am i welcome?

Nyabwire

Member
Jun 12, 2009
40
1
am new,natumaini nitapata ukaribisho mkunjufu kama ilivyo hulka ya ukarimu ya wabongo.
 
am new,natumaini nitapata ukaribisho mkunjufu kama ilivyo hulka ya ukarimu ya wabongo.

Wabongo siku hizi tumebadilika, Hatukupi ukaribisho mkunjufu kama ulivyo tarajia. JF - "The Home Of Great Thinkers"

Nyabwire, Jisikie uko nyumbani, "Where We Dare to Talk Openly"
 
Last edited:
Nyabwire ndio nini? karibu ila kama jina lako ni tusi nawewe hivyo hivyo.
 
Nyabwire ndio nini? karibu ila kama jina lako ni tusi nawewe hivyo hivyo.

Naomba niwe wakili wa kujipendekeza. Nyabwire kama sijakosea ni majina ya watu wa mkoa wa mara na kisiwa cha ukerewe. neno Nya lina maanisha binti fulani kwa hiyo huyo ina maana ni mtoto wa kike wa ndugu Bwire (Binti Bwire)

Yote kwa yote basi elewa kwamba hayo ni majina ya huku kanda ya ziwa. kama mie unavyoona Nyamungo, ni jina langu halisi wala sio jina la JF.

Upooo.
 
neno Nya lina maanisha binti fulani kwa hiyo huyo ina maana ni mtoto wa kike wa ndugu Bwire (Binti Bwire)
Na yale majina ya maeneo ya huko hasa Mwanza yana maana gani? Mfano:
Nyamagana, Nyamanoro, Nyakahoja
 
Karibu sana Nyabwire.
Furahi nasi,na shiriki nasi katika mijadala mbalimbali hapa JF"Where We Dare to Talk Openly"

______________________
"Utamu wa Pipi Mate yako"
 
Hili jina Nyabwire limenikumbusha long time kweli, wakati niko shule uko Arusha kulikuwa na binti mmoja alikuwa na jina hili, alikuwa mkali (mzuri) kinoma. Au ndio wewe dada? Kama ndio naomba contact zako tuwasiliane zaidi
 
@sipo...nadhani si mimi,sijawahi ishi wala kusoma arusha...ila haimaanishi kuwa mimi si mkali pia,hahahaaaaaa

@nyamongo...asante kwa kunisaidia...ila mimi nilipewa hilo jina lilikuwa la bibi mzaa baba.

@wote wenye wasiwasi na jina.(maana)- ni chausiku linaendana na nyangeta pia!!!!!!

@Burn...kwanini nitumie jina kutukana wengine?tena hata nisiowajua wala kukiosana nami???au na wewe wafanya hivyuo????
 
karibu Nyabwire, karibu sana.....mkuu juu katupa tafsiri ya jina lako kuwa ni Binti wa Bwire. naamini jina lako linafanana na jinsia yako.
hii ni nyumba ya wafikiriaji, mtaa wa vita ya mawazo.
kwa niaba ya nafsi yangu najisikia kukukaribisha .
 
Nikijakuwa na mtoto wa kike miaka hiyo ntamshaur akiwa mkubwa ajiunge na jf na atumie username NyaTripo9 [B/]. How about that huh!

That aside, Nyabwire u are welkome, very welkome if u dont mind.
 
@sipo...nadhani si mimi,sijawahi ishi wala kusoma arusha...ila haimaanishi kuwa mimi si mkali pia,hahahaaaaaa

@nyamongo...asante kwa kunisaidia...ila mimi nilipewa hilo jina lilikuwa la bibi mzaa baba.

@wote wenye wasiwasi na jina.(maana)- ni chausiku linaendana na nyangeta pia!!!!!!

@Burn...kwanini nitumie jina kutukana wengine?tena hata nisiowajua wala kukiosana nami???au na wewe wafanya hivyuo????

Nyabwire karibu sana.. nimeipenda style yako ya kifacebook.. @ ... @!
 
@sipo...nadhani si mimi,sijawahi ishi wala kusoma arusha...ila haimaanishi kuwa mimi si mkali pia,hahahaaaaaa

@nyamongo...asante kwa kunisaidia...ila mimi nilipewa hilo jina lilikuwa la bibi mzaa baba.

@wote wenye wasiwasi na jina.(maana)- ni chausiku linaendana na nyangeta pia!!!!!!

@Burn...kwanini nitumie jina kutukana wengine?tena hata nisiowajua wala kukiosana nami???au na wewe wafanya hivyuo????

Karibu sana Nyabwire,are you single? e bwana wageni wengi nikiwauliza swali hili wananitosa hawanijibu,naomba unijibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom