Amedai talaka nimempa,amechukua vitu vyote vya ndani sasa hv anaomba msamaha

sasa kama ameshampa talaka anataka nini tena? huyo kaka au kama ni wewe mpotezee mazima tena kwakua kashachukua vitu basi achana naye kabisa. kama hana mtoto ni bora zaid. ushauri wangu ahame hiyo nyumba aende kwingine ili kukwepa usumbufu, kisha atulie ajipange upya. Mimi huwa naamin hivi mwanamke anapokuwa shetani huwa anakuwa mbaya kuliko mashetani tunao wajua sikufichi huyo mwanamke utakuta hadi kwa waganga kaenda na hapo anatunguli kibao kama siyo dawa za kumuwekea huyo kaka au kama ni wewe utajua ili warudiane na ili awe mpole. asisubiri hadi aumizwe kweli sipend ndoa ivunjike il pia wanawake wana roho mbaya sana na kama yuko pamoja na mama yake nakwambia huyo hadi nyama zilizowekwa kwenye uchi siku saba atamlisha mumewe. chezea mwanamke wewe.......

Na mie nipo katika hali kama hiyo na kila anaenipa ushauri basi ni kama huu, asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom