Amatus Liyumba: Balaa!

Ukweli unabaki palepale janga la ukimwi mpaka kieleweke, mrudieni Bwana awanusulu mnaohusika poleni sana

...sasa naweee, ushaambiwa 'inasemekana' ameathirika, nawe unataka wamrudie huyo Bwana, wewe vipi?
 
Statistics zinaonyesha malaria inaua watu wengi kuliko ukimwi
mtu akipata vvu mnaona tayari marehemu , mbona wengine wanadunda hata huyo liyumba bado anadunda
jamani dunia tunapita kufa tutakufa tu

...Belo my brother, tatizo la 'miwaya' unahusishwa moja kwa moja na NGONO zembe!

Unakumbuka enzi zile za Gonorrhea na kaswende? wengi walikuwa wanatibiwa majumbani, vichochoroni, au usiku usiku... aibu yakhe!
 
Statistics zinaonyesha malaria inaua watu wengi kuliko ukimwi
mtu akipata vvu mnaona tayari marehemu , mbona wengine wanadunda hata huyo liyumba bado anadunda
jamani dunia tunapita kufa tutakufa tu

UKIMWI sio neccesarily ugomjwa,bali ni udhaifu dhidi ya kinga za mwili na kama mafua ama malaria ikija kwa nguvu inakuondoa kwasababu huna kinga,ndio maana mtu anaweza kufa kwa malaria wakasema ni ukimwi...Haina maana kwamba watu walikuwa hawafi kwa malaria bali inakuwa rahisi kufa kwani kinga ni dhaifu so TB mara nyingi huwaondoa wenye VVU ama ugonjwa wowote common kwenye mazingira yetu ie AIDS.
 
Its unbelievable, but as one of us said.Let no one point finger to another but Judge yourself and see if you are a perfect human being. For sure everyone will die its just a matter of time and not the cause of death
 
- so we have to practice un-safe SEX simply because "everyone will die its just a matter of time" That is absurd.

- I happen to know a few of young ladies in this list, and one of them is my neighbour, trust me, AL was a regular visitor on this young lady's home. What worries me most is that she was/and still is seeing a lot of youngester "bongo super stars" at an alarming rate!

- PALY SAFE
 
Hii ni kuchachafuana tu na kuiga utamaduni ambao wanatanzania hatukua nao.Hii technology ya habari nadhani kwa baadhi ya walio wengi hawajui nini madhumuni yake,na sasa tumegeuza ni sehemu ya kuchafuana na kuandika chochote mtu anachojisikia kuandika.Hata kama kweli kwenye hiyo orodha wapo walioenda liumba,wewe umejuaje???????hao uliooredhesha hapo chini wenye pesa ni kwamba wanakutia uchungu wewe huna!!!!!!ni vizuri hii blog ikatumika kuelemisha jamii badala ya ya uchafuzi wa majina ya watu,KIUYAJIBU jana lako lingekuwa hapo ungeleta hiyo orodha hapa?au umedelete lako na la mkeo kwanza???
 
Sidhani kama kuna haja ya kuwajadili hawa. Cha msingi hapa ni kuendelea kuzuia maambukizi. It begins with you...!!!
 
Sidhani kama kuna haja ya kuwajadili hawa. Cha msingi hapa ni kuendelea kuzuia maambukizi. It begins with you...!!!

Kuwajadili tunaweza fanya hivyo, kwa msingi kwamba huyo AL alikuwa ni mtumishi wa Serikali mwenye dhamana kubwa aliyopewa na Watz.......! sasa badala ya kuwatunuku wa tz kwa kutenda kazi aliyopewa kwa uaminifu na uadilifu, akageuza kodi za wanyoge kama fimbo na siraha ya kuwapondea wanyonge hao hao....hili halikubaliki. Huyu, (kama kweli) inasemekana alikuwa anahonga magari, sasa hiki siyo kitu kidogo, hizi ni kodi za walalahoi zinatumika kuhonga wanawake na kutanua nao kwenye mahotel ya kifahari!

Wakati huohuo, huyu jamaa angekuwa anatumia personal & genuine resources kuhonga wanawake, nadhani ingekuwa haina haja kuidiscuss hapa, labda tungeweza kumtaja hapa ili kuwatahadhalisha wabongo waroho wa pesa wasije angamia na MIWAYA that's all!
 
Nani amethibitisha kuwa Liumba ana ngoma? Msihuku msije mkahukumiwa
 
Last edited:
Hii ni kuchachafuana tu na kuiga utamaduni ambao wanatanzania hatukua nao.Hii technology ya habari nadhani kwa baadhi ya walio wengi hawajui nini madhumuni yake,na sasa tumegeuza ni sehemu ya kuchafuana na kuandika chochote mtu anachojisikia kuandika.Hata kama kweli kwenye hiyo orodha wapo walioenda liumba,wewe umejuaje???????hao uliooredhesha hapo chini wenye pesa ni kwamba wanakutia uchungu wewe huna!!!!!!ni vizuri hii blog ikatumika kuelemisha jamii badala ya ya uchafuzi wa majina ya watu,KIUYAJIBU jana lako lingekuwa hapo ungeleta hiyo orodha hapa?au umedelete lako na la mkeo kwanza???
Kwa taarifa yako hii orodha imekwishapita kwa watu wengi hadi ilipofika kwangu na kuamua ku-publish hapa(siyo siri);hata kama jina langu lingekuwepo ningeichapisha tu,ila sina mke hadi hivi sasa.
Ninachoamini mimi siku zote penye ukweli uongo hujitenga;sioni sababu ya kuogopa kutajwa jina langu siunajua naishi na watu,hata hivyo niliweka exemption clause mwanzo kabisa mwa hii post,take care my dear.
 
Sidhani kama kuna haja ya kuwajadili hawa. Cha msingi hapa ni kuendelea kuzuia maambukizi. It begins with you...!!!

...tutazuia vipi maambukizi bila kuwajadili? mfano; soma maelezo ya Baba Enock kuhusu huyu young lady ambaye anaendeleza multiple sexual partners!

-....
- I happen to know a few of young ladies in this list, and one of them is my neighbour, trust me, AL was a regular visitor on this young lady's home. What worries me most is that she was/and still is seeing a lot of youngester "bongo super stars" at an alarming rate!

- PALY SAFE
 
Anyways, nakubaliana na Next Level kwamba lazima tujadili, kwa sababu alizo zitaja hapo juu. On top of that ukisha kuwa celebrit lazima ukubali yote pengine yatakuwa mazuri, mabaya au hata ya kuzushiwa. That is the price. Wana jamii leteni habari tusome tujue. This is the only place unaweza kupata habari za namna hii, otherwise hakuna. So kama unaona watu wanachafuliwa usiingie JF, nenda kajiunge na forums nyingine hapa JF naona wamesema they dare to talk openly. Infact siyo vitu vyote tunaweza kupata proof, so haimaanish hata visivyo na proof havitakiwi kujadiliwa, in the proceess proof hujitokeza.

Hata na ivyo what is wrong with dying? Si kila mtu anakufaaa! It is only that some are more probable than others depending on the situations wanazoface but the risk of dying iko pale pale. So hakuna haja ya kuhofu kama uko kwenye list, sote tutakufa.

Kama una believe in God then, sali or swali sana ili uende uko wanakoita Mbinguni.

Ni mtazamo wangu.
 
Huu ndio utamu wa maisha. Kila siku ni HABARI mpya tu. Huyu mtu aitwaye Liyumba data zake kuhusu ngono ni ya muda mrefu sana; hivyo inawezekana ni kweli. Na iwapo ni kweli na ukizingatia chain ya Wadanganyika kwenye ngono basi ujuwe hali ni hatari hasa kwa munaoishi dar, kwa sisi wazururaji hali shwari.

Nawatakia utafiti mwema wa kuhakiki hizo habari
 
no wonder ukimwi hautakaa uishe. nadhani aliyeweka hii list, ni katika kutuhabarisha kua kuna hatari hapa na kama kuna aliyepitia basi akaji check afya yake kungali mapema. sioni ubaya wowote. Hata kabla hii list haijatoka hawa wadada tulishawasikia sana na huyu jamaa yao. Huyu bwana ni katika wale waosema, nitaondoka na wengi, yeye kaamua kuondoka na ma star wabondo. kapima hakupima lakini ni muadhirika wa siku nyingi, anajulikana, mkewe kafa kwa same ugongwa na binti yake ambaye yasemekana pamoja na ubaba alikua mchuchu pia ameshakufa. na hao wadada ni wale wenye imani kua heri kuishi miaka michache katika raha kuliko miaka mingi ya umaskini, kwao kua na gari ni raha ndio maana wametoa maisha yao kwa hilo.
Ila tusiwaseme sana maana kila mmoja ana mpangilio wake wa maisha. wao maisha mafupi mradi una drive ni poa kuliko maisha marefu ya kishikilia mchuma.
 
mimi nafikiri orodha kutolewa haina maana kuna proof bali ni habari ambao imezagaa mtaani tu na kuna umuhimu wa kuijadili. hapa sio mahakamani ambapo uthibitisho ni muhimu kabla mtu hajatiwa hatiani. speak freely na hata kama upo katika list it doesnt matter if you know the truth. kama watu wanakumbuka siku alipopelekwa mahakamani waandishi waliandika sana. huyu anajulikana kwa kuhonga magari mekundu.

cha msingi ni kujitunza na kuwa mwandalifu katika mahusiano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom