New year resolution yake:Napunguza muda wa kuonana na mpenzi naongeza kwenye mambo yangu.Yani siku tano tu tayari analalamika?Labda mwenzake yupo kwenye harakaki za kuuanza mwaka vizuri.. majukumu au kazi zimeongezeka!Kama anaona kuna tatizo amuulize tu kulikoni!
Amemuuliza kulikoni anasema kazi tu. umeongezewa majukumu hapana nimejiongezea muda zaidi wa kukaa kwa ofic
Nakumbuka mada moja iliwahi kuja humu JF ya mke wa mtu kwenda ofisini kwa mumewe akiwa na matatizo badala ya nyumbani,sasa naanzaHili nalo neno maana haishi kumsifia boss wake
Without Love -- dayz are
"Sadday,
moanday,
tearsday,
wasteday,
thirstday,
frightday,
shatterday... so we have to be in Luv everyday...
Being inlove doesn't necessarily means you have to be around each other every second of the day!Kuongea kwa simu tu kunatosha kuonyesha mapenzi kwa mwenzio...sio mnazongana mpaka mnashindwa kupumua!Muhimu ni mawasiliano!
Salama kabisa Eli,.mzima wewe?Habari ya leo mama mchungaji?
Salama kabisa Eli,.mzima wewe?