Bi nyakomba
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 385
- 104
am lonely jamani need a company. Thanx
am lonely jamani need a company. Thanx
Dah afadhali upate mwenza ili walau utupunguzie kiwingukaribu katika ulimwengu wangu...
Dah afadhali upate mwenza ili walau utupunguzie kiwingu
Dah afadhali upate mwenza ili walau utupunguzie kiwingu
Teh endelea kutafuta kidumu ila sidhani kama bi Nyakomba atakubali kuwa kidumu....lakini system ni ile ile...NDOO na KIDUMU!
Dah afadhali upate mwenza ili walau utupunguzie kiwingu
Hahahaaaaaa hata mimi nina furaha kwa Bagah kumpata mwenza labda atatulia sasa......hahah thanti BAGAH:.......DU ngoja nijidadicate na ka wimbo ka Linah..... Angalau sasa ninafuraaa. Turururu, hata yale mawazo yatakwishaaa turururuuu. Lol
Teh endelea kutafuta kidumu ila sidhani kama bi Nyakomba atakubali kuwa kidumu....
Yah mimi sina shida kabisa.....Nawatakiwa heri tu.....tena muwe na amani kabisa...Eeee erick naona umebariki kbs. Thanti na ww
Hahahaaaaaa hata mimi nina furaha kwa Bagah kumpata mwenza labda atatulia sasa......
Na uhakikishe anatulia maana wewe ndo mama wa familia....sawa bi Nyakomba?
Na usikubali kabisa maana kidumu hakichelewei kuwa Ndoo na ndoo kuwa kidumu.....Mmmmh hapa mie Ndoo kidumu akuuu
Hahahaaaaaa anaweza kuahidi ila ili atulie kiukweli anahitaji kwenda nae sambamba.....Hofu ondoa kbssssssss erick, ETI BAGAH si utatulia eee. Hebu sapoti hili erick apige makofi hahaha
Na usikubali kabisa maana kidumu hakichelewei kuwa Ndoo na ndoo kuwa kidumu.....
Itakulaje kwako
Hahahaaaaaa anaweza kuahidi ila ili atulie kiukweli anahitaji kwenda nae sambamba.....
Hahahaaa so tuanze vikao ????Hahahaha umeona eeeh. Wee inabidi niandae na bukuta la kazi, maana kuwa ndoo napo ujipange
Haahahaaaa dogo yuko safarini so ukiona kaotea hewani ujue aliko network imekata....akirudi hewani utamwona tu.....Hahaha hilo nalo neno, na ukiona kimya toka kwa MAIN ACTOR ujue KAZI IPO HEHEHEEE
Hahahaaa so tuanze vikao ????
Hahahaaa asijali...ila usiotee sana sasa maana ukipotea na wewe utakuta tushamaliza vikao na km bi harusi hatakuwepo kidumu kitachukua nafasi ili mambo yasiharibikeMie naona tuanze tu Mhusika tutampigia simu kuwa vikao vimeanza, asijepata presha akijikua anapigiwa cm siku ya harusi kuja kufungishwa ndoa lol