nguvu kuliko akili!
 
Mtoto alikua anaumwa? Na kama alikua anaumwa sidhani kama mama ake angemuacha ndani na kwenda kungonoka na kumuacha usiku mzima amchukue kesho yake,
Sijapata kupata kusikia kama alikuwa mgonjwa ama la!.

Lakini, mtoto kuumwa ni kitu cha dakika kadhaa tu. Anaweza kuwa mzima hata saa nne usiku, saa tano usiku akawa hoi bin taaban.

Lakini, mtoto kungonoka haangalii lolote. Hata mwanae awe mgonjwa, kama alikusudia kwenda kulalana ataenda tu.
Kwanini mtoto afe baada ya Baba kumshika ugoni Mama yake na kumponyoka?
Hapo ndiyo balaa. Hujui litatokeaje.
Hapo kuna kitu kizito na mshukiwa wa kwanza ni huyo huyo jamaa, mara nyingi hasira za kufumania hua ni kali sana hatujui alimfanya nini,

Imagine, umfumanie Mwanamke wako halafu kakuachia mtoto ambaye sio damu yako ukae nae usiku kucha.
Naam. Hilo kweli, hasira huwa ni kali sana. Ndiyo maana sijahitimisha. Uchunguzi unaweza kutoa majibu sahihi zaidi.
 
Guten Abend.

Leo nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za kushikiliwa kwa kijana mmoja niliyekuwa naye kwenye project moja ya afya nchini. Alikuwa 'Index Tester'. Kijana mmoja ambaye hakika aliipenda kazi na kuifanya kwa bidii. Zaidi, alikuwa mnyenyekevu mwenye misimamo thabiti. Naam, alikuwa ni Msabato. Kwenye dili zilizokuwa zinaangukia Jumamosi zenye posho nene, hakuwahi kuthubutu kuacha siku yake ya ibada kwa ajili hiyo.

Kila iitwapo leo tumuombe Mwenyenzi Mungu atuepushie na mabalaa na kadhia za ulimwengu. Kijana huyu kwa sasa yupo rumande akisubiri kesi yake kunguruma mahakamani.

Kijana huyu miezi kadhaa iliyopita aliamua kuishi na mpenzi wake. Kwa bahati mbaya au nzuri, mpenzi wake huyo alikuwa na mtoto mdogo wa mwaka mmoja na miezi kadhaa. Waliendelea kuishi bila shida. Binti alikuwa akionesha tabia za kutokuwa mwaminifu kwa mwenzake.

Wanasema za mwizi ni 40, lakini palipo na arobaini balaa ndipo huchanua. Bahati mbaya sana, balaa badala ya kumchanulia mwizi na mchepukaji, likachanua kwa kijana mpole na mkamata ugoni.

Akiwa kazini, jamaa anapewa taarifa kwamba mpenzi wake yupo mahali anangonoka na mwenzake. Kwa pupa, jamaa kafika eneo la tukio. Wawili hao wanamponyoka na kufanikiwa kukimbia. Binti alimuacha mtoto nyumbani akiwa kalala. Baada ya kukimbia, akarudi kwao kwenda kutafuta suluhu na msamaha.

Binti anarudi asubuhi kumfata mwanae, kwenda huko kwa wazazi wake. Asubuhi mapema, jamaa akaondoka kuwahi kwenye majukumu yake. Alimuacha mtoto akiwa amelala. Akiwaaga majirani kuwa mama yake atafika muda si mrefu.

Asalaleeh!. Mama anafika na kumkuta mwanae kafariki. Na anadai lazima atakuwa kauwawa na mpenzi wake usiku. Taarifa zafika polisi, jamaa kaenda kubebwa mzobe mzobe akiwa anahudumia wateja wake. Hajui hili wala lile, moja kwa moja polisi kwa tuhuma za mauaji.

Polisi bado wanaendelea na Uchunguzi. Sijapata kufahamu postmortem ilisemaje.

Lakini, hii imenitafakarisha sana. Sijapata kufahamu ukweli wa tuhuma husika. Ila kwa kadri ya ninavyomfahamu, sidhani kama ataweza kufanya huo upuuzi.

Kama kweli kafanya, basi adhabu na iwe juu yake. Vijana jitafakarini katika kuamua kuoa ama kuishi na mwanamke mwenye mtoto. Kama unadhani hutoweza kudhibiti hasira zako, basi achana na mwanamke wa watu. Lamba asali, tembea. Usijibebee mzinga wenye nyuki wakali. Na visasi viwe juu ya wahusika, si watoto. Hawana hatia hata kidogo.

Kama hajatenda, basi Mungu na amnusuru na tuhuma hizo. Vijana msikubali kukaa na watoto wa watu, pelekeni kwa bibi zao. Maana lolote likitokea, mtuhumiwa wa kwanza ni wewe. Kwa kudhani kwamba mtoto si wao, muuaji ni wewe. Mpaka haki ije ipatikane, basi umesota sana.
Grussen nicht
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana uislam unahimiza kuoa hawa mabinti kabla hajaanza kupanga mkchepuko.

Binafsi naamini mwanamke si binadamu kamili.

Na ukimchelesha aanze kwanza kudanga. Hubadilika na kuwa bomu kinalosubiri kulipuka
 
Mtoto alikua anaumwa? Na kama alikua anaumwa sidhani kama mama ake angemuacha ndani na kwenda kungonoka na kumuacha usiku mzima amchukue kesho yake,

Kwanini mtoto afe baada ya Baba kumshika ugoni Mama yake na kumponyoka?

Hapo kuna kitu kizito na mshukiwa wa kwanza ni huyo huyo jamaa, mara nyingi hasira za kufumania hua ni kali sana hatujui alimfanya nini,

Imagine, umfumanie Mwanamke wako halafu kakuachia mtoto ambaye sio damu yako ukae nae usiku kucha.
Wanawake wengi ni wapumbavu so kuacha mtoto mgonjwa na kwenda kungonoka ni jambo la kawaida kabisaa
 
Back
Top Bottom