Am not complaining, I just wish...

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,146
34,197
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi. I am a housewife (at the moment) and I do all the chores myself (proudly). My husband is a business man, leaves early in the morning and comes back late at night. Its his routine. This once I wish he would take me with him, this once I wish I could see Dar es Salaam at night, this once I wish I would eat dinner with somebody other than my own shadow :D. But who am I to complain? Wouldnt thousands of other women be content just being married. Sigh. So I gotta stop whining and be grateful. :|
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kukimbiza shilingi ni muhimu but mkumbushe atenge muda kwa ajili yenu pia
 
U have all reason to complain kimoyo moyo dear. Ila toa wazo kwa hubby at least mle out, mengineyo yanaweza fuatia huko huko!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hujaamua kumhack wewe.

Mie nilishawahi mfuata huko kazini, nikatulia nje hadi muda wa kazi ulivyoisha, nikamhack hapo hapo.

Nikaanza na nampenda na kumkumbuka kwa busu hadaharani. Aliona aibu ila tulivyofika home he was so happy.
Kesho yake alinipeleka out.

Kuwa muwazi, mbona si dhambi jamani, mwanamme bila kukumbushwa waweza kuwa fanicha lol
 
nafikiri wanaume wote wa jf watakaosoma huu uzi wawafikishie wenzao ndan na nje ya jf na pia wao wafanyie kaz uzi huu. kwan chanzo cha mwanamke kuchit hutokana na mambo km haya. kuna mkaka alileta uzi kuwa "kamtongoza mchumbaake kwa id nyngne na akakubali" mdau mwngne aksema huenda mdada alikuwa hatolewi out so ile kuckia anaitwa blue pearl akaona bora aende hata aone huwa kunani hko b-pearl. haya mengne haya hapa leo. n-way message sent n delivery. mtoa mada USIONE SOO SEMA NA MUMEO!
 
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi. I am a housewife (at the moment) and I do all the chores myself (proudly). My husband is a business man, leaves early in the morning and comes back late at night. Its his routine. This once I wish he would take me with him, this once I wish I could see Dar es Salaam at night, this once I wish I would eat dinner with somebody other than my own shadow :D. But who am I to complain? Wouldnt thousands of other women be content just being married. Sigh. So I gotta stop whining and be grateful. :|

We are free to wishes after all they dont cost unless they change into something else!
 
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi. I am a housewife (at the moment) and I do all the chores myself (proudly). My husband is a business man, leaves early in the morning and comes back late at night. Its his routine. This once I wish he would take me with him, this once I wish I could see Dar es Salaam at night, this once I wish I would eat dinner with somebody other than my own shadow :D. But who am I to complain? Wouldnt thousands of other women be content just being married. Sigh. So I gotta stop whining and be grateful. :|

Pole sana. Kweli ni biashara ya kipato au ya mambo mengine? Kwa vyovyote, that is a time bomb for your marriage.
 
Huyo mwanaume hana hata weekend? Kwake zote siku 7 ni week days?
 
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi. I am a housewife (at the moment) and I do all the chores myself (proudly). My husband is a business man, leaves early in the morning and comes back late at night. Its his routine. This once I wish he would take me with him, this once I wish I could see Dar es Salaam at night, this once I wish I would eat dinner with somebody other than my own shadow :D. But who am I to complain? Wouldnt thousands of other women be content just being married. Sigh. So I gotta stop whining and be grateful. :|

Mhhhh! Lonely wife!!! Discuss this issue with your husband and let him know your ideas/suggestions in order to modify your daily routines as a couple.

Last edited by a moderator:
It is the beginning of the weekend and nothing out of the ordinary. Am just flipping through the channels on TV kama kawa. My husband and I live alone, in the outskirts of Dar es Salaam in Mbezi. I am a housewife (at the moment) and I do all the chores myself (proudly). My husband is a business man, leaves early in the morning and comes back late at night. Its his routine. This once I wish he would take me with him, this once I wish I could see Dar es Salaam at night, this once I wish I would eat dinner with somebody other than my own shadow :D. But who am I to complain? Wouldnt thousands of other women be content just being married. Sigh. So I gotta stop whining and be grateful. :|

......huh? ....another episode of "ndoa ndoana"....

As long as he doesnt sleep out, though he comes home late (maybe early hrs of the next day)....be grateful...."A bird in hand,......!" And unfortunately, '.... the grass always looks greener on the other side...'
 
aah wapi usikute kasinzia kwenye kochi. . .

......lol, hahahaha......nakweli!

Ati 'mungu hakupi yote!'.....unakuta usafiri ni Prado kwenda mbele, full tinted na kiyoyozi, ....Jumba kubwa kama hekalu, ....fully luxury equiped....kuanzia jacuzzi, swimming pool mpaka DSTV & sat channels zote duniani:.....lakini moyo mtupu, mpweke, hauna furaha...

....mtu anaacha mkitanda, anakesha amelalia kochi ukumbini sbb machungu na upweke.
 
Aisee hii ya kutumia muda wote na nguvu zote kutafuta pesa, mwisho wake huwa ni kutumia pesa zote kutafuta afya na furaha!

So sad!
 
Kaunga ,sema wewe leo manaake nikisema mimi nitaambiwa sijui goigoi,hapo jamaa anaona amemaliza kila kitu kwa kuhakikisha yuko financially stable lakini wapi ka-kitu kadogo kanaweza haribu all his hardwork.
Pesa ina mipaka yake jamani na ikishaanza kuingilia furaha ya maisha haina maana tena(am speaking from experience) inakuwa makaratasi yenye thamani tu,mtoa mada hawazi tena hela anataka kitu zaidi sasa akikikosa kwa muda mrefu,i dont wanna speculate what will happen but its clear that anaumia moyoni.
Sijui nanihii na naniliu wako wapi waje kusoma hii manaake wao wanadhani pesa ndio kila kitu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom