Amedai talaka nimempa,amechukua vitu vyote vya ndani sasa hv anaomba msamaha

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Habari wana jf hili tatizo limemtokea bro wangu alioa mwaka 2010 kabla ya kumuoa mwanamke alionekana ana heshima sn baada ya kuoa niliona kutokana na life ulivyongumu bro akaamua amtafutie biashara ya kufanya akamfungulia duka la nguo hapo ndo visa vikaanza mama mkwe alikua anakuja pale home anamchukua mwanae bila ya taarifa bro anamuona mwanamke anajiandaa anatulia sitting room akiulizwa unatoka?anajibu nipo tu muda ukifika gari inakuja nje ya nyumba inapga honi tukifungua mlango tunakuta mama mkwe yupo kwenye gari hataki hata kuingia ndani mwanae anatoka wanaondoka bila kusema wanaenda wapi night kali anamrudisha nikawa one day hasira zikizidi anampga hapo ndo akapata saba
 
chitanda.nyoka mbona uko hewani????????? halafu ikawaje.....................malizia ndio tukupe comments
 
Last edited by a moderator:
Weka story yote mkuu, ama kuna Part Two yake toleo lijalo?
 
Nashangaa kwani imekatika hla alivyogwa mara 1 akasema anateswa anataka talaka bro akampa akamvizia bro kaenda job kaja home kachukua vitu vyote baada ya mwezi anapga simu kuomba msamaha anataka arudishe vitu hili ndoa iendelee sababu mama yake ndo alomshawishi kufanya vile na dini inaruhusu sababu alimpa talaka 2,je tunamshauri vp ndugu yetu?
 
Nashangaa kwanini imekatika wakati nimeandika yote hla alivyopigwa mara 1 akasema anateswa anataka talaka bro akampa akamvizia bro kaenda job kaja home kachukua vitu vyote baada ya mwezi anapga simu kuomba msamaha anataka arudishe vitu hili ndoa iendelee sababu mama yake ndo alomshawishi kufanya vile na dini inaruhusu sababu alimpa talaka 2,je tunamshauri vp ndugu yetu?
 
Nashangaa kwanini imekatika wakati nimeandika yote hla alivyopigwa mara 1 akasema anateswa anataka talaka bro akampa akamvizia bro kaenda job kaja home kachukua vitu vyote baada ya mwezi anapga simu kuomba msamaha anataka arudishe vitu hili ndoa iendelee sababu mama yake ndo alomshawishi kufanya vile na dini inaruhusu sababu alimpa talaka 2,je tunamshauri vp ndugu yetu?

Hivi huyu mwanamke ni shemeji yako au mke wako?
 
Nafikiri wakati anaanza kuandika alikuwa na hasira halafu pembeni kaweka glasi imejaa viroba !
 
sasa kama ameshampa talaka anataka nini tena? huyo kaka au kama ni wewe mpotezee mazima tena kwakua kashachukua vitu basi achana naye kabisa. kama hana mtoto ni bora zaid. ushauri wangu ahame hiyo nyumba aende kwingine ili kukwepa usumbufu, kisha atulie ajipange upya. Mimi huwa naamin hivi mwanamke anapokuwa shetani huwa anakuwa mbaya kuliko mashetani tunao wajua sikufichi huyo mwanamke utakuta hadi kwa waganga kaenda na hapo anatunguli kibao kama siyo dawa za kumuwekea huyo kaka au kama ni wewe utajua ili warudiane na ili awe mpole. asisubiri hadi aumizwe kweli sipend ndoa ivunjike il pia wanawake wana roho mbaya sana na kama yuko pamoja na mama yake nakwambia huyo hadi nyama zilizowekwa kwenye uchi siku saba atamlisha mumewe. chezea mwanamke wewe.......
 
Wacha kaka yako amue kama moyo wake unataka kumsamehe,huwezi jua kaka yako vp anampenda huyo mkewe anaweza kua anazuga kwakuona haya mbele yenu ndugu lakini moyo wake bado unamtaka mkewe.
 
Its complicated!! Ila mwisho wa siku mwenye maamuzi ni kaka yako!! Ningetaka anishawishi kwanza, anisotee kwa sana kunishawishi ili kuona kama kweli kajifunza. Kuna vitu binadamu hufanya bila kufikiria madhara yake hapo baadae, hivyo ni mhimu kumsikiliza huyo mwanamke japo kaka yako lazima awe mwangalifu asije akajikuta anarudishwa nyuma kila wakati!!
 
Huyo mwanamke sio hafai kwani hadi anakubali kuolewa ni dhahiri alikuwa anajua nn anafanya, asimsingizie mama yake eti ndio amemponza kwani alivyokuwa anakwenda huko hakujua matunda yake yatatokeaje, alipaswa kulitambuwa hilo mapema kuwa yeye ni mke wa mtu anapaswa kujiheshimu kama mama yake alikuwa hajiheshimu haupaswa kujiunga nae bali kumweleza ukweli mama yake hata kama atachukia atakuwa ametimiza wajibu wake kwa mwenyezi mungu kumwokoa mwenzie ktk mabaya.

mwambie huyo kaka'ako ama kama ni ww mwenyewe huyo mwanamke hafai kabisa ameibomowa nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe, siajan=bu huko alikokimbilia aliambiwa atakuwa pekeyake akakutana kuna msululu wa wanawake wenzie na vitu amekomba vyote akakae hukohuko atawaletea magonjwa huyo!
 
Umejitahidi kujificha lakini andiko lako lakushuhudia kuwa ni wewe ndiye muathirika wa kitendo hiki cha mke wako. Kama uko kwenye dini inayoruhusu taraka rejea unaweza kumrudisha ila kwa masharti mapya kabisa. Uzoefu unanionyesha kuwa wanawake wanaokimbia miji yao kwa visa vya kukosa uaminifu wakirudi wanakuwa wasumbufu zaidi. Kuna wachache ambao wanarudi kwa nia ya kubadilisha tabia na kuanza upya lakini wengi wakirudi wanayaendeleza yaleyale mambo yaliyowaondoa kwa ari zaidi, nguvu zaidi, na kasi zaidi.
 
Kama walikuwa hawajapata wtt pamoja hiyo ni advantage kwako/(kwa kakayako?). Lakini sjapata logic kwa nini unataka tukushauri. Unataka tukushauri nawewe ukamshauri kaka yako? Au kaka yako mwenyewe ndo wewe? N way polen, chukueni tahadhari kubwa,if she hit u in the morning,she will kill u in the midle of the nyt
 
its complicated!! Ila mwisho wa siku mwenye maamuzi ni kaka yako!! Ningetaka anishawishi kwanza, anisotee kwa sana kunishawishi ili kuona kama kweli kajifunza. Kuna vitu binadamu hufanya bila kufikiria madhara yake hapo baadae, hivyo ni mhimu kumsikiliza huyo mwanamke japo kaka yako lazima awe mwangalifu asije akajikuta anarudishwa nyuma kila wakati!!

kusota anasota kweli maana tulikua tunakaa sinza baada ya kuchukua vitu vyote hajaacha hata kijiko tukahamia sehemu nyingine huo mtaa tulohamia kuna salon ya kike siku bro anarudi kamuona hapo yule dada akamchangamkia akamuitikia but hakuongea nae zaidi,anatamani kubadilisha namba ya simu
 
kusota anasota kweli maana tulikua tunakaa sinza baada ya kuchukua vitu vyote hajaacha hata kijiko tukahamia sehemu nyingine huo mtaa tulohamia kuna salon ya kike siku bro anarudi kamuona hapo yule dada akamchangamkia akamuitikia but hakuongea nae zaidi,anatamani kubadilisha namba ya simu
Kosa kubwa litakuwa ni kumkubalia haraka kabla ya kumjua zaidi, kumfanyia interrogation ya kutosha na pengine kujua baada ya talaka alikuwa wapi, aliishi vipi na kipi kimemfanya atake kurudi. Vipi kuhusu kaka yako, alikuwa katulia tu au alishaana kufanya taratibu sehemu zingine?
 
Back
Top Bottom