Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Hahahaaaa usijali hakuna mwizi humu.....nitakupigania hadi mwishommmmh naibiwa huku naona, au wenzangu hamuoni?
Hahahaaaa usijali hakuna mwizi humu.....nitakupigania hadi mwishommmmh naibiwa huku naona, au wenzangu hamuoni?
Haiondoki usijali shemhahahahah shem imani inaondoka taratibuuu jamani hebu nisaidie kuikamata hapo mlangoni lol
Hahahaaa naona unatafuta ugomvi na Bagah aisee
mtamalizana....
mr Right where a u
Kwani PM haitumii server?vijana hapa mnajaza seva tu,wenzenu wanapitia pm!haya nendeni mkabanane huko!
Haaaaa ushamgeuka?nimepata waswas ww ni KIDUME...lol...
Haaaaa ushamgeuka?
nimemshtukia...acha wageni wampapatikie...mm mtt wa mjini eti!
nimepata waswas ww ni KIDUME...lol...
mr Right where a u
Dah afadhali upate mwenza ili walau utupunguzie kiwingu
Mmmmh BAGAH LoL HAHAHAHAHA ACHA UOGA WEWE, mie mdada wa nguvu
Bi Nyakomba....
teheee....hebu nihakikishie kwa PM matata na picha ya ID yako na 4n number mana sina matumain kabisa na haya majina humu Jf...LOLkuna mtu mpaka leo ni utata mtupu.