Am not complaining, I just wish...

hujaamua kumhack wewe.

Mie nilishawahi mfuata huko kazini, nikatulia nje hadi muda wa kazi ulivyoisha, nikamhack hapo hapo.

Nikaanza na nampenda na kumkumbuka kwa busu hadaharani. Aliona aibu ila tulivyofika home he was so happy.
Kesho yake alinipeleka out.

Kuwa muwazi, mbona si dhambi jamani, mwanamme bila kukumbushwa waweza kuwa fanicha lol

Umenena mdada... Hahahahaaa..kwa tukio ulilofanya,lazima alikuwa mdogooo kwa surprize ya aina yake ..
 
......lol, hahahaha......nakweli!

Ati 'mungu hakupi yote!'.....unakuta usafiri ni Prado kwenda mbele, full tinted na kiyoyozi, ....Jumba kubwa kama hekalu, ....fully luxury equiped....kuanzia jacuzzi, swimming pool mpaka DSTV & sat channels zote duniani:.....lakini moyo mtupu, mpweke, hauna furaha...

....mtu anaacha mkitanda, anakesha amelalia kochi ukumbini sbb machungu na upweke.

kweli kabisa, majumba haya yanaficha mengi
 
Big up dada Kongosho u are the best,
mkuu sana mtoa mada; wahenga wa siku hizi husema-Aliye juu muibukie hukohuko juu, ukimngoja chini (anaweza kurudi ndio) ila alichokifuata juu anaweza kukiconsume hukohuko akaja bilabila...

Husband wako businessman (that's good), Ila umeshachunguza ukaona kuwa huwezi kuwa resourcefull katika hiyobusiness ya familia? Labda unatafuta kazi kwingine but Ur husband anaweza kuwa muajiri wako...

Kama haiwezekani sometimes unaweza ukapack dinner ukaenda kula hukohuko dar es salaam @night== dont wory where your husband is, that is your home.

Kama fedha ina thamani ya kulindwa ndo itakuwa mume? tena siku nyingine ubebe na gobore kabisa usitake mchezo maisha haya

 
[mbu]...

umenena boonge la mapoint...na wengi wapo humu, kweli dunia tambara bovu...popote utakapokalia, unahisi panatoboka udondoke
 
Nimerudi tena, dada come on! The guy's busy while you can spare sometime in your schedule....Acha kulala hapo kwenye kochi n go after him!
Kwa kweli kutafuta sana hela ni kubaya lakini kwa maisha haya ya dar es salaam, kupanda daladala shida! ukipata kagari mafuta huishia kwenye jam! Its a well known fact kwamba muda wa kawaida wa kazi hautoshi tena! he really has to work! We mshauri apunguze halafu financially mkiwa down utatuletea challenge nyingine tena hapa!(Mara jirani ana fedha na anakutaka while husbanda wako kafilisika)

Wadhungu husema: If life throws you lemons, make a lemonade uenjoy na husband wako
Ok,now you may go!
 
Wanawake wote sikilizeni;Mna nguvu kubwa sana ya ushawishi.Jaribuni kuitumia mtaona maajabu yake.Nawaambieni kuwa familia ikiwa kama ilivyo utakua mmetaka,ila ukiamua kubadili mambo unaweza kuyabadili sana.Mwanaume awe mlevi,cheater,mchelewaji kurudi n.k,yote hata yako mikononi mwenu kuyaondoa ama la!
 
Wanawake wote sikilizeni;Mna nguvu kubwa sana ya ushawishi.Jaribuni kuitumia mtaona maajabu yake.Nawaambieni kuwa familia ikiwa kama ilivyo utakua mmetaka,ila ukiamua kubadili mambo unaweza kuyabadili sana.Mwanaume awe mlevi,cheater,mchelewaji kurudi n.k,yote hata yako mikononi mwenu kuyaondoa ama la!

well said Eiyer! chezeya wanawake weye. . . .
 
Pole sana, lakini ongea na mupenzi mweleze ukweli.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Though you may think that your not complaining,truth is deep in your heart you're not content! and every good or bad thing starts with unfulfilled want/need. You better tell your hubby how you feel, and yes some women may be content just by being married but dear your not them and every marriage is unique. May be you find hard to tell him and often men do not like to be told what or how things need to be, I may suggest that you talk it just like you talk with a friend in easy note and suggestive way, I use this strategy and it works every time. all the best.
 
Teh hee heee. Asanteni wakuu kwa kunifurahisha. Nipo jamani kwenye kochi naangalia tv kama kawa kwenye ka favourite spot kangu. Sipping my hot chocolate and being grateful to God for the weekend and praying for a fruitful week ahead. As for my husband? Well, am still patient and understand. Lets see how much I can take. Goodnight pals.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom