Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

Mahali palipofikia kuelekea kwenye ndoa sidhani kinga ilitumika. Huyo dada kwa kukaa kimya tu kwa jambo zito kama hili ni wazi anajua chanzo.Kwa hali ya sasa hivi hata kama mtu anahisi anaweza kuambukizwa ima kwa sindano, kupewa damu n.k kwa mwenye upendo wa dhati lazima amtaarifu mwenzi wake.Mshauri rafiki yako achukue likizo kwasababu msongo wa mawazo unaweza kumfanya achukue hatua zisizotarajiwa hasa tukizingatia nguzo ndefu anazopanda kila siku. Mshauri asitafute mchawi kwanza bali atulize mawazo. Mwandae atarajie matokeo ya aina yoyote na awe tayari kuyakabili. Aende kupima na kuwe na mpango wa kupata ushauri nasaha kwa wataalamu endapo itatokea vinginevyo.Hali ikishatulia na kukubalika amuulize mpenzi wake kwani kosa la kufungua mkoba halina ulinganifu na hali iliyopo hata kidogo. Njia bora ni kuelezana ukweli na kuwa tayari kukabiliana na ukweli huo kwa pamoja.Hili neno tuna aminiana lisikubalike miongoni mwa watu hata kidogo. Mnapoamua kwenda kwa Sheikh au madhabahuni hapo ndipo kuaminiana kuna ingia kwasababu mumekubaliana kwa dhati zenu na likitokea lingine hilo limo ndani ya uaminifu wenu wa ukweli au uongo.
Asante NGURUVI...Nimeupata ushaur wako na nitaufanyia kazi!.... CHAGIZO:Kwetu Nguruvi maana yake Mungu...ukiandka "NGURUVI3"=NGURUVI YA IDATU=MUNGU ROHO MTAKATIFU(Kwa imani ya kikristo Mungu mmoja nafs tatu i.e Mungu Baba,Mwana na Roho mtakatfu!...moja ya role ya nafs ya tatu ni kutoa mapaji saba...Hekima na Elimu yakiwemo!Kwa ushaur wako naiona reflection ya mapaji ya Mungu roho Mtakatfu ndan yako(Samahan kama ni wa iman ya din nyinine)
 
dah, inasikitisha...kuchanganikiwa kwa jamaa ni ishara kwamba kaenda kavu na na yeye kaathirika, so hamna jinsi hapo!!
Wote wameshaungua, cha kufanya ni kuanza mazoezi, kazi ngumu za minara apunguze, matunda aanze kula kwa wingi,
mboga za majani nk. Hii ni baada ya kuwa confirmed medically, asiwe na mlengo wa nyuma kulipiza kisasi kwa kuanza
kutembea hovyo na wengine, akipata new virus huko,itakuwa mbaya zaidi ya mbaya.
 
Back
Top Bottom