Amazon Firestick lite, tv box original kwa bei nafuu

hemedans

Member
May 18, 2011
68
64
Umechoshwa na Tv box za kichina ambazo zipo slow, ngumu kutumia na hazina features nyingi? Karibu kwenye ulimwengu mpya wa Android kwenye Tv yako kwa kutumia Fire stick.

Fire stick ni tv Box ambayo inaweza kubadili tv yoyote ambayo sio smart kuwa smart, pia wale wenye smart tv wanaweza kuitumia kuongezea nguvu tv zao na kuweza kudownload apps mbalimbali.

Itaipa tv uwezo wa:
1. Kudownloads apps mbalimbali za kuangalizia movies za bure na kulipia
2. Apps za kuangalizia mpira za bure na kulipia
3. Kucheza games (kama una bluetooth controller)
4. Kuangalia youtube au facebook videos
5. Kusikilizia miziki etc.

IMG_20201116_194321.jpg

Mambo mengine ambayo Fire tv inayo na kuifanya iwe tv box ya kipekee ni

1. Ni ndogo sana kama flash inakaa nyuma ya tv bila kuonekana mbele
2. Unaweza kuiambia kwa sauti ikafanya kazi, mfano ukiiambia "play Ali kiba music" itafungua yenyewe youtube, itasearch hayo maneno na kuanza kuplay nyimbo za alikiba.
3. Ina app playstore ukitaka extra features
4. Inakuja na cable yake, battery, remote na kila kitu cha kuanzia, una plug and play tu.

51nChqjapwL._AC_SL1500_.jpg
61NKDraaXiL._AC_SL1500_.jpg
51jxSC8ZC7L._AC_SL1500_.jpg


Bei ni 120,000 tu


Pm ama nitext whatsapp kwa namba.
0715696962
 
Yaani kitu kikitoka ng'ambo kikifika Bongo bei inapanda mara dufu pengine mpk mara 3 au 4.kabisa.
Simaanishi kwa thread hii.

Bidhaa nzuri ila nasubiri ziingieingie pengine bei itapungua zaidi.
 
Yaani kitu kikitoka ng'ambo kikifika Bongo bei inapanda mara dufu pengine mpk mara 3 au 4.kabisa.
Simaanishi kwa thread hii.

Bidhaa nzuri ila nasubiri ziingieingie pengine bei itapungua zaidi.
Amazon hawauzi nchi nyengine, na ikitokea wanauza bei inakuwa ndefu.

Mfano india firestick ni rupee 6000 ambazo ni sawa na 187,000 ya Kitanzania,

Usa pekee ndio inakuwa bei rahisi, Amazon wanauza kwa bei ndogo kule sababu wanajua utanunua Amazon prime na wao watafaidika kila mwezi.

Hio bei hapo ni pamoja na ujanja wangu wa kuitoa Amazon na apps nitakazokupa. Amazon prime pekee miezi 6 thamani yake ni dola 36 ambayo inakaribia laki.
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Back
Top Bottom