Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa

It is horrifying to read this abuse of the trust placed in a senior officer of our central bank. Not only the loot but the way he utilised it, bribing women to satisfy his craving for sex.

However my comment here concerns how it has been construed that it was Liyumba and his colleague Kweka who were responsible for this abuse. The tender for the building of the BoT twin towers must have considered by the Board of Directors under the chairmanship of the Governor. Building consultants must have used to assess all tenderers. The accepted price was approved by the Board. How come it is only Liyumba and Kweka who are being blamed?

The next phase is the payments for the works as progress was made. Normally a Quantity Surveyor assesses each claim to see if the contractor has actually done what he claims. The QS then advises management what to pay in accordance with the contract agreement. It is when management agrees that officers like Liyumba are instructed to write the required cheque.

So my question is "Why is the Government not tackling the real decision makers? Is the public being hood-winked by prosecuting the "dagaa" rather than the "sangara"?

If Liyumba and his colleague inflated the approved payments and pocketted part for their own selfish needs that is when they can be blamed.

Kilasara (JF Member)
 
Hakimu inainekana aidha keshavuta ama analipa fadhila hapo,nobody knows now but will come out soon.

SAHIBA.
 
mnapakaza nani aone mchumba wake kaanikwa na kasfa kibao akubali hata kula denda nae.....hata mie nakula kona......

......ile list ndio maua yetu mtaani wanaotusitiri.......niambie list ile wewe hugongi kavu? tuambieni ukweli totozi zile zionage kwenye picha zisogelee hutakumbuka ndomu.....

bahati mbaya Yo Yo mimi siko mitaa hiyo.

SAHIBA.
 
Binafsi sioni cha kushangaza hapa, maana nilikwishaona dalili za mauzauza toka awali. Haiingii akilini watu 2 tu wakwibe peke yao sh 220 bilioni ktk nchi yenye serikali na vyombo vya dola, bunge na mahakama.

Tatizo ninaloliona ni upangaji wa EPISODE ktk mchezo huu wa kuigiza. Nasubiri episode nyingine labda watatengeza picha kali zaidi.
 
Jamani mbona hao wengine walipunguziwa yeye ni nani si binadamu.....kama yona na mramba...wacheni mahakimu msiwaingilie haki ifanye kazi
ujumbe tu
kwa wote wa epa uliosikia ama kuwaona wakiingia ndani na wamefanikiwa kutoka sahau kama watarudi kule,,,huo ulikuwa mchanga wa macho tu
 
Hapa tatizo si kupunguziwa, tatizo kutokuona mapungufu... masharti yamekiukwa!!
 
Na bado tutaona mengi sana. Tatizo wamechelewa kuanza sinema hii. Hii sinema ilitakiwa ianze June 2009.
 
Binafsi sioni cha kushangaza hapa, maana nilikwishaona dalili za mauzauza toka awali. Haiingii akilini watu 2 tu wakwibe peke yao sh 220 bilioni ktk nchi yenye serikali na vyombo vya dola, bunge na mahakama.

Tatizo ninaloliona ni upangaji wa EPISODE ktk mchezo huu wa kuigiza. Nasubiri episode nyingine labda watatengeza picha kali zaidi.

...leo nakubaliana na wewe,haiingi akilini Liyumba aweze kuiba billion 220 ,hii kesi naona imekwisha hata kabla haijaanza maana mashtaka dhidi yake inaonekana ni ubabaishaji tuu na kukosa seriousness kwa prosecutors wetu,hata huyo mhakimu aliyemwachia kishaona kuna ubabaishaji tuu hapa.
 
Amatus Liyumba: Balaa

It is horrifying to read this abuse of the trust placed in a senior officer of our central bank. Not only the loot but the way he utilised it, bribing women to satisfy his craving for sex.

However my comment here concerns how it has been construed that it was Liyumba and his colleague Kweka who were responsible for this abuse. The tender for the building of the BoT twin towers must have considered by the Board of Directors under the chairmanship of the Governor. Building consultants must have used to assess all tenderers. The accepted price was approved by the Board. How come it is only Liyumba and Kweka who are being blamed?

The next phase is the payments for the works as progress was made. Normally a Quantity Surveyor assesses each claim to see if the contractor has actually done what he claims. The QS then advises management what to pay in accordance with the contract agreement. It is when management agrees that officers like Liyumba are instructed to write the required cheque.

So my question is "Why is the Government not tackling the real decision makers? Is the public being hood-winked by prosecuting the "dagaa" rather than the "sangara"?

If Liyumba and his colleague inflated the approved payments and pocketted part for their own selfish needs that is when they can be blamed.

Kilasara (JF Member)

the architect and the quantity surveyor are pritected by the law from any negligence they may commit during the execercise of their duties, and on top of that, they are obliged to take professional indemnity insurance, thus if bot suffers from their act, they can be compensated from professional indminity cover, and not taking them to kisutu

the big puzzle is that, who protect akina mramba ana lyamba from theiir decision making on public interest? it is high time the other professional bodies to consider this
 
Hivi naomba mnisaidie maana naona kama kuna kitu sikielewi. Inakuwaje Wakina Mgonja walikaliwa Kooni (sio kwamba natetea) kwenye kulipa dhamana yote mpk Mramba kukosa harusi ya mwanae na Liyumba kutoka kwa dhamani ambayo hata robo ya dhamana yote kwa ujumla haikutimia? Kama kuna watu wanaweza kunifafanulia hili nitashukuru kwa sababu nina doubt na maamuzi ya Hakimu Khadija isije ikawa kuna uthibitisho mwingine ambao haujawekwa wazi kuhusiana na kesi hiyo mpk Mh kutoka..............
 
afadhali katoka mzee wa watu ameharibika utadhani kakaa miaka 10 lupango!Mungu ampe afya njema ili ajibu hii kesi ya mabilioni na ukweli ujulikane!
 
This is non sense for a person with ability to use these technology of communication to turn other people's mind to think negatively in life than positive.That's why we won't develop ourselfs and even as a nation.Lets be wise,there are lots of problems we can solve by using these technology rather than insulting others
 
Shaycas, that why we are concerned, Tsh220bn are alots we could do something with this morney to develop not ourself but national as a whole, this vices needs to be eliminated for the future of our nation. Plato identified this problem 399 BCE that we need to eliminate vices.
 
Its unbelievable, but as one of us said.Let no one point finger to another but Judge yourself and see if you are a perfect human being. For sure everyone will die its just a matter of time and not the cause of death

The fact that each and one of us is destined to die at some point it doesn't mean that we shouldn't be RESPONSIBLE and take care of ourselves. Babygirl your point is so out of whack!
 
the architect and the quantity surveyor are pritected by the law from any negligence they may commit during the execercise of their duties, and on top of that, they are obliged to take professional indemnity insurance, thus if bot suffers from their act, they can be compensated from professional indminity cover, and not taking them to kisutu

the big puzzle is that, who protect akina mramba ana lyamba from theiir decision making on public interest? it is high time the other professional bodies to consider this

Hiki kitu umekipata wapi hiki? Toka lini ukajiwekea bima ili usishitakiwe?

Hakuna kitu kama "professional indemnity insurance" inayokulinda usiende Kisutu.

Legal insurance na Indemnification zinahusiana na kesi za madai; makubaliano ya kulipiwa hukumu na legal fees.

Huwezi kujiwekea eti "indemnity cover" ili usishitakiwe. Iwe jinai au madai, hakuna hicho kitu.
 
Hapa umesema vyema tusipotoshe maan ya professional indemnity
 
Nyeti ambazo hazijathibitishwa ni kwamba wale wadhamini wawili wa liumba ni ndugu zake mana mmoja ni shemejie na mwingine anamwita uncle na pia hawana barua za BOT za kumdhamini liumba so basically wale ni wadhamini batili ivo waliachiwa so in a nut shell liumba alijua ata akikimbia wadhamini hawawezi kamatwa...ndo mana ata passport alileta expired one since 2007 wakati last year tu alienda India au China so kama ime xpire alienda na passport ipi?...tusubiri tuone..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom